Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.
Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Baregu tulikuwa nae msibani Kunduchi kwenye maziko ya jirani yake.sijui slaa
Zitto anajua siasa...anagombea ubunge, swali la msingi nani atakuwa mgombea urais? Walishasema soon watamtangaza? Ile mbinu ya Ukawa kutumika tena ACT? sitaki kusubiri kuona michezo ya kisiasa mwaka huu. Soo strategic......km soka vilee