Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Status
Not open for further replies.
toa upumbavu wako jukwaani hakuna mtu mwenye akiri timamu ataenda kujiunga na mha masikini asiye kuwa na msimamamo kama zito, slaa yupo tiyari kurudi kanisani siyo act wa...nge

Duh ni wewe babu unatumia the 'nge' word
Nakubaliana nawe kuwa hawezi kwenda huko lkn hiyo lugha sio kabisa
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Waende zao, wakampe salam zito na wajiandae kuwa chama kikuu cha upinzani wakiungana na cccccm
 
Hajachelewa....LOWASSA ni sawa na 10,000000 CCM watakaohamia CDM
BAREGU ni yeye km yeye Baregu ni sawa na I ACT
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Tumekusoma mama slaa.
 
Hawaendi popote walifanya maamuzi ya pamoja slaa anaenda kweye ubunge karatu
 
Pengine mtoa mada yuko sahihi, sijawaona hawa watu wawili kwenye Press conference ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA.
Wameenda/walienda wapi?? kwenye kikao cha jana usiku Prof. Baregu anaonekana kama anafichama sura yake kwa aibu ya kukutana na Lowasa...tuambieni ukweli...siasa za BONGO sasa zimekuwa za kuigiliza...Katika Hotuba ya Mbowe anaonekana kumtumia ujumbe mtu Mkubwa ndani ya CDM ambaye hajakubaliana na ujio wa Lowasa,..huyu mtu ni nani???

Je tunafika tunakotaka kwenda???

Si lazima wahudhurie wote. Ndio maana wengi tu hawajahudhuria kama vile Tundu Lisu, John Mnyika, etc. Tulia, acha tetesi kichaa!
 
Lizaboni alianzisha uzi unaoonyesha mikakati ya Edo kuhamia Chadema watu wakapuuza na kumtukana leo mambo yako wazi. Na hili la Slaa na wenzie tulipe mda tu mambo yote yatakuwa wazi.
 
TISS mmepoteza hili game. Nashauri mjikite kuzuia machafuko yanayojipanga na kupangwa kutokana na vitendo vyenu vya kuwa Kitengo cha CCM.
 
Pengine mtoa mada yuko sahihi, sijawaona hawa watu wawili kwenye Press conference ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA.
Wameenda/walienda wapi?? kwenye kikao cha jana usiku Prof. Baregu anaonekana kama anafichama sura yake kwa aibu ya kukutana na Lowasa...tuambieni ukweli...siasa za BONGO sasa zimekuwa za kuigiliza...Katika Hotuba ya Mbowe anaonekana kumtumia ujumbe mtu Mkubwa ndani ya CDM ambaye hajakubaliana na ujio wa Lowasa,..huyu mtu ni nani???

Je tunafika tunakotaka kwenda???

hongera kwa kuwa na mtazamo huru usio na ushabiki. watakubeza lakini umeongea poit
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Uchaguz wa mwaka huu itakuwa vita kwa mtazamo wangu
 
Ki ukweli kama watakuwa wamemweka pembeni slaa kugombea uraisi,
Kiongozi aliyejitolea kukijenga China ktk mvua na jua,shida na,raha.na kupigwa sana mabomu Leo hii unamweka pembeni unamweka fisadi lowasa hii si haki hata kidogo.
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Duh!Mwanachama wa Act unapiga ramli kwa wanachama wa CDM...Hongera...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom