Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Status
Not open for further replies.
Kumpokea Lowasa chadema ni kudhalilisha wapambanaji wa ufisadi kama Slaa. Mnyika,na baregu, na pia ni kumpuuza Slaa aliyesimama majukwaani kupambana hadi Lowasa akajiuzuru kwa kashfa ya richmond, maskini Slaa ni mwanasiasa mzuri ila lofa.
 
Nafikiri sio muda wa kutoa matusi kwa mtoa mada ni kujuuliza je ana mantiki hapo? Nionavyo mimi ni kuwa wakati wa watajwa hapo kuonesha ni kweli wanaweza kula uharo/uhalo wao wenyewe huku wanaona kwa akili timamu? Kumkaribisha Mh. E.L sio kosa kosa ni kusahau tunayotamka bila kuwa na ukweli? je tutasema nini wakati wa kampeni? jeMagufuri ni fisadi wakati hajapelekwa Mahakamani au tutasema huku tukisahau kauli za mwenyekiti wetu? Msimamo waetu UKAWA UPO WAPI? CCM ingemsimamisha Huyu tuliyempokea tungesemaje au angeenda ACT- tungesemaje? Arejeshe KADI YA CCM kwanza NDIPO TUMPOKEE NA KUMPA NAFASI YA SIRAA YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA-(UKAWA) Usitukane toa hoja!!!!!!
 
Pole sana na Leo hamlipwi posho buku saba utaisikia kwenye bomba
 
dr slaa ni padri kama afanya hivyo basi haina maana kuwa mkristo maana hawezi kusamaehe....ni vema akabaki cdm maana anayo nafasi kubwa ya kuwatumikia watanzania
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Hizi ID za namna hii naona zimeibuka kwa kasi kubwa tangu LOWASSA ajiunge na CHADEMA halafu sasa post zao choo cha city kina nafuu...!
 
Nafikiri sio muda wa kutoa matusi kwa mtoa mada ni kujuuliza je ana mantiki hapo? Nionavyo mimi ni kuwa wakati wa watajwa hapo kuonesha ni kweli wanaweza kula uharo/uhalo wao wenyewe huku wanaona kwa akili timamu?
Kumkaribisha Mh. E.L sio kosa kosa ni kusahau tunayotamka bila kuwa na ukweli? je tutasema nini wakati wa kampeni? jeMagufuri ni fisadi wakati hajapelekwa Mahakamani au tutasema huku tukisahau kauli za mwenyekiti wetu? Msimamo waetu UKAWA UPO WAPI? CCM ingemsimamisha Huyu tuliyempokea tungesemaje au angeenda ACT- tungesemaje? Arejeshe KADI YA CCM kwanza NDIPO TUMPOKEE NA KUMPA NAFASI YA SIRAA YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA-(UKAWA) Usitukane toa hoja!!!!!!
 
leo walikuwa wapi???maana wale ni wakubwa sana cdm kukosa kwao napata warakin,,,hta el zlianza kautani.
 
magamba mnajipoza na kipogo cha leo, nasikia kikao cha dharura cha kamatu kuu kimetayarishwa anangojwa chairman
 
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.

Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.

Hii ni shida ya kunywa supu utumbo ambayo haijaiva... Athari yake nikuongea utumbo utumbo tuu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom