Mjanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,238
- 325
Mkuu jina liko sahihi kabisa!
Nakushauri tu Usikilize hotuba hiyo "between lines" probably you can gain some understanding out of it!
Nakushauri tu Usikilize hotuba hiyo "between lines" probably you can gain some understanding out of it!
Yawezekana sana umesahau jina lako au umeliandika vibaya. Wewe ni Majanga na uliyoyaandika ni majanga. Ile press conference ilhudhuriwa na wenye viti wa chama tu hata makatibu wakuu wao hawakualikwa pale. Hotuba ya mh.Mbowe ipo wazi sana na inaeleweka kirahisi na hatuoni popote alipomlenga kiongozi yeyote aliepo chadema na ambae kwa uchochezi unaotaka kuupandikiza eti anaeonekana hakubaliani na ujio wa Lowassa chadema.