nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,448
- 2,305
Hata mie ningekuwa Slaa au Prof ningeondoka hakuna maana.
Ccm hoyeeeee!!
Hata mie ningekuwa Slaa au Prof ningeondoka hakuna maana.
Dr. Slaa na Prof. Beregu mbioni kujiunga na ActWazalendo baada ya kuona ubabaishaji unaoendelea ndani ya UKAWA alisikika akisema hatoki UKAWA sababu ya kukosa nafasi ya kugombea Urais bali anaona ni kujidhalilisha kwa kula matapishi yake na msimamo wake wa kuupinga ufisadi alisikika akigomba kuwa huku ni kuwadharau watanzania na kuwaona ni wajinga asema sio dhambi kufanya kazi na Zitto.
Beregu nae amesikika akisema kamwe haiwezi idhalilisha taauluma yake sasa ndio wakati wa kukaa pembeni na kuamua kujiunga na harakati mpya. Vikao vya kimya kimya vimekaa kujaribu kubadili misimamo ya wawili hawa.
Ninashangaa Mbowe kumuona Lowasa ana wafuasi wengi kuliko Dk Slaa.Mbowe kwa kweli naanza kumuelewa tofauti.
Kweli nimeamini tanzania hakuna upinzani na watanzania tutabaki kuwa mburula mpaka mwisho wa dunia hivi kweli chadema kwailivyokua imefikia ilikua inahitaji sapoti ya mtu alie temwa ccm ndo aje kuwa raisi mnampa mtu nafasi ya kugombea uraisi kisa anapesa kwanza hakijui chama kimepitia matatizo mangapi mpaka kufikia hapo mi ningefurahi kama lowasa angekuja chadema na kua mwanachama wa kawaida ila sio kumpa nafasi ya kugombea uraisi mbowe umebugi na lowasa hatosinda uraisi na chadema ndo inakufa hivyo

Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
Pengine mtoa mada yuko sahihi, sijawaona hawa watu wawili kwenye Press conference ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA.
Wameenda/walienda wapi?? kwenye kikao cha jana usiku Prof. Baregu anaonekana kama anafichama sura yake kwa aibu ya kukutana na Lowasa...tuambieni ukweli...siasa za BONGO sasa zimekuwa za kuigiliza...Katika Hotuba ya Mbowe anaonekana kumtumia ujumbe mtu Mkubwa ndani ya CDM ambaye hajakubaliana na ujio wa Lowasa,..huyu mtu ni nani???
Je tunafika tunakotaka kwenda???
labda uliwasikia wakizungumza chumbani na mama yako kabla hawajatoka kuutaarifu umma