Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

Status
Not open for further replies.
Habari za lowassa zilianza kama hivi, wacha tukunje miguu kwanza, namfatilia Slaa kila sehemu nisikie kauli yake baada ya lowassa kujiunga hapo, maana huwa Mwepesi kupost twitter, ila leo kimya tu
 
Pengine mtoa mada yuko sahihi, sijawaona hawa watu wawili kwenye Press conference ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA.
Wameenda/walienda wapi?? kwenye kikao cha jana usiku Prof. Baregu anaonekana kama anafichama sura yake kwa aibu ya kukutana na Lowasa...tuambieni ukweli...siasa za BONGO sasa zimekuwa za kuigiliza...Katika Hotuba ya Mbowe anaonekana kumtumia ujumbe mtu Mkubwa ndani ya CDM ambaye hajakubaliana na ujio wa Lowasa,..huyu mtu ni nani???

Je tunafika tunakotaka kwenda???

Baregu tulikuwa nae msibani Kunduchi kwenye maziko ya jirani yake.sijui slaa
 
Slaa na Zitto Kabwe wapi na wapi? Huu uongo wako hukuupangilia vizuri kabisa.
Ova
 
Wakienda ACT watakuwa wamepishana na gari la mshahara,hawawezi kufanya maamuzi hayo. Siasa siyo uhasama wa kudumu!
 
Hata mimi naunga mkono Dr. Slaa atoke CDM ila sio aende kwa mnafiki mwingine Zito.
 
Hata mie ningekuwa Slaa au Prof ningeondoka hakuna maana.
 
Toa status ya @Dkt katika avatar name yako..unadhalilisha
 
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
 
ni kweli kula matapishi ya viroba ni ngumu sana..big up dr slaa kwa kuhama chadema maana kumkaribisha lowasa na kuwa mgombea huu ni upuuzi uliopitiliza...lema hawaongei halaf mnasema ni ukombozi?
 
Hao ndo waongo wenyewe. Kama wana ushahidi kwanini wasiende mahakamani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom