Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Kupiga picha na wajapan ni kukwepa kodi? mbona mtu fudenge kampuni yake ilisimamia mizigo ya pembe za ndovu lkn husemi?
 
Maneno yako yanadhihirisha kuwa ulianzisha hiyo exemptions kwa matakwa yako binafsi na ziamini kama kulifanyika consultations ya kutosha. Wakati huo kumbuka serikali ilikuwa kwenye fungate ya ndoa yao na Kanisa Katoliki. hivyo upendeleo huo ulianzishwa kwa lengo la kusaidia taasisi za kanisa ambazo wakati huo zilikuwa kwenye hali mbaya kiuchumi. pia hoja hiyo ilianzishwa ili kuzifanya taasisi za dini zishiriki ipasavyo vita ya kagera. ila kwa sasa hoja hiyo inapaswa kuangaliwa upya. ukienda kwenye hospitali zisizolipiwa kodi, zinatoza ghatrama kubwa sana tena sana. hali yiyo pia ipo kwa shule na vyuo. badala ya exemptions kusaidia wananchi, inasaidia watu wengine kama akina dr slaa na SACCOS yao ya CCBRT, na wengine wengi

Wakati mwingine mnapotezea watu muda na hoja zenu mfu kama hizi. Unashindwa nini wewe na ccm wenzako kubadilisha sheria hii wakati bunge liko chini yenu? Msiwe watu wa kujivua ufahamu kwa kiwango hiki, ni aibu! Mkuu betlehem amesema hapa kwamba kilichopo nyuma ya uzi huu wa Ritz ni udini na sasa ndo naanza kuona mnafunguka kuelekea huko.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine mnapotezea watu muda na hoja zenu mfu kama hizi. Unashindwa nini wewe na ccm wenzako kubadilisha sheria hii wakati bunge liko chini yenu? Msiwe watu wa kujivua ufahamu kwa kiwango hiki, ni aibu! Mkuu bethlehem amesema hapa kwamba kilichopo nyuma ya uzi huu wa Ritz ni udini na sasa ndo naanza kuona mnafunguka kuelekea huko.

Hapo kwenye Red haswaa....yale yale ya kina shehe ubwabwa basalehe na lipumba.
 
Hii tafisiri ipo clear kabisa. Cement, matofali, gypsum na vifaa vya ujenzi vyote siyo Hospital Equipments! Sasa tunamuuliza Swali Ritz, kwami huo msamaha wataupata kwenye nini??? Manake hajafafanua na inaonekana kadandia tu story!

Mkuu, Ritz ameeleweka vizuri sana labda wewe ndo hujamwelewa. Ukweli ni kuwa, dr slaa ameagizq vifaa vyote vya ujenzi wa hospitali hiyo kutoka japan. Hii ni kuanzia nondo, mabati, cement,misumari, ingawa sina hakika na mbao. Hii yote ni katika kukwepa kodi maana kwa kumtumia mchungaji gwajima ni wazi kuwa kuna kitu analenga kukwepa.
 
Goi goi kama kalumakenge
 
Hivi ninyi watanzania mtaacha lini umbea na majungu na mjikite kwenye shuhuli za maendeleo?
DR Slaa, acha kutufanya wana JF kuwa ni watoto. Ungekuwa muungwana ungejibu hoja za Ritz badala ya kubwabwaja tu. umejibu hoja moja tu kuwa hujawahi kufanya kikao na wajapani nyumbani kwako tena kwa vile tu Ritz hajaweka picha za hicho kikao cha nyumbani kwako na badala yake kaweka picha za Josephine akiwa Japani

badala ya kujibu hoja za msingi, wewe unakmbilia kucheza na akili za watu tu kudanganya. Ni kiongozi gan kama wewe anakuwa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi lakni ni mdanganyifu na mjanjamjanja namna hii. Ni aibu kwako binafsi, chama unachoongoza na familia yako. Hapa kuna hoja nyingi zimeibuliwa na Ritz ambazo hujajibu na badala yake umetumia muda mwingi kuelezea mafanikio ya Taasisi ya CCBRT ambayo nayo inaendeshwa kiujanjaujanja. Ile Taaasisi ipo kimaslahi zaidi lakini wanatumia kigezo cha kutoa huduma ili kupata upendeleo kwa serikali. Hoja za Ritz ambazo ulipaswa kuzijibu ni hizi zifuatazo;
  1. Dr Slaa pamoja na Mchumba wako Josephine mlitembelewa na Wajapan 20 nyumbani kwenu na kula chakula cha jioni. Hiyo ilikuwa ni Juni 2013. Hoja hiyo umejibu kisanii sana eti hujawahi kutembelewa na wajapani nyumbani kwako. Kanusho lako limekuja tu kwa vile Ritz ameweka picha za Josephine akiwa Japan ambazo umesema kuwa hazikuwa ni za siri. Naamini kuwa endapo Ritz asingeweka picha yoyote, ni wazi kuwa hata ziara hiyo ya mchumba wako ungeikataa
  2. Ritz amesema kuwa CHADEMA mna mpango wa kujenga Hospitali huko mlalakuwa. Je hoja hiyo imekaa vipi? Si dhambi kwa CHADEMA kujenga hospitali. Hoja ya msingi hapo ni huo ulaghai unaowafanyia wajapani kuwa wewe ndiye Rais mtarajiwa 2015 na kwamba kama ukiwa Rais, makampuni ya Japani yatapata upendeleo kwa kile kinachodaiwa kulipa fadhila. Hilo unasemaje?
  3. Mahusiano ya Dr SLaa, familia yako, chadema na Askofu mmoja ambaye licha ya kuwa Ritz hajamtaja, lakini wadau wametusaidia kuwa ni Gwajima yapoje? Je ni kweli kuwa hospitali hiyo tarajiwa inajengwa kwa ubia yaani Dr Slaa na familia yako, CHADEMA na Gwajima? Kama ni hivyo, ubia huo una malengo gani? Ninachokiona hapo ni ukwepaji wa kodi ambao ni dhahiri Gwajima anahusika
  4. kama hospitali hiyo ni ya CHADEMA, iweje Mchumba wako Josephine ndiye anayefuatilia kwa karibu na si organs za chama chako? Katika hilo, hapo hapana harufu ya ufisadi?

Nawatahadhalisha sana CHADEMA kuacha ushabiki usio na manufaa na badala yake mnapaswa kufuatilia kwa karibu nyenendo za Dr Slaa na mchumba wake kwani wana mambo mengi ya siri wanayafanya kwa kutumia jina la chama na kanisa ila kwa manufaa yao.
Post lote hili utumbo mtupu.
 
mama slaa anaandaliwa miradi baada 2015.slaa anajijuwa kwamba yeye ni mshiri tu wa ugombea uraisi.
kwanini kanisa limetumika kwa maslahi ya chadema????????.harufu ya UDINI inanuka.
na ikiwa mambo madogo mnashindwa kujisafisha kwa kuchangia pato la taifa je kama mtakabidhiwa nchi rasmi??!??
hivi mtei na uwezo wake kielimu anashindwa kuona dhulma inayofanyika katika hili.
1.dr slaa anatangazwa kuwa ndie mgombea wa urais na muda wenyewe bado democrasia iko wapi?
mbona zito alivyo tangaza alikuja juu.
2.dr slaa anamtumia mama josephine kama nani? kwa mujibu wa chama.
3.ukwepaji wa kodi kwa njia ya kanisa kama taasisi kwani chadema sio taasisi ilio kamilika????????

ingawa ninayo maswali mengine 100 kwenye hili.
lakini halahala na tindikali zenu.
 
Mkuu, Ritz ameeleweka vizuri sana labda wewe ndo hujamwelewa. Ukweli ni kuwa, dr slaa ameagizq vifaa vyote vya ujenzi wa hospitali hiyo kutoka japan. Hii ni kuanzia nondo, mabati, cement,misumari, ingawa sina hakika na mbao. Hii yote ni katika kukwepa kodi maana kwa kumtumia mchungaji gwajima ni wazi kuwa kuna kitu analenga kukwepa.

Sijaona kwenye bandiko la Ritz kama hivi pia kaagiza toka nje, manake naona tu kaandika vifaa toka nje. Athibitishe kinaga ubaga ni vifaa gani mkuu!!!!
 
sasa mbona hakuna ushahidi wa unayo yasema? hizo picha ndio ushahidi wa ulicho kiandika?
hiyo kodi unayosema inakwepa hiko wapi?
kwenye vifaa vya hospital?

hivi hapa una mtuhumu nan hasa?
chadema?
drb slaa?
josephine?

Hapa sijaona cha maana zaidi ya propaganda za kidini na ambazo hazina mshindi kila leo tuna shuhudia, endelea kuchochea kuni.

dr slaa ana watesa sana na hamjawai kumshinda.
 
Mkuu nasikia na kile kiwanda cha viroba ni chake ndio maana wafuasi wake wengi wanaitumia kujiboost kiakili.
Dr.slaa ameshasaidia sana watanzania kupitia taasisi yake CCBRT,hivyo ana uzoefu wa kutoa huduma kwa wananchi!JK ana nini?msamaha wa kodi umeruhusiwa na govt ya ccm,hivyo laumu wabunge wa ccm kupitisha wakati mkulo alipojaribu kuifuta
 
Hapa mtanzania hahitaji kutumia nguvu kufikiria kuwa huo mzigo
ulikuwa wa cdm kwa ajili ya kupata pesa za kununua helkopta ya kampeni;
kujaza jaza mafuta mnayozungukia hewani; na kulipia hizo kodi hewa.
Umeona mbali dadangu.
 
Mkuu, Ritz ameeleweka vizuri sana labda wewe ndo hujamwelewa. Ukweli ni kuwa, dr slaa ameagizq vifaa vyote vya ujenzi wa hospitali hiyo kutoka japan. Hii ni kuanzia nondo, mabati, cement,misumari, ingawa sina hakika na mbao. Hii yote ni katika kukwepa kodi maana kwa kumtumia mchungaji gwajima ni wazi kuwa kuna kitu analenga kukwepa.
Mkuu wangu Lizaboni,

Kwa hili Dr.Slaa anastahili kuitwa fisadi.
 
Last edited by a moderator:
hakiyamungu nchi ngumu sana hii,
anyway yetu ni macho na maskio,uhai na afya tunamuachia muumba,ila kadiri muda unavozid kwenda mbele ndivo mambo yanavozid kuwa matamu,tunaomba uhai 2015 tuweze kuiona na kujionea kivumbi...!!
this is your true colour.

"its better to have announced enermy than hidden friend"
 
Mkuu, Ritz ameeleweka vizuri sana labda wewe ndo hujamwelewa. Ukweli ni kuwa, dr slaa ameagizq vifaa vyote vya ujenzi wa hospitali hiyo kutoka japan. Hii ni kuanzia nondo, mabati, cement,misumari, ingawa sina hakika na mbao. Hii yote ni katika kukwepa kodi maana kwa kumtumia mchungaji gwajima ni wazi kuwa kuna kitu analenga kukwepa.
Mkuu Lizaboni,

Kwa hili Dr.Slaa anastahili kuitwa fisadi.

Endelea kutoa elimu ya uraia.
 
Last edited by a moderator:
Ritz Hivi huyu mama kabla ya kuishi na SLAA alikuwa akifanya hizi safari za mara kwa mara JAPAN, ISRAELI na kwingineko

hivi kuna tatizo mtu akisafiri? unampangia lini asafiri na lini asisafiri? kama kuna kosa au kavunja sheria za nchi leteni ushahidi ili tujadili na afikishwe kwenye vyombo vya usalama.
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu GWAJIMA jina hili linafanana na kampuni za japan,ndio maana ikawa rahisi kuwadalalia.
 
Hapa mtanzania hahitaji kutumia nguvu kufikiria kuwa huo mzigo
ulikuwa wa cdm kwa ajili ya kupata pesa za kununua helkopta ya kampeni;
kujaza jaza mafuta mnayozungukia hewani; na kulipia hizo kodi hewa.

hahHaha sasa hapa huo mzigo unao uongelea Mamndenyi huko wapi? hapo mbona hakuna ushahidi wa ukwepaji wa kodi? hebu ni kuulize hivi hata kama ni hospital walitaka kujenga, hivi vifaa vya hospital vinalipiwa kodi? au unajaribu kusema nini? na hapo juu hakuna ushahidi zaidi ya kuona story za vijiweni eti kawahakishia atakuwa rais 2015 .
 
Last edited by a moderator:
Mura
Dada ameanza mapema mno loooh
na mara zote sie akina mama ndo
tunahafanya haramu kuwa halali.

hivi katika habari josephine amefanya nini? na kuna ushahidi gani? kupiga picha na wajapan?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom