Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
english couse ulipata ngapi?

Mkuu, ndo ushangae, mama'ko nimemsaidia sana darasani, achilia mbali kukuza wewe!! Now, you're trying to challenge your Dad in***!!

Rudi kwenye hoja, ni kweli hizo picha zinamuonyesha Dr akikimbia kodi!!? Ni ushahidi aliokuwa anajigamba nao mleta mada? Je, huoni umuhimu wa Mods kulitendea haki jukwaa hili!!
 
mko page ya 22 mnajadili upuuzi wa ritz!!!
 
Wewe ni kipofu kwani au kiziwi? Kila siku mnapomlalamikia Idd Azzan kuwa anauza madawa ya kulevya mshawahi kuuleta ushahidi au twatumia taarifa hizihizi za magazeti? Wacha kutafuta scapgot kwenye suala la viongozi kutumia nyumba za ibada kufanya maovu yao kama dr slaa anavyomtumia mchungaji Gwajima ili kupitisha vifaa vya ujenzi lengo akitaka kukwepa kodi.
Mkuu CHAMVIGA,

Majibu yako murua sana.
 
Last edited by a moderator:
hivi ndivyo tamthilia ilivyokuwa na macharacter wamecheza kama ifuatavyo;
japan. namna masharti na makubaliano yalivyokuwa
josephine; kama medietor
mchungaji;kama dalali

uzalendo; wa kulikosesha mapato taifa

Mapato yako huku jomba... !!

meli.jpg
 
Mkuu, ndo ushangae, mama'ko nimemsaidia sana darasani, achilia mbali kukuza wewe!! Now, you're trying to challenge your Dad in***!!

Rudi kwenye hoja, ni kweli hizo picha zinamuonyesha Dr akikimbia kodi!!? Ni ushahidi aliokuwa anajigamba nao mleta mada? Je, huoni umuhimu wa Mods kulitendea haki jukwaa hili!!
Kamanda naona umepanic ghafla.
 
Hiyo title ya topic yako na habari uliyoandika haviendani... mi sina itikadi, ila to be honest umeandika kama gazeti la udaku, au unaripoti kwa watu wenye uelewa mdogo sana, wasioweza ku-analyze chochote
 
Wewe ni kipofu kwani au kiziwi? Kila siku mnapomlalamikia Idd Azzan kuwa anauza madawa ya kulevya mshawahi kuuleta ushahidi au twatumia taarifa hizihizi za magazeti? Wacha kutafuta scapgot kwenye suala la viongozi kutumia nyumba za ibada kufanya maovu yao kama dr slaa anavyomtumia mchungaji Gwajima ili kupitisha vifaa vya ujenzi lengo akitaka kukwepa kodi.

kwa hiyo haya unayo yaandika ni sawa na ushahidi ulioletwa humu dhidi ya AZAN? TUNAJUA HAKUNA ALIYE MALAIKA LAKINI MNASHINDWA KUTHIBITISHA KILE MSEMACHO NA NDIO MAANA KILA LEO MNAMSHINDWA DR SLAA.
 
Last edited by a moderator:
Mtakuja kuelewa tu baada ya kuibiwa saaana na hao akina Silaha na Dj Mbowe! Hawana uzalendo wala nini! Ni wajasiria mali tu! Zindukeni nyie misukule!
mkuu hakuna wanasiasa wezi kama wa ccm, jk,lowasa na wenzake kwa wizi ndo usiseme ...
 
Tuna kimeo cha katiba,Rwanda,Malawi,Gesi,Twiga kupanda ndege,Mrahaba wa mchanga badala ya dhahabu,Mkataba wa bandari,Richmond,EPA,Meremeta,Sembe,Matokea ya kidato cha nne,Kichapo Mtwara,Mafuta ya ubuyu,foleni za Dar,etc

Bado tunapoteza muda kutizama haya mambo?
 
Najiuliza sana endapo mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu na wale watenda dhambi slaa ataponea wapi,

Kama kutakuwepo na adhabu ya fimbo hakika slaa atachapwa fimbo na kwenda motoni pia,

Kwanza slaa kashindwa kumtii mungu kwa kushindwa kufanya kazi yake japo aliaapa kuifanya lakini baadaye kakiuka masharti na kufanya kinyume,

slaa anajua kwa mujibu wa sheria za mungu ni kinyume kuishi kinyumba na mwanamke asiye mkeo lakini slaa kampuuza tena mungu,

slaa anajua mungu hapendi uongo,ulaghai na hata kukwepa kodi lakini slaa anafanya hayo,

slaa kachangia kutokea kwa vurugu nyingi hapa nchini ikiwemo ya kuchinja eti nchi isitawalike yote haya mungu hapendi kwa nini slaa anafanya ambayo mungu hapendi kwa nini asikumbane ha rungu la mungu?
 
Dr. Slaa amekuwa mwiba kwa mafisadi na wagombea urais mwaka 2015 kutoka kwenye vyama vyote, propaganda zinatumika kujaribu kumchafua! Mleta hoja ameokoteza vipicha vya mama slaa na kuungaunga stori kama gazeti la udaku!
 
Najiuliza sana endapo mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu na wale watenda dhambi slaa ataponea wapi,

Kama kutakuwepo na adhabu ya fimbo hakika slaa atachapwa fimbo na kwenda motoni pia,

Kwanza slaa kashindwa kumtii mungu kwa kushindwa kufanya kazi yake japo aliaapa kuifanya lakini baadaye kakiuka masharti na kufanya kinyume,

slaa anajua kwa mujibu wa sheria za mungu ni kinyume kuishi kinyumba na mwanamke asiye mkeo lakini slaa kampuuza tena mungu,

slaa anajua mungu hapendi uongo,ulaghai na hata kukwepa kodi lakini slaa anafanya hayo,

slaa kachangia kutokea kwa vurugu nyingi hapa nchini ikiwemo ya kuchinja eti nchi isitawalike yote haya mungu hapendi kwa nini slaa anafanya ambayo mungu hapendi kwa nini asikumbane ha rungu la mungu?
mkuu mungu yupi hapo? Je yesu au Allah? Kiujumla umehukumu mkuu, je wajua wewe siku ya mwisho utakuwa wapi? Wewe naona utakuwa pabaya zaidi...sitaki nikutabirie!
 
Cement na mabati yanapatikana hapa hapa nchini Tanzania. Ila vifaa vya hospitali (hospital equipment) havipatikani hapa Tanzania.
Hivyo lazima viagizwe nchi za nje.
Hapo ndio swala la kodi linapokuja kuonekana.

Angalia mfano wa hospital equipment..

medical_equipment.jpg

Kwa ufafanuzi wa wadau humu JF, Ni vema TRA wakasimama imara maana haiwezekani DR SLAA na mchumba wake wakaagiza cement na mabati ya ujenzi wa hospitali yao ya kimagumashi kutoka japan
 
Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.
 
mkuu mungu yupi hapo? Je yesu au Allah? Kiujumla umehukumu mkuu, je wajua wewe siku ya mwisho utakuwa wapi? Wewe naona utakuwa pabaya zaidi...sitaki nikutabirie!

Mkuu, kuna watu watahukumiwa kwa kupimwa kwenye mizani mema yao na mabaya yao. ila Dr Slaa atahukumiwa kwa kumwangalia tu maana matendo yake yanajidhihirisha kuwa ameamua kumtumikia shetani
 
Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.

hapo sijakuelewa. au ulitaka serikali isidhibiti biashara hiyo ili isaidie kuleta fedha za kigeni? akili za bavicha hizi bana!
 
Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?,Hii ni biashara na ilitakiwa kutozwa kodi pamoja na uharamu wake.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.
 
kwa hiyo haya unayo yaandika ni sawa na ushahidi ulioletwa humu dhidi ya AZAN? TUNAJUA HAKUNA ALIYE MALAIKA LAKINI MNASHINDWA KUTHIBITISHA KILE MSEMACHO NA NDIO MAANA KILA LEO MNAMSHINDWA DR SLAA.

Hapo sijui una maanisha nini? Dr Slaa ameshindwa kwenye uchaguzi 2010. Awali alishindwa kumtumikia Mungu, akashindwa kutumikia familia, akashindwa kuzuia hisia zake dhidi ya mke wa Mtu na humu JF tunampiga ile mbaya
 
Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.

Huu ni wivu wa kike kabisa.Hivi wewe mleta maada mbona unadhalilisha serikali yetu sikivu kiasi hiki.Wewe inaonekana hauko well informed.Huu mradi wa SLAA unaweza kweli kuulinganisha na kodi inayopotea kutokana na biashara ya billions of money ya madawa ya kulevya pamoja na pembe za ndovu?.Huyu raia mwema aliye amua kuisaidia jamii ya watanzania wanaopoteza maisha kila siku iendayo kwa maurana kutokana na ukusefu wa HOSPITALI BORA unamlalamikia bila aibu kweli?.Wewe kweli mw.hu kabisa!!!!!!!.

Naona unarudia post ili kuongeza posho zako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom