Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.

2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!

we trust in Dr Slaa, Ritz unapochukua picha facebook na kuzileta huku kama ushaidi ni ujinga usio na kifani, mada zipo nyingi tafuta ulete jukwaani watu watachangia tu sio kila siku Dr Slaa!!!
 
Mkuu Pasco
Ni hayawani tu ndiye atakayekosa usingizi kwa ajili ya slaa; tatizo kinachoongelewa hapa sio hospitali au ushuru tatizo ni watu kutumia taasisi za kidini kukwepa kodi na kutumia misamaha ya kodi kwa matumizi yao binafsi; siku zote nategemea mwandishi wa habari aliyebobea kama wewe kuandika vitu vyenye utafiti wa kina; kauli kama hii angeitoa Mohamedi Mtoi; Molemo; Matola au Mwita Maranya nisingeshangaa sana wala nisingepoteza muda kuijibu; mkuu hilo neno unalolisubiri 2015 halipo ni rahisi sana kwa shoga/------ kupata mimba kuliko slaa kuwa raisi wa JMT; sasa kama uliwahi kusikia shoga kupata mimba basi hilo neno unalolisubiri litatimia!

nakutakia maisha marefu sana , ili uje uone shoga akijifungua .
 
Last edited by a moderator:
huo ni udhaifu wa serikali gani katika kusimamia misamaha ya kodi inatumika ipasavyo?ipo chini ya chama gani tawala kama kinavyojiita?

Akili yako yakushikiwa hata ukielezwa bado utabishana! Hakuna udhaifu wa sheria tatizo ni pale watu kama slaa wanapotumia mianya ya sheria kujineemesha kwa kutumia taasisi za kidini!
 
Last edited by a moderator:
ebu tuondolee upuuzi wako hapa,unaacha kuleta mambo ya msingi ambayo yanagusa maisha ya mwananchi ya kila siku,unaleta majungu na umbea wako.watu kama nyie mnatakiwa mfunguliwe forum yenu ya taarabu that i think you deem fit there.get lost alaaaah
 
Kwani ile meli iliyoshikwa na madawa ya kulevya huko Italy mmelipa kodi kwa TRA? Ni bora hao wanaokwepa kodi kwa ajili ya kujenga hospitali ambayo itawasaidia wananchi kuliko nyinyi na ile mizigo yenu waliyokamwatwa nayo akina Masongange
 
nimemuuliza alete sifa za CCBRT,wamekwepa kodi?,maisha ya kina mama,watoto wenye mtindio wa ubongo,fistula wanatibiwa pale!sasa kama Dr.Slaa ataanzisha hospital nyingine kuna ubaya gani?ana uzoefu wa huduma za jamii!!!kakaa kimya!JK kafanya nini?hana la kujibu
Kamanda mbona unataka kulazimisha CCBRT siyo mali ya Dr.Slaa ameteuliwa tu mjumbe wa bodi.
 
Dr.W.Slaa kwani Mshumbuzi kwenda Japani kunawazuia kujenega hiyo hospitali, CCBRT ni familia ya Slaa?
 
Last edited by a moderator:
ritz,
utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na taarifa
sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na wajapani nyumbani, pamoja na kuwa dr slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za mama slaa alipokuwa japan basi. Isitoshe picha za safari ya mama slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye fb yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.

2. Ah! Kumbe ujenzi wa hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya ccbrt mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) afrika south of sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika ardhi tuliyopewa na serikali ya jmt. Sasa hivi, tunajenga hospitali kubwa ya mama na mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na serikali. Hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama ccbrt imepata cheti cha tra, kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? Ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia ccbrt. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!

kiongozi endelea na majukumu mazito sana uliyonayo ya kuwafungua wananchi , hawa buku 7 fc tuachie sisi , bila kukutaja wewe inasemekana hawalipwi .
 
Ritz Hivi huyu mama kabla ya kuishi na SLAA alikuwa akifanya hizi safari za mara kwa mara JAPAN, ISRAELI na kwingineko
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!
Huyu alioandika haya eti nae anataka kugombea ubunge, teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hakuna anayepinga ili jambo la kujenga hospitali watu wanachapinga ukwepaji kodi.
ndugu yangu hata uwaelimishe vp na ushahidi utoe hutoeleweka watu washampenda.......chongo wanaliita kengeza.......
 
Hapa mtanzania hahitaji kutumia nguvu kufikiria kuwa huo mzigo
ulikuwa wa cdm kwa ajili ya kupata pesa za kununua helkopta ya kampeni;
kujaza jaza mafuta mnayozungukia hewani; na kulipia hizo kodi hewa.

Kwani ile meli iliyoshikwa na madawa ya kulevya huko Italy mmelipa kodi kwa TRA? Ni bora hao wanaokwepa kodi kwa ajili ya kujenga hospitali ambayo itawasaidia wananchi kuliko nyinyi na ile mizigo yenu waliyokamwatwa nayo akina Masongange
 
Dr.W.Slaa Eti nini safari za MAMA SLAA hazikuwa siri, hiyo inatosha kutuwaminisha kuwa hakuna ufisadi hapo?, mbona rais wa nchi akiondoa tena safari yake kutangazwa na media , bado maneno huwatoka kwamba anatumia pesa vibaya?

Huna mpango wa kujenga hospitali , labda baadaye? Umeasisi CCBRT, hiyo unayosema kama utajenga ni baadaye nayo itakuwa taasisi au hospitali ya FAMILIA? Hauna eneo MLALAKUA?
 
Last edited by a moderator:
Kukwepa kulipa kodi ni kosa kubwa sana kisheria. Huyu mzee hana tofauti na akina mama Rwakatale wanaotumia kanisa vibaya huku akiuza madawa ya kulevya. Haiwezekani kuigeuza nyumba ya ibada ni pango la kupitishia magendo yake. Huyu ndie rais mtarajiwa wa makamanda! Mungu atuepushie hatari kubwa hii inayokuja na kuchafua taifa letu. Nilikuwa nasikia kuwa huyu mzee na wahaini wengine ndio waliokuwa wanasafirisha 'MALIASILI' zetu kinyemela kuzipeleka ulaya hasa ITALY na baadae wanaenda na kupewa vijimisaada kwa mgongo wa kanisa. Sasa naamini hazikuwa allegations ila ni ukweli mtupu.

sasa kama mama rwakatare anauza sembe kwa kutumia mgongo wa kanisa na ni kada wenu mbona mko kimya??au kwa kua ni kada wenu!
 
Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.

2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!

Hivi kwenye mafundisho yako ya upadri, mkeo kumbe anaweza kuwa mama yako ? Nashkuru kwa kunifumbua ujinga huu.
 
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.H

59659_451739378204932_322908579_n.jpg

Hii Tarehe na mwaka mbona tofauti?
 
Niwapongeze Team Lumumba kwa kuendeleza um'a's'a'b'u'l'i hapa jamvini. Ritz umepata tija gani kwenye hii thread?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom