Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Wakuu! Mleta uzi huu kwanza hajasema chanzo cha habari yake, pili nijuavyo mimi miongoni mwa vitu visivyolipiwa kodi ni pamoja na hospitali na shule; hivyo hata kama kungekuwa na suala hilo la ujenzi wa hospitali tusingeweza kujadili suala la ukwepaji kodi kwa kuwa hospotali hazilipiwi kodi, tatu anaesema kuna ukwepaji kodi ni nani? na mwisho uzi huu umelenga uchochezi wa kidini na kuwachafua watu wa dini fulani kwa sababu maalum. Ritz alete ushahidi wa mambo anayosema hapa asipoleta; tutatafsiri kuwa huu ni mwendelezo wa jitihada zake za kuleta uchochezi wa kidini na bila shaka mods watamuhudumia ipasavyo.
betlehem
Hizi sembe mnazotumia zitawadhuru tatizo siyo misamaha tu ni maslahi wanayohakikishiwa wajapani usisome habari nusunusu kama vile upo kwenye choo cha public!
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!

Kamanda Mwita Maranya
Hii misuba mnayovuta ni TBS approved? Josephine ndiyo slaa au hilo nalo unataka tukufundishe? Hii tabia ya kukurupuka kama umeona nyoka chooni acha!
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!

Hapa kili jamaa limejificha katika mambo ya udini, Nahisi linaona wivu. Na kanisa lenye vision kubwa pale Kawe ni la Ufufuo. Ni kanisa makini. Sijui huyu jamaa anaumwa nini?
 
Kwani hiyo hospital wanamjengea nani na itamilikiwa na nani??

Maana mara ya CDM ..................?? Mara kanisa linatumiawa. Sasa kama ni ya CDM kwa nini mkwepaji kodi awe Dr. Silaa??
 
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.

Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.

Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015, kwa maana ya Dr. Slaa.

Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr. Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.

Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya Mapato nchini TRA.

Mimi jamani nashindwa kuelewa, mbona kila siku Dr Slaa. Inaonyesha ni tishio kubwa la CCM, haiwezekani mtu msiyemhofia mkawa mnamsakama kila wakati. Tulieni, waambieni wakuu wenu watimize ahadi zao kwa wananchi vinginevyo anguko lenu ni inevitable hata kama sio Dr Slaa atakayesimama kwa tiketi ya CDM
 
Mura
Dada ameanza mapema mno loooh
na mara zote sie akina mama ndo
tunahafanya haramu kuwa halali.

Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!
 
Kamanda JF siyo mali ya Chadema, wewe unataka kusikia mazuri ya Chadema tu.

hizo buku 7 zinakudhalilisha sana mkuu!!!uwe na aibu walau unapoitetea CCM!sisi tuna upeo kuliko wewe mara 10000000 ndiyo maana hatukubali kutumika
 
Mura
Dada ameanza mapema mno loooh
na mara zote sie akina mama ndo
tunahafanya haramu kuwa halali.

nimemuuliza alete sifa za CCBRT,wamekwepa kodi?,maisha ya kina mama,watoto wenye mtindio wa ubongo,fistula wanatibiwa pale!sasa kama Dr.Slaa ataanzisha hospital nyingine kuna ubaya gani?ana uzoefu wa huduma za jamii!!!kakaa kimya!JK kafanya nini?hana la kujibu
 
Credibility ya source ya hii taarifa ni problematic na mleta taarifa alivyoiandika utadhani ni house boy wa Dr. Slaa kama sio room keeper wake. Tunachangia na bila hata kuhoji chanzo cha taarifa. Hata siku moja Maccm yakiongozwa na hawa wapuuzi kama kina Ritz hawawezi kuwa chanzo cha kuaminika cha taarifa kama hizi. Hili mni kundi la kina NAPE linaloishi kwa buku 7 za lumumba na kila siku wapo busy kuwachafua viongozi wa CDM humu. Wapo kwa ajili ya propaganda, wakilala Dr. Slaa, wakiwa usingizini Dr. Slaa, wakiamka Dr. Slaa.....kwa ujumla anawatoa kamasi jembamba na mti wenye matunda ndipo wanapotupa mawe.

Acha ujinga wewe issues zotebzinazomhusu Slaa hata kama zinaonesha kuwa na ukweli unaleta ujinga ujinga wako,kws nn tusichambue hili kwanza na kujua ukweli wake,usipende kutukana wakati hujapata ukweli,
 
Last edited by a moderator:
Ritz Dk Slaa anakutia wasiwasi sana na mikakati yake,kwa taarifa ni kwamba yeye huwa anajua kabisa kwamba mnamtafuta ili mpate cha kusema,so hawezi kukurupuka kama Makada wenu wanaouza sembe
 
Last edited by a moderator:
Hadithi ya kufikirika. Leta ushahidi. Picha hizo sio ushahidi. Mtu yeyote aweza kwenda Japan na kutembelewa na wajapan> Leta ushahidi wa kukwepa kodi.
 
Ritz, we ni balaa!! Ndugu yangu hata kama unamchukia Dr. jitahidi kulitendea haki jukwaa na kuheshimu japo gharama za watumiaji!!

Ulichokiandika hapa ni zaidi ya uvivu wa kufikiri!! Hata kama habari hii uliisikia kwenye ghahawa ulitakiwa kujiridhisha nayo kwanza!!

Matokeo yake umeleta UZANDIKI, UKUDA, UMBEA NA UCHOCHEZI!! Yaani wewe ukishapata picha ya Josephina baaasi...umpata habari!!!??

Ritz, Josephina na Dr ni zaidi ya Makatapila kwenye siasa za Tz HAWACHAFULIKI!!
 
ningekuoan wa maaan sana kama ungekuja na mjadala wa kupinga wakwepa kodi wakubwa wa nchi hii wanavyoachiwa kama yule jamaa wa home shopping centre aliyemwagiwa tindikali anayedaiwa kukwepa kodi ya zaidi ya bilioni 50....... kodi kwenye vifaa vya afya haitwakiwi kuwepo kwa mtu yoyote yule hata wewe kama unataka kujenga hospital i will b the first kupiga kelele usilipe kodi kwani ni huduma za jamii!!!!!!!
 
Mkuu Ritz
jamaa amepewa kijiposho cha chai ataandika kila ujinga ili kumtetea nabii wao!
huo ni udhaifu wa serikali gani katika kusimamia misamaha ya kodi inatumika ipasavyo?ipo chini ya chama gani tawala kama kinavyojiita?
 
Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!

Mkuu na wewe unakuwa kma wale wanaolipwa buku tatu na kutembea n sumu hadi kwenye baa?!hii tabia umeianza lini?!,siku zote nimekuwa nasema kwamba tuache ushabiki kama suala kuna ukweli tukemee lakini sio kuanza kuandika ujinga?!ndiommaana kuna wakati wanasema vijana wa BAVICHA wana akili ndogo,kuna wengine humu naon wanaomba thread itolewe,kinachotakiwa hapa ni majibu tu hakuna kingine.
 
Last edited by a moderator:
shame on you Ritz na siasa zako za majungu
 
Acha ujinga wewe issues zotebzinazomhusu Slaa hata kama zinaonesha kuwa na ukweli unaleta ujinga ujinga wako,kws nn tusichambue hili kwanza na kujua ukweli wake,usipende kutukana wakati hujapata ukweli,

hospital wananchi wote tuitafaidika!Jee misamaha ya kodi katika cement,sukari,mchele anayopewa mohammed dewji(MB-CCM),mafuta ya magari migodini nani anafaidika?
 
ningekuoan wa maaan sana kama ungekuja na mjadala wa kupinga wakwepa kodi wakubwa wa nchi hii wanavyoachiwa kama yule jamaa wa home shopping centre aliyemwagiwa tindikali anayedaiwa kukwepa kodi ya zaidi ya bilioni 50....... kodi kwenye vifaa vya afya haitwakiwi kuwepo kwa mtu yoyote yule hata wewe kama unataka kujenga hospital i will b the first kupiga kelele usilipe kodi kwani ni huduma za jamii!!!!!!!
Hili jamaa, unapigia mbuzi gita. Hamna kitu kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom