Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
quote_icon.png
By Ritz taratibu wangu huwa namjibu mtu kutokana anajadiana na mie. bahati nzuri mie naongea na mwenye Mbwa.
Hivi kwa nini Ritz asipigwe ban kwa kuandika uongo na kuanza kuwatukana wanaJF?
 
Last edited by a moderator:
Yaani goi goi ni goi goi tu hata umpandishe ghorofani.

Kwa hiyo kwa akili yako, serikali ikitaka kujenga kituo cha polisi, itajichaji kodi kwenye matofali na mabati ila itajiondolea kodi kwenye bunduki.....!!!! Kweli CCM ina mambo!

Sikiliza wewe nnya, tayari umeshaambiwa hakuna mpango wa hospitali sasa rudi kwenye mada, hakuna kodi, then what?

Halafu sijui umesoma wapi, Kiingereza hujui, Kiswahili hujui...bila shaka unaongea Kireno au Afghan mnakoenda kuchukua 'sembe' ambayo nayo ni Tax Exempted.

Baabara sio mahabara
Unahitaji sio unaitaji

Ndio nyie tunawatafuta mrudi kwenu, mnajifichajificha kwenye mgongo wa CCM na kumaliza tembo wetu
Ukiwa kilaza kazi kweli wewe hayo ndiyo umeyaona kwenye post yote bavicha janga la taifa.
 
A haaa! kumbe mambo ya maana, nilidha anashiriki na lile genge la wahuni kusaka Tembo wetu maslia.
 
Yaani goi goi ni goi goi tu hata umpandishe ghorofani.

Kwa hiyo kwa akili yako, serikali ikitaka kujenga kituo cha polisi, itajichaji kodi kwenye matofali na mabati ila itajiondolea kodi kwenye bunduki.....!!!! Kweli CCM ina mambo!

Sikiliza wewe nnya, tayari umeshaambiwa hakuna mpango wa hospitali sasa rudi kwenye mada, hakuna kodi, then what?

Halafu sijui umesoma wapi, Kiingereza hujui, Kiswahili hujui...bila shaka unaongea Kireno au Afghan mnakoenda kuchukua 'sembe' ambayo nayo ni Tax Exempted.

Baabara sio mahabara
Unahitaji sio unaitaji

Ndio nyie tunawatafuta mrudi kwenu, mnajifichajificha kwenye mgongo wa CCM na kumaliza tembo wetu
Hapo kwenye RED:
Mungu amejaribu kukupa ishara kuwa binadamu siyo mkamilifu kama unavyotaka kuwaaminisha baadhi ya wanaJF kiasi kwamba amekupiga kofi la upofu kama ilivyofanyika kwa unayemkosoa na kujikuta na wewe unafanya makosa yale yale unayoyakosoa.

Ninatumaini hili litakuwa ni fundisho kwa siku zijazo.
 
Naona Bavicha wanatokwa na mapovu tu ovyo, teh teh teh teh.
 
Mkuu na hasa kwa mtu asiyekuwa makini,hili kweli ni fundisho kwake na kwa wengine na hasa Bavicha ambao wengi wao wamekuwa waropokaji na kazi yao kubwa ni kutembea na sumu!
 
Hapo kwenye RED:
Mungu amejaribu kukupa ishara kuwa binadamu siyo mkamilifu kama unavyotaka kuwaaminisha baadhi ya wanaJF kiasi kwamba amekupiga kofi la upofu kama ilivyofanyika kwa unayemkosoa na kujikuta na wewe unafanya makosa yale yale unayoyakosoa.

Ninatumaini hili litakuwa ni fundisho kwa siku zijazo.
Teh teh teh Mungu hawezi kumtupa mja wake.
 
mama slaa anaandaliwa miradi baada 2015.slaa anajijuwa kwamba yeye ni mshiri tu wa ugombea uraisi.
kwanini kanisa limetumika kwa maslahi ya chadema????????.harufu ya UDINI inanuka.
na ikiwa mambo madogo mnashindwa kujisafisha kwa kuchangia pato la taifa je kama mtakabidhiwa nchi rasmi??!??
hivi mtei na uwezo wake kielimu anashindwa kuona dhulma inayofanyika katika hili.
1.dr slaa anatangazwa kuwa ndie mgombea wa urais na muda wenyewe bado democrasia iko wapi?
mbona zito alivyo tangaza alikuja juu.
2.dr slaa anamtumia mama josephine kama nani? kwa mujibu wa chama.
3.ukwepaji wa kodi kwa njia ya kanisa kama taasisi kwani chadema sio taasisi ilio kamilika????????

ingawa ninayo maswali mengine 100 kwenye hili.
lakini halahala na tindikali zenu.
 
Naona Bavicha wanatokwa na mapovu tu ovyo, teh teh teh teh.

Huu ni msumari wa moto na mbaya zaidi umekita katikati kwenyewe ni ngumu hata kugeuka,hatari hiyo kaka?!Kwa sababu ukijitikis tu lazima uongeze kuingia ndani zaidi!
 
Hivi kwa nini Ritz asipigwe ban kwa kuandika uongo na kuanza kuwatukana wanaJF?

Wewe ndiye unatakiwa kupigwa ban kwa sbb umemsingizia kwamba amesema uongo,kama ingekuwa uongo ninavyojua wana jf walivyo makini wakiongozwa na Maxence wangekuwa wameshaiondoa hii thread mapema sio lazima wampige ban!,hapa kinachotakiwa ni wewe kuwasiliana na Bavicha wote mje humu muanza kujieleza.
 
Last edited by a moderator:
Yni sasa ukitaka kujua kundi gani lina akili kubwa humu jf chungulia thread hii utaona ni wakina nani wana akili kubwa na wapi wenye akili ndogo kama ambavyo tumekuwa tunasema,wenye akili kubwa wote nikiwemo mimi,Ritz,rais mpya na wengineo wnaojijua ndio wamebaki humu wanatamba.
 
Huyu Doctor miaka yote naskia ana mchumba,,, n kwamba hataki kuoa au?
Nazan huyo sio mchumba n hawala yake tu,,,,
 
Hivi kwa nini Ritz asipigwe ban kwa kuandika uongo na kuanza kuwatukana wanaJF?
Kamanda naona Ritz, anakunyima usingizi, matusi watukane Bavicha ban unataka nipigwe mie.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa nini Ritz asipigwe ban kwa kuandika uongo na kuanza kuwatukana wanaJF?

sasa uongo uko wapi? wadau wa chadema wote wamekubali kutumia kanisa ili wasitozwe kodi.
pili kwani kufuga mbwa kuna ni tusi?.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda naona Ritz, anakunyima usingizi, matusi watukane Bavicha ban unataka nipigwe mie.

Tatizo matusi au Tatizo Uongo?
Wewe si umezusha wageni Ishirina nyumbani kwa Dr., Ujenzi wa Hospitali, Ukwepaki wa Kodi na yote yamekanushwa hapa.

Sasa hii huruma unayolilia itatokea wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom