Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Sidhani mtu mwenye akili na mwenye ufahamu wa kutosha juu ya swala analoliongelea anaweza kuleta hoja isiyoeleweka kiasi hiki.Umejaribu kurudia ulichokiandika uone kuwa hueleweki?
 
TUWACHE UNAFIKI NA UZINDAKI hili analofanya dk slaa ni jema kwa manufaa ya watanzania wote mambo kama haya ya kimaendeleo ni vyema yakaungwa mkono na serikali kwa nguvu zote

ngoja huyu mbiga akatike kiuno atamtafuta dr slaa amponyeshe bila kupenda
 
Kwa hili sizani kama kuna shida ila nachomuona huyu mzee ni kwamba aangalie sana siasa zake kama kweli ni mzalendo wa nchi hii kwani siasa zake na kuropoka maneno na tuhuma ambazo baadae anashindwa kuthibisha ndio chanzo cha machafuko sana na amani kutoweka pia asiwe na negativity muda wote against the gvnmnt wala hiyo sio siasa na maendeleo.anapasa kusfia na kuunga mkono maendeleo stahiki yanapopatikana
 
Mkuu na hasa kwa mtu asiyekuwa makini,hili kweli ni fundisho kwake na kwa wengine na hasa Bavicha ambao wengi wao wamekuwa waropokaji na kazi yao kubwa ni kutembea na sumu!
Nimeshangaa sana na majibu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA. Maswali yaliyoulizwa yako straight na hata majibu yake tulitegemea yangekuwa straight kulingana na historia yake katika kutoa majibu mbali mbali. Ni vigumu sana kama siyo haiwezekani kabisa kupambana na ukweli kwa kutumia siraha ya uwongo.

Hii inapelekea kuamini hiki kilicholetwa hapa kina ukweli na kimekuja hapa bila Dr. Slaa kutegemea kama kinaweza kufahamika.

Kama haya maelezo siyo ya kweli, inabidi basi atuambie Dada Josephine alikuwa anafanya biashara gani na hawa Wajapan?.

Josephine Mashumbushi is overambitious na kwa kufanya hivyo, anatumia njia zote kuhakikisha anakipata kile anachokitaka.

It's not easy to convince someone to depart from his wife and follow someone else in life. She manage to do exactly the same na kwa nini asiweze tena kumshawishi Dr. Slaa kukubaliana kwenye deals zingine kwa kupitia jina la CHADEMA.
 
Kamanda, JF siyo mali ya Chadema, mnachotakiwa ni kujibu hoja.

Tuanza na hii Dr.Slaa na Josephine hawana kiwanja Mlalakuwa?

Tueleze ziara za Josephine Japani kila muda ni za nini?

Jibu kamanda.

mbona wewe hujajibu kama biashara yako ya sembe unalipia kodi? Jibu kwanza kabla ya kukomalia wengine wajibu!!
 
Nimeshangaa sana na majibu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA. Maswali yaliyoulizwa yako straight na hata majibu yake tulitegemea yangekuwa straight kulingana na historia yake katika kutoa majibu mbali mbali. Ni vigumu sana kama siyo haiwezekani kabisa kupambana na ukweli kwa kutumia siraha ya uwongo.

Hii inapelekea kuamini hiki kilicholetwa hapa kina ukweli na kimekuja hapa bila Dr. Slaa kutegemea kama kinaweza kufahamika.

Kama haya maelezo siyo ya kweli, inabidi basi atuambie Dada Josephine alikuwa anafanya biashara gani na hawa Wajapan?.

Josephine Mashumbushi is overambitious na kwa kufanya hivyo, anatumia njia zote kuhakikisha anakipata kile anachokitaka.

It's not easy to convince someone to depart from his wife and follow someone else in life. She manage to do that na kwa nini asiweze tena kumshawishi Dr. Slaa kukubaliana kwenye deals zingine kwa kupitia jina la CHADEMA.

Baba akiwa na akili ndogo lazima watoto na wajukuu akili zao ziwe ndogo!
 
Kamanda, JF siyo mali ya Chadema, mnachotakiwa ni kujibu hoja.

Tuanza na hii Dr.Slaa na Josephine hawana kiwanja Mlalakuwa?

Tueleze ziara za Josephine Japani kila muda ni za nini?

Jibu kamanda.

Kwani analijua hilo au yeye amekalua tu kupanua mdomo na kusema pipooooooz,mburula kweli huyo jamaa!
 
Unaomba mechi iishe? Tulia cheza mpira dogo acha kutegemea marefa.

Dogo ulimi umemtoka,kakabw kila kona mbaya zaidi anamuomba kocha wake amtoe kocha nae kakataa kwa sababu sub imekwisha,mbaya sana refa nae ndio kwaanza haangalii kama mijamaa imechoka!
 
Hahah mkuu, huyu mama sijui pepo gani limemwingia. Kilichobaki ni kumwombea tu.

Huyo mama anajifahamu na anajua kama sio ccm hata kuandika hapa mtandaoni kama ufanyavyo wewe asingeweza. Ni wachache sana wenye tabia za kushukuru na miongoni mwao ni Mamndenyi na chama.
 
Last edited by a moderator:
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima mch joeseph gwajima amesema katika mchakato wa katiba mpya inayokuja serekali tatu haziepukiki

gwajima aliyasema hayo juzi jpili wakati wa ibada

gwajima alisema anamshauri rais jk kutokubali maoni ya washauri wake wasiona mbali,

alitoa mfano kwamba kama zanzabar inasekali yake na mambo yao vipi sasa tanganyika haina serekali?

Alisema zanzbar tuwaache na mafuta yao na sisi tujifunie gesi yetu

alisema kama serekali inaliogopa jina tanganyika kutokana na asiliyake ni tanga bazi watafte namna nyingine yakujiita alimradi tu ipatikane serekali tatu.

My Take: au hii ndio imemuudhi Ritz.
 
Mtakuja kuelewa tu baada ya kuibiwa saaana na hao akina Silaha na Dj Mbowe! Hawana uzalendo wala nini! Ni wajasiria mali tu! Zindukeni nyie misukule!

tumekuelewa; kumbe wazalendo ni wale wanaouza twiga, wanaoua tembo, wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya, wanaosaini mikataba inayogharimu nchi... !?
Kwakweli kwa sasa haihitajiki nguvu nyingi sana kumjuza mtanzania ukweli ni upi na uongo ni upi; mtanzania wa leo ni tofauti sana na yule wa juzi.
 
Nimeshangaa sana na majibu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA. Maswali yaliyoulizwa yako straight na hata majibu yake tulitegemea yangekuwa straight kulingana na historia yake katika kutoa majibu mbali mbali. Ni vigumu sana kama siyo haiwezekani kabisa kupambana na ukweli kwa kutumia siraha ya uwongo.

Hii inapelekea kuamini hiki kilicholetwa hapa kina ukweli na kimekuja hapa bila Dr. Slaa kutegemea kama kinaweza kufahamika.

Kama haya maelezo siyo ya kweli, inabidi basi atuambie Dada Josephine alikuwa anafanya biashara gani na hawa Wajapan?.

Josephine Mashumbushi is overambitious na kwa kufanya hivyo, anatumia njia zote kuhakikisha anakipata kile anachokitaka.

It's not easy to convince someone to depart from his wife and follow someone else in life. She manage to do exactly the same na kwa nini asiweze tena kumshawishi Dr. Slaa kukubaliana kwenye deals zingine kwa kupitia jina la CHADEMA.

Anasaidia kuwapa shule mamburula kama wewe.
 
hivi ndivyo tamthilia ilivyokuwa na macharacter wamecheza kama ifuatavyo;
japan. namna masharti na makubaliano yalivyokuwa
josephine; kama medietor
mchungaji;kama dalali

uzalendo; wa kulikosesha mapato taifa
 
CHAMVIGA
zidumu fikira zako,
tena zidumu milele.

Napata wakati mgumu kuamini kama mtu mwenye akili safi kama nimfahamuvyo Mamndenyi anaweza kuishabikia CCM tena kwenye hoja mfu kama hii....Nadhani kuna tatizo, Mamndenyi popote ulipo njoo huku kuna mtu kaiba password yako anakuchafulia jina humu.

Last edited by a moderator:
Dah!! Kumbe mtu yeyote anaweza kuchukua picha kutoka Facebook akaleta JF akaitungia habari za upumbavu, na watu wakajaza saver!!!

Sijui tunalipeleka wapi jukwaa!! Who is the moderator on duty today!!??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom