Mwanzo nilikuwa siamini kuwa kweli kuna watu "wanakosa usingizi" wakilisikia tuu jina la Dr. Slaa!.
Mimi sio mwana Chadema, ila haya usemayo kama ni kweli, then ni jambo jema!. Vifaa vya hospitali popote havilipiwi ushuru!. Hivyo usisingizie kuwa eti huo ushirikiano na dini fulani ni kwa lengo la kukwepa kodi!, umenoa!.
Tatizo lako Mkuu Ritz, ni ule tuu uoga wako kuhusu "2015" kuwa "jamaa anaweza kuwa!", hivyo sasa unaanza fitna kuwa hospitali msaada huo ni kwa sababu tuu wajapani wameahidiwa kuwa "2015 atakuwa!" ndia maana wanasaidia!.
Acha uongo, fitna na majungu!. 2015 litatimia lile tuu lililoandikwa!.
Ni "liandikwalo ndilo liwalo!" na sio "lisemwalo!".
Pasco.
Mkuu Pasco
Ni hayawani tu ndiye atakayekosa usingizi kwa ajili ya slaa; tatizo kinachoongelewa hapa sio hospitali au ushuru tatizo ni watu kutumia taasisi za kidini kukwepa kodi na kutumia misamaha ya kodi kwa matumizi yao binafsi; siku zote nategemea mwandishi wa habari aliyebobea kama wewe kuandika vitu vyenye utafiti wa kina; kauli kama hii angeitoa Mohamedi Mtoi; Molemo; Matola au Mwita Maranya nisingeshangaa sana wala nisingepoteza muda kuijibu; mkuu hilo neno unalolisubiri 2015 halipo ni rahisi sana kwa shoga/------ kupata mimba kuliko slaa kuwa raisi wa JMT; sasa kama uliwahi kusikia shoga kupata mimba basi hilo neno unalolisubiri litatimia!
Last edited by a moderator: