Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Uzuri ni kwamba Dr Slaa hajawahi kumung'unya maneno , hapo nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe .
 
nishakwambia bunge limepewa riport fake.
waandishi wa tanzania nao wanakula rushwa kuandika wanayoyataka hao waroho wa vitalu vya gas.
tunataka fact zinazoweza kusimama hata mahakamani zikaeleweka.
muhongo kachukua hela ngapi mkombozi ama stanbic?

mbona kama pap ni kampuni fake wanashinda kesi mahakamani iwe ndani ama nje ya nchi?
Mkuu bunge lilipewa report feki na nani na kwa madhumuni gani tusaidie
 
ooh kikwete anaua chama...
sasa kama anaua chama wewe mpinzani kinakuuma nini?si ndo uache akiuwe ili mkamate madaraka?.
watu wamekalia majungu ya kijinga sana
Kwa hili nakuunga mkono.Kuvunjika kwa pakacha ni nafuu kwa mchukuzi.ccm kufa ni nafuu na mwanga wa matumaini ya maisha mapya kwenye nchi hii iliyojaa maziwa na asali.Tatizo lililopo na ambalo ndilo limekufanya uwaite wambeya ni tatizo la watanzania walio wengi including some wapinzani ila ukiniondoa mimi-wanaamini TANZANIA BILA CCM HAIWEZEKANI na wanasahau TANZANIA kwa maana ya TANGANYIKA na ZANZIBAR ilikuwepo before ccm-1977 and TANU 1954
 
Kweli nimeamini team buku7 ipo na inafanya kazi kama ilivyoamrishwa.
Uzi wa Dr. Slaa/ Mbowe/ Lissu/ Mnyika utawaona wameibuka faster to crush lkn kwingine huwaoni zaidi ya kumsifia professor wa kichina.
Hongereni kwa ajira mbadala kupitia jf.
Hongera Harbinder kwa kutoa ajira kuanzia kwa prof mpaka kwa vijana wachumia tumbo wake.
 
Mkuu bunge lilipewa report feki na nani na kwa madhumuni gani tusaidie

report ya PAC bungeni ilisema pesa za umma zimeibiwa kupitia account ya escrow bilioni 321,wakati hata humo kwenye account ya escrow kulikua na pesa pungufu ya hizo,yaani zilikuwepo bilioni 202,sasa huo kama si uongo tuuiteje?
riport imedai ni pesa zote za umma kama ni kweli zilikuwa zikifanya nini escrow account?
ni pesa za umma kwa vigezo vipi,bora basi wangeweka hata mahesabu tuone ni vipi zinakua pesa za umma.
wanadai watu wameenda na viroba kugawiana pesa stanbic ,kwa ushahidi upi?
wanajisahau na kudai tena kuna account pale stanbic zimeingiziwa pesa,sasa kama kumbe pesa iliingizwa katika account kulikua na haja gani tena watu kwenda na viroba,si kama walienda na viroba maana yake ni kuwa pap alidraw pesa akawajazia katika viroba wakasepa,account hapo inatoka wapi tena?
 
Hana ishu. Anaichambua imekuwa mchele?

Slaa amechoka hana ushawishi tena ilikuwa zamani

Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.

Amechuja yule

Chizi huyu baba

anaongea pumba HUYU MZEE ANACHOONGEA HAKIELEWEKI..UCHUNGUZI UNAENDELEA ANACHO JADILI NINI?

bora nimuanglie marin hassan TBC 1

Anakijungu/kishuzi

Mnashangaza sana, yaani kusikia tu Dk. Slaa anaongea mmechanganyikiwa na kuanza kutoa povu. Jifunzeni kusikiliza na kujibu hoja badala ya kuhorojoka kwa vioja.

Mnashusha hadhi ya JF

Vv
 
Mkuu huyo hajaramba mgao ni ujinga na unafiki wake tu.Haamini kama anaweza kuishi bila kuwaramba miguu wanaume wenzake

na leo sasa ndo mtanikoma hasa humu ndani na nimestick hapa mpaka mlie na ukitaka beef pia niko ok
 
mijitu inakula viroba kutwa leo eti inajifanya kujua,wewe unajua escrow ama unaclaim
 
Rais anawakingia vifua wezi,nae kapiga mkwanja
 
Slaa ni tatizo kubwa ndani ya nchi

Yaani wewe huoni zaidi ya inapoishia pua yako. Yaani Dk Slaa ndio tatizi nchini!

Ni bahati mbaya hata viongozi wengi wa nchi hii wanawaza kama wewe; kutwa kucha ni kupambana na wapinzani kana kwamba hawatakiwi kuwepo!

Anyway, kwa tafsiri ya kijinga nakubaliana nawe, na ndio maana nguvu kubwa ya watawala imewekezwa dhidi ya Chadema.

Ngoja tusubiri, labda Chadema itakufa kabla ya 2015 kama walivyodai Watawala.

Vv
 
ruge kafika hatua ya kumwita rais wetu "dear"

hawajakutana barabarani ...toka enzi dear jakaya anarudi mjini toka repatriation aliyopigwaga na katibu mtendaji daudi mwkawago ...kwenda kuwa katibu wa wilaya ...za kusini ...
Hapo jk akiwa na ruge ..enzi akiwa naibu waziri wa nishati na madini ..chini ya mzee alnoor kassam
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    38 KB · Views: 134
Dogo J.K is there to stay and deliver, hizo tamaa tamaa zenu asimalize kipindi chake cha uongozi, kamwe hazitokuja kufanikiwa. Baada ya kushindwa uchaguzi wa 2010 mlisema nchi haitotawalika, matokeo yako wapi. Huyo babu tamaa anajidanganya tu hana hadhi ya kuwa Raisi. Akae zake tu ufipa kuugulia uchungu wa kushindwa. Tunajua ina muuma sana lakini akubali tu Kikwete is his President
haaa haaa, we ndo bure kabisa, bado unaleta siasa katika maisha ya watanzania?
 
Nimegundua slaa ni mtu makini sana! Anasema jk ingekuwa ni nchi nyingine angesha jiuzulu.


atajiuzulu vipi wakati anajuwa anaowaongoza ni mapoyoyo! mizee mizima na mibusha yao imerundikwa Diamond Jubilee kushangilia ujinga!

nchi imeoza hii.

na huu mtandao wa Jakaya na wenzake hautaiacha nchi salama. Watu wote wapiga-dili kwenye masuala ya nishati ya umeme wapo lined kuutaka Urais wa nchi hii maskini. ili waitafune vizuri. Hatuwezi kuona mambo haya kama Watanzania. Tumegawanywa. Tunachukiana sisi kwa sisi ili katika kuchukiana huko, wao wapenye katikati kuendelea kututawala. Tunawachagua na wanashinda kwa kiSHINDO wanasema. Haya ni matusi kwetu. Tunatukanwa tunachekelea.
 
report ya PAC bungeni ilisema pesa za umma zimeibiwa kupitia account ya escrow bilioni 321,wakati hata humo kwenye account ya escrow kulikua na pesa pungufu ya hizo,yaani zilikuwepo bilioni 202,sasa huo kama si uongo tuuiteje?
riport imedai ni pesa zote za umma kama ni kweli zilikuwa zikifanya nini escrow account?
ni pesa za umma kwa vigezo vipi,bora basi wangeweka hata mahesabu tuone ni vipi zinakua pesa za umma.
wanadai watu wameenda na viroba kugawiana pesa stanbic ,kwa ushahidi upi?
wanajisahau na kudai tena kuna account pale stanbic zimeingiziwa pesa,sasa kama kumbe pesa iliingizwa katika account kulikua na haja gani tena watu kwenda na viroba,si kama walienda na viroba maana yake ni kuwa pap alidraw pesa akawajazia katika viroba wakasepa,account hapo inatoka wapi tena?
Mkuu kwanza nakuonea huruma.pili nasikitika sana kwa kuwa ni mgumu wa kuelewa, na tatu nina furahi sana kuona ukiwaamini viongozi wako hasa wa ccm na serikali yake,na kiukweli watanzania wengi tunawaamini viongozi wetu sana na si kosa kuwaamini.kosa letu ni kusahau kuwa nao ni binadamu,ni kama sisi tu lakini kwa kuwa nafasi ni moja basi Jk akawa Raisi out of 44.9 million people na wanautashi wao na masilahi yao binafsi.Viongozi wetu hasa wa serikali na ccm wanafahamu kuwa watanzania tunawaamini sana and so kwa makusudi au kwa bahati mbaya wakaamua kutumia mwanya huo kutudanganya.so sikulaumu sana maana nawe umeadhirika na uongo wa watawala wetu hata mie nilikuwa hivyo hivyo.Acha nikuchekeshe kidogo,Siku moja Kikwete alisimama kwenye jukwaa akatangaza kuwa mtu yeyote mwenye degree ya 1,2,3 aende wizara a,b,na c akapewe ajira si na mimi nikaenda?unajua kilichonikuta? niliishia kuambiwa mpumbavu.Ndugu yangu hawa watawala wetu hata kama wamekupa kazi na wanakulipa hawafanyi siasa kama unavyoijua siasa hawa ni waongo-Rais wako nasikitika kakudanganya nawe umedanganyika kikweli kweli.Pole sana
 
Back
Top Bottom