Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 644
View attachment 213957
Ni ITV na sio Star TV
Halafu amekaa kihuni kweli. Rais mtarajiwa unabinua t.a.k.o namna hii mbele ya kadamnasi, ni aibu mno.
View attachment 213957
Ni ITV na sio Star TV
huo ni uthibitisho kuwa tuna rais dhaifu na asiyejua majukumu yake. Jk watanzania tulichemka wallah. Hilo liwe funzo kwa mwakani kwa vyama vyote vya siasa.hizi sio sarakasi za mwanzo za slaa kujaribu ku capitalise matukio kwenye media tena kwa kutumia ushahidi fake,na daima huwa anafail kama kawaida
Mzee anapenda kufitinisha viongozi wa serikali na wananchi wao.
Suala la Escrow Rais alitumia muda mwingi kulielezea na kila Mwananchi alielewa!
mbona sisi waislam huku zanzibar twampa kura zetu zote maana tumechoka na hiki chama cha maescrow!!
Ruge kafika hatua ya kumwita rais wetu "Dear"
mkuu huo ndo ukweli.Inasikitisha kuona watu wenye uelewa wanakataa ukweli. Dr Slaa amejadili mambo kwa kuzingatia mantiki. Awe amechuja hajachuja alichosema kina Mantiki? Tatizo jamii yetu imejaa watu wenye fikra za "Kidaka Tonge". Kutafuna hakiwezi kimebakiza kudaka kile walichotafuna wengine.
Polisi,comment frm right personHalafu amekaa kihuni kweli. Rais mtarajiwa unabinua t.a.k.o namna hii mbele ya kadamnasi, ni aibu mno.
Halafu amekaa kihuni kweli. Rais mtarajiwa unabinua t.a.k.o namna hii mbele ya kadamnasi, ni aibu mno.
Slaa amechoka hana ushawishi tena ilikuwa zamani
Mzee anapenda kufitinisha viongozi wa serikali na wananchi wao.
Suala la Escrow Rais alitumia muda mwingi kulielezea na kila Mwananchi alielewa!
haa haa kama sio za umma mbona maswi kawekwa pembeni? Je CAG anakaguaga pesa zisizo za umma?makosa yasio hata na ushahidi,mshaambiwa escrow si pesa za umma mwenye ushahidi vinginevyo aweke hapa
mbona sisi waislam huku zanzibar twampa kura zetu zote maana tumechoka na hiki chama cha maescrow!!
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
huna hoja! Jk amepotea jumla ameshindwa hata kuilinda katiba aliyoapa kuilinda.
haaah,haah Buchanan ni Tiba wa Jf?Tibaijuka amefukuzwa Kama wewe ulivyofukuzwa umod hapa JF
haa haa mkuu hata mie mwenyewe japo niko tanganyika nitampa! Tusiingize ubaguzi kwenye mambo ya kitaifa!mbona sisi waislam huku zanzibar twampa kura zetu zote maana tumechoka na hiki chama cha maescrow!!
haa haa na bado jk anasema escrow ni pesa za Iptl. Je kwa nini amweke pembeni maswi? Jk ni mzigo.