Lakini kwa ujira wa bando za Lowassa ukamgeuka,ukazungusha mikono na kutoa matusi huku umevalia fulana yako iliyoandikwa ''malofa na wapumbavu katika ubora wenu''Huyu mzee ni hatari haumi umi maneno kabisa. Ndio aina ya viongozi wanaotakiwa.
KigeugeuHuyu mzee ni hatari haumi umi maneno kabisa. Ndio aina ya viongozi wanaotakiwa.
Ajabu ni nini? wakati huo alikuwa na akili lakini Delila akatumika kumrubuni na mzee akaanguka katika ubora. Ni bora sie tunaemsema mtu aliyegeuka kuliko nyie mnao muona leo JK eti hana maana wakati mlikuwa mnamsujudia hata wakati ana sema fedha sio za ummaLakini kwa ujira wa bando za Lowassa ukamgeuka,ukazungusha mikono na kutoa matusi huku umevalia fulana yako iliyoandikwa ''malofa na wapumbavu katika ubora wenu''
Ni swala la wakati, hata mkeo anaweza kuwa mwaminifu na ukatangaza kuwa yeye ni bora, lakini siku ukimkuta na mimi chumbani huwezi kumuita tena mwaminifu na hakuna atakaye kuona kigeugeuKigeugeu
......
Leo mnamuita Msaliti..DahHuyu mzee ni hatari haumi umi maneno kabisa. Ndio aina ya viongozi wanaotakiwa.
KweliSafi sana Dr Slaa, hii itasaidia kikwete kuacha kutoa hotuba zisizo na mashiko..zilizo jaa mipasho , vijembe, uhuni dharau, kejeli, ulaghai na uswahili
Na kuna wengine walikuwa wanamsifia Dl. Slaa humu lakini leo wanamtukana na kumuita Msaliti...Dahnawaangalia watu mliokuwa mkimponda Dr Slaa humu kwa uchambuzi wake kwenye swala la escrow najiuliza sasa hvi mtakuwa na lipi la kusema kwa kweli siwapatii majibu
chadema wana akili za kuku leo magufuli anafanyia kazi ushauri wao wanasema rahisi ashaurikiMsikilize Dr.Slaa live ITV akiongelea sakata la Escrow na hotuba ya Kiwete.
Dr.Slaa, anamlaumu raisi Kikwete kwa kukosa uzalendo kwa jinsi anavyoshughulikia sakata hili la Escrow na kumlaumu kwa kuvunja katiba.
Dr.Slaa amlaumu Kikwete kwa double standard.Yaani kumuondoa Tibaijuka kazini na kumuweka kiporo Muhongo.Pia, amehoji utaratibu wa kumuweka mwanasiasa kiporo.
Dr.Slaa anasema Kikwete anapuuza bunge na kwamba hivi sasa ni serikali inayolisimamia bunge na si bunge linaisimamia serikali.
Dr.Slaa anasema Seth anastahili kuwa amekamatwa kwa kugushi nyaraka na pia kutolipa kodi na kwamba raisi anafumbia macho.
Dr.Slaa anasema singasinga huyu ana uhusiano na Ikulu kwa muda mrefu na ndio maana hachukuliwi hatua.
Pia,Dr.Slaa ameishaangaa polisi kupewa msaada wa fedha na singa singa.
Dr.Slaa pia anashangaa raisi kuwasiliana kwa email na mtuhumiwa mmoja na huku mtuhumiwa huyo akimwita raisi "dear".
Dr.Slaa anungana na maaskofu kutaka uwajibikaji wa watuhumiwa wa sakata hili na pia ameungana na wanaosema raisi anapaswa kujiuzulu(Deus Kibamba ni mmoja wa watu waliotoa kauli kuwa, kwa sakata hili,hata raisi anapaswa kuondoka madarakani-Tanzania Daima la leo).
Dr.Slaa amemalizia kwa kusema hawana chuki binafsi na Muhongo wa raisi.
Na Lowassa je?Ajabu ni nini? wakati huo alikuwa na akili lakini Delila akatumika kumrubuni na mzee akaanguka katika ubora. Ni bora sie tunaemsema mtu aliyegeuka kuliko nyie mnao muona leo JK eti hana maana wakati mlikuwa mnamsujudia hata wakati ana sema fedha sio za umma
Huyo ni binadamu, akitenda vyema anasifiwa akiharibu anapewa makavuLeo mnamuita Msaliti..Dah