Kuzacha ndo kufanyaje?Kuzacha! Wafu wamefufuka
haa haa, jk kwa viroja anatisha. Eti pesa yetu ni madafu.Ruge kafika hatua ya kumwita rais wetu "Dear"
Nimegundua slaa ni mtu makini sana! Anasema jk ingekuwa ni nchi nyingine angesha jiuzulu.
naunga mkono hoja, tungekuwa na bunge makini jk angesimamishwa kwenye urais, amedhalilisha taasisi ya urais na nch kiujumla.
Buku saba oyeeeeee!
Awali mlisema hakuna mtu wa kujiuzuru, walipoanza kuwajibika mkabadiri mziki na kuanza kuimba mapambio ya kumsifu JK. Soon, mwajiri wenu atabadirika maana huu si upepo wa kupita, mtarudi hapa kumalizia mapambio!
Bahati mbaya hizo buku 7 hazitatosha kumsindikiza "The Hague" tutapompeleka Nov. 2015!
Mbona hajazungumza kuhusu maaskofu walionufaika na fedha hizo? Mbona hajazungumza kuhusu benki ya Mkombozi iliyofanikisha utolewaji wa fedha hizo? By the way Dr Slaa dhambi ya uzinifu inamuandama. Hana uhalali wa kuhoji makosa ya mwingine. Kwa uzinifu anaofanya mahala pake ni Jehannam tu
Dissertation zake kuanzia masters hadi Phd aliandikiwa? Ya nini kusema uongo? Unasema uongo kwa manufaa ya nani?
Tukirudi kwenye hotuba ya JK haijajibu kiu ya watanzania kuhusu maamuzi yao kupitia bunge. Kama prof hakubaliani na bunge afuate katiba alivunje bunge ili tufanye uchaguzi vinginevyo ajiuzulu.
Mkuu unauhakika Babu slaa hana chuki na Kikwete, wasema hivyo kwa sababu hujui uchungu wa kushindwa kwenye uchaguzi, Dr Slaa hawezi kamwe kusifu chochote anachofanya JK kwa sababu ya kipigo cha 2010, ni sawa siku Mrema msifie Raisi Mkapa itakuwa ni maajabu ya mwaka
Halafu tunachaguaje mtu aliyekuwa mzinzi mpaka akiwa kanisani hapo ikulu patakuwaje.
haa haa, umeanza kubagua eeh? Nimeamini chini ya ubaguzi hakuna cha mzanzibar, bali wapemba na waunguja. Je wewe mpemba ama muunguja?Tena huko ndiyo kabisaaa, hawataki hata kumsikia, Uzanzibari uutoe wapi wewe. Utauota tu.
Kwa hiyo hata hao EU, World Bank nk wanachuki na JK mpaka wanamsimamishia misaada? Ni uchaguzi gani aliowashinda na hao? Msiwe wavivu wa kufikiri, JK kalikoroga kwa kushindwa kutumia mamlaka makubwa aliyopewa na katiba au alihusika hana jinsi.
tatizo div. 5.
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
haa haa, umeanza kubagua eeh? Nimeamini chini ya ubaguzi hakuna cha mzanzibar, bali wapemba na waunguja. Je wewe mpemba ama muunguja?