Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 426
ITV ni tawi la CHADEMA kwani ulikuwa hujui?
Mtajinye.a mwaka huu
ITV ni tawi la CHADEMA kwani ulikuwa hujui?
Bunge limejadili,waandishi wameandika,kwenye mitandao ndio kabisa.Sasa kama mpaka leo hii hujaona kosa la Muhongo,mimi nikusaidiaje?!!
ooh kikwete anaua chama...
sasa kama anaua chama wewe mpinzani kinakuuma nini?si ndo uache akiuwe ili mkamate madaraka?.
watu wamekalia majungu ya kijinga sana
Mnaobwabwaja ni nyinyi na Slaa wenu, si mpaka awe na kazi ya kuweza kufanya maamuzi. Maamuzi yake ni kukopa fedha za walipa kodi zinazokwenda chadema kama ruzuku na kumjengea hawara.
Wizi, wizi, wizi. Mkiulizwa kimeibiwa nini? mko kimya. Mkiulizwa mlitaka umeme wa bure mpo kimya?
Kuna wizi zaidi ya unaofanyika chadema?
sawa,nchi ingine kama ipi?
Anachambua kwani hayo yamekuwa MATEMBELE .anadai aungane na maaskofu mbona na KILAINI ni mmoja wapo.
Huyu mzee hana tena dalili nyingine ya MVUTO kwa watu. Alishayakologa kwa kukibaka kipengele cha UKOMO WA MADARAKA. Ufisadi wa matumizi ya ANASA ya fedha za chama,kujikopesha pamoja kumuandalia Josephina HOSPILI YA CHAMA ambayo ni inajengwa kama msaada wa JAPAN.
HUU NI ULAGHAI MTUPU!!!.
Ulitaka wewe ndio uwe hawara wa dokta slaa???
Sasa mm ntajuaje , kwani mimi ndio nimesema?
Hotuba ya JK national calamity.
naweza anzisha email mda wowote ikawa,
nakusaka@gmail.com.
kisha nikaanzisha tena,
nakupata@yahoo.com.
kisha nikaandika email toka nakusaka to nakupata,
kisha nikaprint nakudai nimenasa email na vilaza wakaamini.
Ugonjwa ule? khaa! unanchekesha!
Hata hueleweki unasema nn, naona unabwabwaja tu