Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Hana isue. Huyo ni mzee wa matukio. If no matukio hakuna mwanasiasa.
 
Babu anajidai Eti kageuka Sumaku (magnet)ya kunasa mawasiliano. Kila mtu anajua kuwa unaweza kuanzisha Email mbili tofauti kwa kutumia majina unayotaka then ukarusha email ukaenda kutangaza umenasa mawasiliano.mfano fmbowe@yahoo.com na nyingine drslaa@Gmail.com then ukarusha any sms kutoka one account kwenda nyingine ukajitokeza kujifanya Sumaku ya kudaka mawasiliano.
Tena nyamaza wewe mpumbavu kutrack e-mail iliko tokea ni rahisi na wala hatuangalii id ya mail yako Kama huijui technology hii nyamaza sio kubwabwaja Kama wehu wa ccm Pambaf kabisa
 
Hana isue. Huyo ni mzee wa matukio. If no matukio hakuna mwanasiasa.

Jadili hoja na sio mtoa hoja. Kwa akili hizi ndo maana Tanzania inaxidi kuwa hovyo kila siku
 
dk Slaa kudai kuwa serikali ya Kikwete ijiuzulu kuhusu sakata la escrow Nikutaka kupata sifa aonekane mtendaji.
Kiongozi wake ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mh mbowe aliridhia waziri mkuu asijiuzulu na kimsingi mh mbowe aliridhia serikali isijiuzulu
hve dk slaa mwenyekiti wako hajakupa briefing ya yaliojiri bungeni.
dk slaa yeye hawezi diplomasia wala kukompromise na ndio maana hawezi kuwa a national leader.
bunge liliazimia maazimio manane hv dk hukuyasoma?. nilitaraji ujikite ktk utekelezaji wa maazimio hayo na si kuongea kujiuzulu kwa serikali nzm ambapo mh mbowe alikubali bungeni kuwa lisitokee

chanzo itv
 
Slaa amechoka hana ushawishi tena ilikuwa zamani
kama angechoka, angepandisha ushindi wa serikali za mitaa kutoka 4% mpaka 15%? Bado dr slaa anahitajika sana, ni makini na hana mzaha. Jk kaudhalilisha urais, huwezi ukajadiliana na watuhumiwa kabla ya kuchukua hatua kamwe.
 
Pole inakuuma wala hakuna mkombozi ambae hakuonekana kama kichaa lkn baadae ikajulikana kuwa n mkombozi

Daa mkuu uko vizuri Mh D. Kafulila alianza kwa kuitwa Tumbili leo hii tumbili husika wamefahamika!!
 
Ccm wakisia jina Dr slaa wanaweseka kweli
 
Tatizo sio yeye tatizo ni Josephine mushumbusi
 
Mtendaji sio kama Mwenyekiti, yuko sawa Dr. Slaa ndo maana kwa mgawanyo wao huo mzuri wa namna ya kufanya kazi na kutimiza wajibu, CDM inakua kila asubuhi. HONGERA Dr. SLAA kuwa mtendaji mkubwa kwa CDM na Taifa, juhudi zako Watanzania Wanazijua, umetufundisha ufisadi wa CCM, sasa tunauona na tunachukua hatua.
 
Unaangalia nani anasema ama nini kinaswemwa? Kinachosemwa na Dr. Slaa, ni kikubwa kwamba akili zako hazina uwezo wa kukamata? Wewe kwako namna serikali inavyokuwa juu ya bunge ni sahihi tu? Kwamba mahusiano binafsi ya kikwete na mafisadi hadi wanaitana dear, huoni kama ni tatizo kwa mustakabali wa nchi? Kwako hata raisi akivunja katiba ya nchi wewe unabaki kuchecka cheka maana huoni athari?

Halfu bila haya unatoka hadharani unasema mtu kachuja bila hata point moja ya kukanusha hoja zake. .. Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake. Binadamu halisi hakkuwekewe akili za nguruwe.


Amechuja yule
 
Labda wewe hukuelewa, yeye amesema katika nchi nyingine angejiuzulu na kuitisha uchaguzi wa mapema na akasema Tanzania hatuna utamaduni huo.
 
Mtendaji sio kama Mwenyekiti, yuko sawa Dr. Slaa ndo maana kwa mgawanyo wao huo mzuri wa namna ya kufanya kazi na kutimiza wajibu, CDM inakua kila asubuhi. HONGERA Dr. SLAA kuwa mtendaji mkubwa kwa CDM na Taifa, juhudi zako Watanzania Wanazijua, umetufundisha ufisadi wa CCM, sasa tunauona na tunachukua hatua.

mwenyekiti ameridhia serikali isijiuzulu
katibu ijiuzulu
what kind of people ?
 
Kama hayo maazimio ya bunge jk kashindwa kuyatekeleza kwa nini jk asijiuzulu? Dr. Slaa yuko vizuri kama kiongozi. Leo nimemuelewa vizuri sana, hotuba ya jk inadhalilisha taasisi ya urais.
 
Back
Top Bottom