Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Kama hujui Zanzibar na waislamu wa Tanzania bara piga ua hawawezi mpa kura padri awe raisi.Endelea kuota.
wacha ubaguzi wa kidini wewe. mbona tulimpa shekhe ali hasan mwinyi msomi wa dini ya kiislaam na mtu mwadilifu. nyinyi wafuasi wa uamsho na ISIL ni magadi tu wananchi wakiamua slaa anakua wala hamuweza zuia.
 
wanahangaika sana eti escrow iwatoe,utasikia mara,albert marwa,hujakaa sawa ,kibena bado hata hawajakupa ushahidi wanabandika jina jingine,sasa ni sijui ngalima.
wanatafuta kura kwa kutumia udanganyifu,wastage of time
 
hili zee ovyo sana,unagushi email afu eti,ooh nimenasa mawasiliana,anatuonaga watanzania vichwa maji sana
haa haa, wewe ndo ruge nn? Mwambie rais wako amkamate na ampeleke dr. Mahakamani. Mnaweweseka sana!
 
Huyu ndio kiongozi haitakiwi kuona haya unapozungumza masuala ya kitaifa.tena mazito kama haya ya ufisadi.
 
Hivi sisi Tanzania sijui tunaishi sayari ya Mars au ?????
Maana hatuna uwezo hata wa kujifunza kwa wenzetu.
Rais anaomba kuongea na wazee halafu anazomewa bado anashindwa kuona mapungufu yake??????

Halafu watu mnakaa hapa kushabikia upumbavu unaofanywa na serikali ya CCM!!!!
Huyu Tezi Dume anakiua chama chenu kwa ameona wana CCM wote ni mazuzu..
 
Niliambiwa Slaa kasomea sheria.Siamini haya yote aliyoongea kama kaongea kama mwanasheria au yakhe wa barabarani.Hivi unaweza sema fulani ni mhalifu tu kwa sababu Bunge limesema?

Mtu yeyote au nyaraka yeyote huwezi sema ni ya kihalifu au la hadi mahakama ithibitishe.
Kama Slaa hizo sheria alizosomea zinamtaka ahukumu mtu bila matumizi ya sheria au mahakama basi tumeisha hafai kuwa hata mjumbe wa Nyumba kumi.Hata hayo mawasiliano ya email yamethibitishwa na vyombo vipi vya dola kuwa ni sahihi na kweli?

Slaa japo ni padri mfukuzwa lakini ni vizuri walau kuwa na maadili kidogo ya kuepuka uzushi na utungaji uzushi.Sidhani kuwa padri akiacha au kufukuzwa basi ndio anakuwa totally a hooligan.Slaa bakiza walau 10% ya upadri.Epuka uzushi.

Mahakama zipi tena wakati majaji wanahongwa mabilioni ili wananchi wanyonywe na mabepari.

Mahakama ya wanasiasa ni umma tu unaamua .
 
Slaa kaishiwa hana jipya, anasafiria nyota ya wenzake, amepotea.
 
Huyo babu Slaa wa josefina , kazi yake ni kudandia mada za watu, hazijuwi kichwa wala miguu, yeye akisikia anadandia.

Kwisha kazi yake, akalee kijukuu alichobambikiwa na josefina.
jibu hoja, usitapetape! Jk amevunja katiba waziwazi kwa kutetea wezi na makosa ya jinai ya waziwazi kabisa!
 
Kama biblia takatifu ilikushida leo hutuba ya rais wa jamuhuri ya tanzania utaweza wapi mini nakushahuri rudi kijiji kwenu ukamchambuwe baba yako maisha anayoishi kwa shida
 
Huyo babu Slaa wa josefina , kazi yake ni kudandia mada za watu, hazijuwi kichwa wala miguu, yeye akisikia anadandia.

Kwisha kazi yake, akalee kijukuu alichobambikiwa na josefina.
Amekudandia nini? hebu funguka dada.
 
wacha ubaguzi wa kidini wewe. mbona tulimpa shekhe ali hasan mwinyi msomi wa dini ya kiislaam na mtu mwadilifu. nyinyi wafuasi wa uamsho na ISIL ni magadi tu wananchi wakiamua slaa anakua wala hamuweza zuia.

Wewe wacha porojo, padri mzinzi Waislaam hatumpi kura. Hilo ni wazi na ukweli.
 
haa haa, wewe ndo ruge nn? Mwambie rais wako amkamate na ampeleke dr. Mahakamani. Mnaweweseka sana!

hizi sio sarakasi za mwanzo za slaa kujaribu ku capitalise matukio kwenye media tena kwa kutumia ushahidi fake,na daima huwa anafail kama kawaida
 
Kipindi kimedhaminiwa na Mengi
haa haa,kama ni hivo tunamshukuru mengi, maana dr. Slaa katema madini matupu, jk amefumbia makosa ya jinai waziwazi, pia kujadiliana na watuhumiwa pia!kiufupi jk kadhalilisha taasisi ya urais kabisa!
 
Niliambiwa Slaa kasomea sheria.Siamini haya yote aliyoongea kama kaongea kama mwanasheria au yakhe wa barabarani.Hivi unaweza sema fulani ni mhalifu tu kwa sababu Bunge limesema?

Mtu yeyote au nyaraka yeyote huwezi sema ni ya kihalifu au la hadi mahakama ithibitishe.
Kama Slaa hizo sheria alizosomea zinamtaka ahukumu mtu bila matumizi ya sheria au mahakama basi tumeisha hafai kuwa hata mjumbe wa Nyumba kumi.Hata hayo mawasiliano ya email yamethibitishwa na vyombo vipi vya dola kuwa ni sahihi na kweli?

Slaa japo ni padri mfukuzwa lakini ni vizuri walau kuwa na maadili kidogo ya kuepuka uzushi na utungaji uzushi.Sidhani kuwa padri akiacha au kufukuzwa basi ndio anakuwa totally a hooligan.Slaa bakiza walau 10% ya upadri.Epuka uzushi.

mambo ya upadri yanaingiaje hapa we kichwa na.zi
 
Back
Top Bottom