Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

anaongea pumba HUYU MZEE ANACHOONGEA HAKIELEWEKI..UCHUNGUZI UNAENDELEA ANACHO JADILI NINI?

bora nimuanglie marin hassan TBC 1

Tanzania hii huwa kuna uchunguzi , mbna unajifanya kama wewe ni mgeni na hii nchi? Au umezaliwa jana
 
usikwepe mada,wewe ndo mwenye uzi,sasa tutajie makosa ya muhongo step by step ili sasa watu wajue hasa kwanini mnataka apigwe chini.
je mhongo anatajwa kuchukua pesa wapi,mkombozi ama stanbic?

Hayo ni mawazo ya Dr.Slaa mimi ni mjumbe tu usikurupuke.
 
Wewe ni Mchagga? ni swali rahisi tu, Tanzania tuna makabila.

Wewe bibi kizee sio mtanzania, haukai Tanzania, hautapiga kura na wala hujawahi kupiga kura so porojo zako za kufurahisha baraza ili menopause yako iende salama wala hazitunyimi usingizi. Katani kwangu kuna mitaa Saba lakini CCM wameambulia mitaa miwili wakati yote Saba ilikuwa Yao. We piga kelele lakini hauna madhara, chukua buku Saba, kaoshe makalio ya vibabu vya ki-Canadian, endelea na maisha yako ya aibu huko sisi huku tutamuadhibu Kikwete kwenye sanduku la kura.
 
dk Slaa kudai kuwa serikali ya Kikwete ijiuzulu kuhusu sakata la escrow Nikutaka kupata sifa aonekane mtendaji.
Kiongozi wake ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mh mbowe aliridhia waziri mkuu asijiuzulu na kimsingi mh mbowe aliridhia serikali isijiuzulu
hve dk slaa mwenyekiti wako hajakupa briefing ya yaliojiri bungeni.
dk slaa yeye hawezi diplomasia wala kukompromise na ndio maana hawezi kuwa a national leader.
bunge liliazimia maazimio manane hv dk hukuyasoma?. nilitaraji ujikite ktk utekelezaji wa maazimio hayo na si kuongea kujiuzulu kwa serikali nzm ambapo mh mbowe alikubali bungeni kuwa lisitokee

chanzo itv

Hajasema serikali nzima ijiuzulu. Yeye kasema ingekuwa ni nchi ingine ndio rais angejiuzulu. Unasikiliza na nn wewe???
 
Nakwambia hilo kumbuka, Uislam ni kama kiwiliwili kimoja, kidole kikumia mwili mzima unauma. Mwekeni agombee halafu mtasema.

Hatumchaguwi, labda Muislam asiyejijuwa, si unamuona Safari, si yupo chadema lakini nnakuhakikishia akisimama Slaa na mwingine yeyote ambae si mzinifu basi kura yake hampi Slaa.

Khaa Muislam akachaguwe uozo na anauona?
Ni afadhali slaa mwenye maamuzi kuliko mwizi namba moja wa escrow anayeishia kubwabwaja
 
Kama hujui Zanzibar na waislamu wa Tanzania bara piga ua hawawezi mpa kura padri awe raisi.Endelea kuota.

Tumia akili mufikiria wewe , hayo mambo yaa udini hapa tanzania hakuna wewe,... Mmebaki wajingawajinga kama nyie wachache sana.
 
Hayo ni mawazo ya Dr.Slaa mimi ni mjumbe tu usikurupuke.

lakini hili suala hata wewe unalijadili kili siku,silaa ntampata wapi saa hii wakati jf alishapakimbia?.
wewe tueleze tu hatua kwa hatua mhongo amekosa nini ili watu tuelewe na kumuunga mkono babu,sasa unataka tumuamini babu bila maelezo ya kulizisha?
kama huezi tuitie msomi yeyote wa ukawa aje atwambie hapa
 
Ni afadhali slaa mwenye maamuzi kuliko mwizi namba moja wa escrow anayeishia kubwabwaja

Mnaobwabwaja ni nyinyi na Slaa wenu, si mpaka awe na kazi ya kuweza kufanya maamuzi. Maamuzi yake ni kukopa fedha za walipa kodi zinazokwenda chadema kama ruzuku na kumjengea hawara.

Wizi, wizi, wizi. Mkiulizwa kimeibiwa nini? mko kimya. Mkiulizwa mlitaka umeme wa bure mpo kimya?

Kuna wizi zaidi ya unaofanyika chadema?
 
lakini hili suala hata wewe unalijadili kili siku,silaa ntampata wapi saa hii wakati jf alishapakimbia?.
wewe tueleze tu hatua kwa hatua mhongo amekosa nini ili watu tuelewe na kumuunga mkono babu,sasa unataka tumuamini babu bila maelezo ya kulizisha?
kama huezi tuitie msomi yeyote wa ukawa aje atwambie hapa
Bunge limejadili,waandishi wameandika,kwenye mitandao ndio kabisa.Sasa kama mpaka leo hii hujaona kosa la Muhongo,mimi nikusaidiaje?!!
 
Anachambua kwani hayo yamekuwa MATEMBELE .anadai aungane na maaskofu mbona na KILAINI ni mmoja wapo.

Huyu mzee hana tena dalili nyingine ya MVUTO kwa watu. Alishayakologa kwa kukibaka kipengele cha UKOMO WA MADARAKA. Ufisadi wa matumizi ya ANASA ya fedha za chama,kujikopesha pamoja kumuandalia Josephina HOSPILI YA CHAMA ambayo ni inajengwa kama msaada wa JAPAN.

HUU NI ULAGHAI MTUPU!!!.
 
ooh kikwete anaua chama...
sasa kama anaua chama wewe mpinzani kinakuuma nini?si ndo uache akiuwe ili mkamate madaraka?.
watu wamekalia majungu ya kijinga sana
 
Back
Top Bottom