Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

huu ni ubaguzi na ni ujinga wa karne.................
mnageuza msiba kuwa dili?
watu tunahangaika na msiba tumefiwa nyie mnaingiza SUMU ya UBAGUZI?
kweli ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
kwa kweli nimesikitika sana kwa hii thred,basi kumbe huu msiba ni chadema...
My hairs!
Comment zingine bana za enzi za mawe!
Basi Mkuu wa nchi angekuja msibani huku akiendesha mwenyewe BMW la Ikulu!.(si unajua kuwa ni dereva mzuri?)..na asingekuwa na sababu ya vile ving'ora na msururu wa magari zaidi ya 10 ya walinzi!

Usije'underestimate mazingira yoyote ndugu...Nani alijua JK angerushiwa mawe kule vijijini Mbeya ambako ingetegemewa wote ni wapenzi wa ccm?...use yr 6th sense organ!
 
Mnamlinda DR duuu bado mnandoto za yeye kuwa raisi!?

SASA SWALI GANI TENA HILI? SASA UNATAKA DR AWE NA NDOTO ZA KUWA DIWANI? si bure kwani hizo valuu unazokunywa kabla ya kupost coment humu JF zinakusumbua sana, pole sana kwani dr anakunyima usingizi...... Tchaoooooooooooooooooo! VIVA CHADEMA.
 
Mnamlinda DR duuu bado mnandoto za yeye kuwa raisi!?

Ukikosa akili huwezi kuona how fearsome is Dr.Slaa to Magamba Dynasty. Issue sio urais, issue ni namna anavyoipeleka puta serikali legelege inayoshindwa hata kuwafungulia mashtaka watuhumiwa lkn inaweza kutuma delegation kwenda kudai fine uingereza.

Tumia akili japo mara moja kwa mwaka ili isioze
 
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.

Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo hata wa kusalimiana
naye. Kwa mfano mtu ataenda kumpa mkono wa pole huku amejikoki
Polonium110(ni mtazamo lakini)

Kwa mtazamo wangu hii ndo itakuwa furusa nzuri kwa magamba kupenyeza
mamluki katika msiba huu. Dr slaa kuwa makini na msiba huu

1.jpg


c2.jpg

Picha hizi ni misiba miwili tofauti kwa nini umefanya hiyo.?
 
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.

Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo hata wa kusalimiana
naye. Kwa mfano mtu ataenda kumpa mkono wa pole huku amejikoki
Polonium110(ni mtazamo lakini)

Kwa mtazamo wangu hii ndo itakuwa furusa nzuri kwa magamba kupenyeza
mamluki katika msiba huu. Dr slaa kuwa makini na msiba huu

1.jpg

PIcha hiii inamausiano gani na picha za msiba wa Regia????
 
huu ni ubaguzi na ni ujinga wa karne.................
mnageuza msiba kuwa dili?
watu tunahangaika na msiba tumefiwa nyie mnaingiza SUMU ya UBAGUZI?
kweli ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
kwa kweli nimesikitika sana kwa hii thred,basi kumbe huu msiba ni chadema...


ukikua utaaaacha !
 
huu ni ubaguzi na ni ujinga wa karne.................
mnageuza msiba kuwa dili?
watu tunahangaika na msiba tumefiwa nyie mnaingiza SUMU ya UBAGUZI?
kweli ujinga ni ugonjwa mbaya sana.
kwa kweli nimesikitika sana kwa hii thred,basi kumbe huu msiba ni chadema...

Ajabu sana. Mi sioni hata sababu ya kutegewa sumu huyu jamaa! Aisee.
 
Tatizo hapa ni ujinga tu au kwakua amekwenda kikwete watu wameshangaa kwa hili hebu tuanze kujua hapa si ushabiki tu ila Regia ni Mtanzania na ni Mbunge atazikwa
Na watu wote na tusioneshe hizi itikadi za kichama sshv.

Isitoshe Mhe Rais Amekua akihudhuria misiba ya watu wa kada zote na hili naambiwa halikuanza Leo ni tangu akiwa kiongozi wa chini sasa nadhani tujue si kila mtu anaweza kuhudhuria kila msiba kwani hata mimi kuna misiba na kacha .


Kwa hili anastahili pongezi....


Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni nadhani yuko kitaifa Zaidi angeweza kutuma hata mwakilishi wake.


Nimesema andika hivi kwakua mwenzetu ame attach picha ya Mhe Rais na umetoa tahadhari lakini tahadhari hii hukuitoa kwenye msiba waliokufa kwenye maandamano Arusha wala na pia tahadhari hii hujawahi kuitoa kwenye mikutano mengine inayohusisha Chadema tu,
Hoja hapa ni utaifa mbele na Kama ni suala la tahadhari anapaswa achukue wakati wote hata ktk vikao vya kichama na visivyohusisha watu wa itikadi tofauti....
 
umeleta wazo zuri. hapa dr slaa anapashwa achukue taadhari kubwa sana.kama wanapeana sumu wao kwa wao watakosa kumpa dr slaa???wanaweza kutengeneza hajari kama hii ilyomuua dada regia, then wakasema kuwa wakati tuko msibani tutakuwa tume-plant mtu wa kuakikisha anampa sumu dr slaa.Wanaanza kwa kuua kama ambavyo tayari mh regia ameishafariki badae wanamaliza mission kwa kumpa sumu dr slaa. Msiba huu kama ni wa kutengenezwa basi lengo lao ni
1. kuua mh regia na kumpa sumu dr slaa sumu msibani
2. kwa kuwa wameongeza bei za umeme,hapa kuna kizungumkuti cha dowans,richmond. then wamesababisha msimu ili viongozi wa chadema wanaoamasisha wananchi wagomee gharama za umeme. hili wanaweza kuwa mwamelifanya kwani moto ungewaka kuhusu bei za umeme. Nafikiri chadema wasilifumbie macho.watu waamasishwe waandamane kuhusu hizi bei za kiuni. haiingii hakilini eti watu wanaotumia chini ya 50 unit hawaguswi. je kama wanaoguswa ni wa viwandani.hawa wannchi wa chini bidhaa za viwandani watazitoa wapi???
3.wamesambaza wabunge wa ccm mikoani kwa ajiri ya kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya. musoma,wasira na mkono wamezomewa, kasulu- mh josephine na mbunge wa ccm viti maalumu tabora nao walizomewa.habari ni kuwa hata mbunge wa mbeya mh..mwanjerwa naye kazomewa.
Yote hapa duniani yanawezekana hivyo kifo kinaweza kuwa kimetokea kutokana na niliyoyaeleza hapo juu. Kama hawajausika basi lakini binadamu lazima uwe na maswali matatu mpaka kumi kichwani iwapo jambo lolote liatokea
 
Ni kweli ndugu, inawezekana. Ila Sla si mgeni ktk siasa za namna hiyo, anazijua sana
 
hii ni kweli kabisa maana magamba hawana utu tena
sasa nime thibitisha kuwa raisi wenu ni ***** maana nahisi hata akiwa kwny ibada huwa mkao wake ni uleule
 
Huu msiba ni wa wote lakini tunawasee watu wawe makini
na magamba hapa ndo kutakuwepo furusa za kupenyeza mamruki ( ni Mtazamo tu):A S embarassed:
 
Hiyo ni tahadhari kwa mtu yeyote hususani kwa mwenye mapenzi naye. Haya mambo yapo na siyo kupuuzia. Angeweza kutaja jina la kiongozi yeyote, wa itikadi yeyote. Isije ikawauma watu kwa kuwa katajwa Dr. Slaa.

Basi na mimi nasema kwamba take care to everybody incl. Rais Wetu Jk
 
Back
Top Bottom