Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

Dr. Slaa Jihadhari na MSIBA wa REGIA MTEMA

mod topic nyingine ni kichefuchefu na zinharibu jf na CDM kwa ujumla
 
Ukikosa akili huwezi kuona how fearsome is Dr.Slaa to Magamba Dynasty. Issue sio urais, issue ni namna anavyoipeleka puta serikali legelege inayoshindwa hata kuwafungulia mashtaka watuhumiwa lkn inaweza kutuma delegation kwenda kudai fine uingereza.

Tumia akili japo mara moja kwa mwaka ili isioze

Mkuu hivi usipotumia akili inaweza kuoza?
 
Tahadhari ni muhimu, nina imani viongozi wapambanaji wa mageuzi wanao windwa na magamba watazingatia hilo..
 
Yap mdau siasa hasa kwa nchi zetu changa zina michezo michafu na ya hatari inyofanywa na watu wachache(political mogul) ili kulinda maslahi yao kila mtu anakiwa kuwa makini hasa wanaharakati hao jamaa wana mbinu nyingi wana uwezo wa kutengeneza hata ajali. Dr mungu amlinde tu maana anasaidia kupunguzakazi ya kufilisi nchi.
 
wanaweza kumpa sumu kwani uhongo,jihadha bana hawa si watu hata kidogo.!
 
kweli kaka maana magamba wapo wanao watafuta viongozi wetu waandamizi please viongozi wote wawe makini na magamba:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom