Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
- LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA.
Debe TUPU aliachi kutika...!
- LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA.
Nina wasiwasi na jinsia yako
I just love hawa ma-consultants wa CCM! crying like little girls huuuuuu Dr Slaa ana card....! heeeeee Dr Slaa kalipia card yake mwezi uliopita...! haaaaaaaa husikiiiiii Dr Slaa ni mamluki....! What are you going to do?
Kama Dr Slaa amekuwa analipia kadi yake ya CCM hadi mwezi uliopita maana yake ni mwana-CCM hai! Na hivyo atakuwa anafanya kazi ya CCM. Sasa, kwanini wana-CCM wanamwandama mwana-CCM mwenzao? Na kwanini CCM wanatoa 'siri' za mamluki wao (Dr Slaa). After al si yuko uwepo wake Dr Slaa CDM una manufaa sana kwa CCM maana atakuwa anawafanyia kazi CCM, right?
Debe TUPU aliachi kutika...!
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu unaweza jiita "THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA"Kweli mzee malecela amekula hasara.
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?
le mutuz
Huenda huyu si msemaji rasmi wa CCM lakini ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM na hata humu JF ni mtetezi sana wa CCM na mpiga propaganda mkubwa.
Kwenye facebook yake @w.j. malecela amepost hivi:Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Kutokana na post hii naona haya yafuatayo:
1. Kuna kitu wanaita OPERATION CHAOS. Ambayo ni mkakati wa makusudi wa kuvuruga CHADEMA. Ndio maana leo W.J. Malecela ameanzisha thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/382073-dr-slaa-and-chadema-must-come-clean-now-or-else-7.html
2. Attention kubwa ya Operation Chaos ni kummaliza Dr. Slaa.
3. @W.J. Malecela anamtaja Zito kuwa ni the best interest ya CCM.
4. Operation Chaos inadai kushambulia mitandao ya jamii kwa kasi sana.
Hofu yangu ni kuwa haya yote yanafanyika kwa ajili tu ya kubaki madarakani, lakini mbona hatuoni ajenda za kujenga?
Mbona hatuoni vision ya nchi? Mbona hatusikii matatizo ya nchi na namna ya kukabiliana nayo badala yake ndio OPERATION CHAOS!
- The Ishu is Chadema na Slaa wanahitaji kukanusha au kukubali kwamba Slaa anailipia Kadi, si unajua kwamba Uongo wa Siasa usipojibiwa haraka huwa unageuka kuwa ukweli, halafu in the wake ya Chadema kuwafukuza watoto wadogo kwamba ni Mamluki wa CCM na huku mna Kiongozi anayefahamika wazi kwamba ana kadi ya CCM na yeye mwenyewe kukubali in the public kwamba anayo, hamuoni kwamba hamukitenedi haki chama chenu?
le mutuz
Inasemekana huyu zuzu ndio aliyeweka zile picha mtandaoni za kumdhalilisha Jakaya eti kwasababu alichukua nafasi ya baba yake ya kuwa Rais!!! CCM inalijua hilo na mbinu za kutaka kumtumia Nape VUVUZELA kujisafisha ili kupata uongozi huko kwenye chama zimegonga ukuta kama jitihata zao yeye na mama yake wa kambo zinavyodhihilisha!! Nape kawaingiza CHAKA na amekula mapesa yao bure.
Hatua nzuri sio Dr Slaa kukanusha umiliki na ulipiaji wa kadi ya CCM. Hatua nzuri ni "kumfukuza" uanachama wa CCM Dr Slaa kwenye mkutano wa hadhara kwa kuwa amekuwa akiitesa sana CCM na viongozi wake kwa kuwaumbua na kuwadhalilisha hadharani. Tena mumrudishie na hizo ada zake hata kwa M au TigoPesa. Naisubiri kwa hamu hiyo siku.- The Ishu is Chadema na Slaa wanahitaji kukanusha au kukubali kwamba Slaa anailipia Kadi, si unajua kwamba Uongo wa Siasa usipojibiwa haraka huwa unageuka kuwa ukweli, halafu in the wake ya Chadema kuwafukuza watoto wadogo kwamba ni Mamluki wa CCM na huku mna Kiongozi anayefahamika wazi kwamba ana kadi ya CCM na yeye mwenyewe kukubali in the public kwamba anayo, hamuoni kwamba hamukitenedi haki chama chenu?
le mutuz
- Well, Operation Chaos ni mkakati wangu mwenye Le Big Shoow, maana yake ni kuwashambulia na kuwavuruga Chadema as much as I can nikiwa na nia na moja tu nayo ni kuwaona mnaingia uchaguzi wa 2014 na 2015 mkiwa dhaifu kama mlivyo sasa, it is working maana majuzi nimekutana na Viongozi wenu wa Taifa kule Moshi wakaninunia sana na kulia lia kwamba nawamaliza na Mitandao,
- It was great news kwangu kuwasikia Viongozi wenu wa Taifa wakilia lia kwamba Le Big Show nawamaliza na Mitandao, na bado naendelea na hiyo Operation ya kuwashambulia Chadema kila kona za Mitandao na kwa njia mbali mbali ila one thing sisemi uongo na wala sivunji sheria, ni haki yangu kama mwananchi kufanya hivyo, na nitaendelea kuwavuruga I loooove it na ninajua kwamba nina Big effect maana toka nianzishe huu uzi ni masaa matatu tu yaliyopita tayari sasa tuneelekea kwenye 10 pages!
- Pamoja na maneno mengi mnayojibu hakuna anayejibu hoja kwamba kwanini Slaa hajakanusha, nitamheshimu mtu akisema nitaenda kumuuliza lakini wengi wenu mnaonekana kumtetea maana mmezoea kutetea mediocre, Slaa asimame ajibu hii ishu ni kwa nini hajakanusha wala kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM, ikiwa na maana ya kwamba ameilipia hata mwezi uliopita?
- Mambo ya baba zenu na majinsia yenu na uwezo wenu mdogo na mkubwa wa kufikiri hayahusu hapa, na inaonekana wengi wenu ni mameneja makazini mwenu kwa jinsi mnavyoponda kazi za wengine, lakini cha ajabu ni jinsi mnavyokimbia hoja kwamba Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba anailipia kadi ya CCM na yeye ni Katibu na Mgombea Urais wa Chadema, WHY?
le mutuz!!
- The Ishu is Chadema na Slaa wanahitaji kukanusha au kukubali kwamba Slaa anailipia Kadi, si unajua kwamba Uongo wa Siasa usipojibiwa haraka huwa unageuka kuwa ukweli, halafu in the wake ya Chadema kuwafukuza watoto wadogo kwamba ni Mamluki wa CCM na huku mna Kiongozi anayefahamika wazi kwamba ana kadi ya CCM na yeye mwenyewe kukubali in the public kwamba anayo, hamuoni kwamba hamukitenedi haki chama chenu?
le mutuz
- hoja nzito hainzi na inasemekana ina maana huna uhakika na unchosema!1
le mutuz
Mjinga kama wewe ndiye anaamini hivyo, ila wewe endelea kueneza chuki zinazomjenga zaidi Dr Slaa sisi tupo kitaa tunaendelea kuwaelimisha wanawanchi ili 2015 mshangae.
Debe TUPU aliachi kutika...!
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
Hatua nzuri sio Dr Slaa kukanusha umiliki na ulipiaji wa kadi ya CCM. Hatua nzuri ni "kumfukuza" uanachama wa CCM Dr Slaa kwenye mkutano wa hadhara kwa kuwa amekuwa akiitesa sana CCM na viongozi wake kwa kuwaumbua na kuwadhalilisha hadharani. Tena mumrudishie na hizo ada zake hata kwa M au TigoPesa. Naisubiri kwa hamu hiyo siku.
Hivi we mzee una jinsia ya kiume au ya kike?Zee zima kama wewe unakuja na hoja za kipuuzi namna hii kweli?Hakika unastahili kufungwa jiwe shingoni utoswe baharini.Unatumia kichwa kufikiri au makalio?
Kweli wewe una degree mbili ,nilikuwa siamini ila sasa naamini .Hebu nidokeza ulizipata wapi ili tufananishe ubora wa hivyo vyuo coz puzzle ya kuwa unazo hizo degree ama huna nishapata jibu.- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com