Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Hatua nzuri sio Dr Slaa kukanusha umiliki na ulipiaji wa kadi ya CCM. Hatua nzuri ni "kumfukuza" uanachama wa CCM Dr Slaa kwenye mkutano wa hadhara kwa kuwa amekuwa akiitesa sana CCM na viongozi wake kwa kuwaumbua na kuwadhalilisha hadharani. Tena mumrudishie na hizo ada zake hata kwa M au TigoPesa. Naisubiri kwa hamu hiyo siku.

Mkuu WildCard, wewe si uliuliza hivyo, sasa hebu ona huyu jamaa alivyojibu..

- So mnawaonea dagaa kumbe gombe mnaogopa? Mnawafukuza watoto wadogo wasio na makosa lakini wakubwa kina Slaa mnawaogopa? Sasa mkishika nchi itakuwaje?

le mutuz

Sijui kama hata umeelewa alichoandika WildCard hapo juu, ukakurupuka kujibu tu..

Mwenye hasara sio wewe bali wale wanaotegemea uwaongoze!!
 
Hivi mzee wako Malecela zile pesa alizo pewa na Jetu Pateli kwa ajili ya Kampeni alisha maliza kuzirejesha
 
- Ndio maana hamuwezi kupata Urais kwa sababu mnalugha chafu sana za kuita wajinga wananchi wote wasiokubali mawazo yenu ya mediocre, poleni sana mnatia huruma sana!! na kwa mara ya kwanza ngoja nicheke you know! ha! ha! ha! ha! ha!

le mutuz

Ndugu Willy wewe ni mtu unayetaka fadhila, hii nchi imeshapita kwenye wakati huo,kuwa huru tetea kile unachoamini sio kutete upuuzi kwa kuangali fadhila za Nape,Tumia akili yako, mbona watu tupo tunafanya Shughuli zetu tukiwa huru, ngoja tukapate mvinyo sasa tuachane na huu ujinga wako, yaani wewe kweli ukikaa unaamini umeivuruga Chadema, unaota, jana uliulizwa swali mbona hukujibu!?
 
Kweli wewe una degree mbili ,nilikuwa siamini ila sasa naamini .Hebu nidokeza ulizipata wapi ili tufananishe ubora wa hivyo vyuo coz puzzle ya kuwa unazo hizo degree ama huna nishapata jibu.

- Blaza kabla hujaandika fikiri just for one minute, mtu anayeweza kuwavuta Great Thinkers in three hours wakajibu 10 pages ni mtu wa aina gani huyo kama sio Msomi, Mkaree, Big Celeb, Kiongozi Supa, I mean lazima ukubali hilo mamen ama sivyo hujitendei haki na wezako hapa!

- Kubali mimi ni Mkaree na Super Msomi ndio maana ninakuwa The King Of All Bongo Network Social Media kwa sababu I can pull anything in the Network Social Media na kugeuza kuwa Gold, so kuwa na heshima japo kidogo na besides mimi ni Kiongozi wako wa Taifa, ha! ha! ha!

- Yaani majuzi nimekuchagulia Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Jamhuri na 2015 again nitakuchagulia tena Rais wako si unajua Rais lazima atokee CCM tu!!

le mutuz
 
thibitisha au kanusha habari hii inayozidi kuenea mjini.. Je wewe ni punga?

- Ni rahisi sana kwa mlevi kuamini wengine wote ni walevi kama yeye, halafu nilishawaambia wenzako wote kama wewe kwamba kwenye Studies za Criminology tunaambiwa ukikaa chini Criminal ukamuuliza maswali kwa makini bila papara huwa katika process wanaishia kujisema wenyewe kuwa ni Criminals, ndio maana Hard Criminals in USa huwa hawakubali mazungumzo na Polisi bila Lawyer maana wataishia kama ulivyofanya hapa kujisema mambo yao wakifiri wanawasema wengine in the process, ha! ha! ha! ha! ha! ha!

le mutuz
 
Mkuu WildCard, wewe si uliuliza hivyo, sasa hebu ona huyu jamaa alivyojibu..

Sijui kama hata umeelewa alichoandika WildCard hapo juu, ukakurupuka kujibu tu..

Mwenye hasara sio wewe bali wale wanaotegemea uwaongoze!!

- Kwa vile uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana hukuelewa nilichomjibu ni kwamba mbona hawa wadogo majuzi kule Bavicha hamkuwapa hizi choices? unazotaka apewee Slaa?

le mutuz
 
Hivi mzee wako Malecela zile pesa alizo pewa na Jetu Pateli kwa ajili ya Kampeni alisha maliza kuzirejesha

Ungemuuliza na zile pesa zilizomfanya baba wa taifa hayati mwalimu JK Nyerere atake kurudisha kadi, zile za Iran, bado zipo ama!!?
 
- Blaza kabla hujaandika fikiri just for one minute, mtu anayeweza kuwavuta Great Thinkers in three hours wakajibu 10 pages ni mtu wa aina gani huyo kama sio Msomi, Mkaree, Big Celeb, Kiongozi Supa, I mean lazima ukubali hilo mamen ama sivyo hujitendei haki na wezako hapa!

- Kubali mimi ni Mkaree na Super Msomi ndio maana ninakuwa The King Of All Bongo Network Social Media kwa sababu I can pull anything in the Network Social Media na kugeuza kuwa Gold, so kuwa na heshima japo kidogo na besides mimi ni Kiongozi wako wa Taifa, ha! ha! ha!

- Yaani majuzi nimekuchagulia Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Jamhuri na 2015 again nitakuchagulia tena Rais wako si unajua Rais lazima atokee CCM tu!!

le mutuz

Kweli wewe kichwa cha samaki yaani yote unayoelezwa wewe unaona sifa kwamba thread inaenda haya wana JF acheni mjaa ajijibu mwenyewe ungejua ukweli kwamba unayemzungumza ndie anayevuta watu ana followers wengi inapokuja kwa Dr Slaa watu wapo kutumiakila aina ya silaha kumlinda
 
Eti Mkare!!!!! mbona karibu page zote unatukanwa kama kibaka. hii inaonyesha jinsi dingi yako alivyokuwa anachukiwa ndio maana watu wakiona jina Malecela wanataka hata wakung'ate
 
- Hebu na wewe anzisha Thread ya Slaa tuone kama itafika 10 pages, hii ni kwa sababu mimi ni big Star na Big Celeb na pia ni King Of All Bongo Network Social Media ndio maana, watu wanakuwa excited na wanajua kwamba huwa sikurupuki hata siku moja pound for pound, hoja kwa hoja hakuna viroja hapa!!

- Hoja nzito inawashinda mnaishia kujikanyaga kanyaga hapa, nasema hivi kwa nini Slaa hajakanusha kuilipia kadi yake ya CCM aliyokubali anayo?

le mutuz
 
Eti Mkare!!!!! mbona karibu page zote unatukanwa kama kibaka. hii inaonyesha jinsi dingi yako alivyokuwa anachukiwa ndio maana watu wakiona jina Malecela wanataka hata wakung'ate

- Wewe hamna dingi wako hapa kuna hoja ya kwa nini Slaa hakanushi kulipia kadi yake ya CCM?

le mutuz
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz

Yaani we jamaa nime ku put off kabisa,yaani sikujua kama wewe Mburura, au kilaza kiasi hiki.Angalia mnachokifanya CCM, bahati mbaya tuliishawajua na ndio maana humu jf ilikua rahisi kuwabaini mnaowatumia ndani ya CDM kwa sababu ,attack yenu kubwa ni DR,na kwa ufinyu wenu mnajua mtafanikiwa.

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Ungemuuliza na zile pesa zilizomfanya baba wa taifa hayati mwalimu JK Nyerere atake kurudisha kadi, zile za Iran, bado zipo ama!!?

- Ungefungulia Thread yake hapa haihusu, inahusu Slaa kwa nini hajakanusha kulipia kadi yake ya CCM na kwa nini mmefukuza watoto wadogo na kumuacha Slaa na kosa lao ni lile lile?

le mutuz
 
Yaani we jamaa nime ku put off kabisa,yaani sikujua kama wewe Mburura, au kilaza kiasi hiki.Angalia mnachokifanya CCM, bahati mbaya tuliishawajua na ndio maana humu jf ilikua rahisi kuwabaini mnaowatumia ndani ya CDM kwa sababu ,attack yenu kubwa ni DR,na kwa ufinyu wenu mnajua mtafanikiwa.

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

- Tafadhali jibu hoja ni kwa nini Chadema na Slaa hawajajibu ishu ya Slaa kuilipia kadi yake ya CCM?

le mutuz
 
Hatua nzuri sio Dr Slaa kukanusha umiliki na ulipiaji wa kadi ya CCM. Hatua nzuri ni "kumfukuza" uanachama wa CCM Dr Slaa kwenye mkutano wa hadhara kwa kuwa amekuwa akiitesa sana CCM na viongozi wake kwa kuwaumbua na kuwadhalilisha hadharani. Tena mumrudishie na hizo ada zake hata kwa M au TigoPesa. Naisubiri kwa hamu hiyo siku.

- So mnawaonea dagaa kumbe gombe mnaogopa? Mnawafukuza watoto wadogo wasio na makosa lakini wakubwa kina Slaa mnawaogopa? Sasa mkishika nchi itakuwaje?

le mutuz

Mkuu WildCard, wewe si uliuliza hivyo, sasa hebu ona huyu jamaa alivyojibu..

Sijui kama hata umeelewa alichoandika WildCard hapo juu, ukakurupuka kujibu tu..

Mwenye hasara sio wewe bali wale wanaotegemea uwaongoze!!

- Kwa vile uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana hukuelewa nilichomjibu ni kwamba mbona hawa wadogo majuzi kule Bavicha hamkuwapa hizi choices? unazotaka apewee Slaa?

le mutuz

Bado hujaelewa mkuu,
Nimekuwekea zote hapo ili usome kwa ukaribu labda utaelewa!

WildCard hakutoa option kwa mtu, hivyo hakuna choice hapo mliyopewa ninyi magamba..
Amesema CCM si inasema Dr Slaa ni mwanachama wake sababu analipia kadi?! Basi imfukuze uanachama sababu amekua akiwatesa sana, na ada zake mumrudishie kwa M/Tigo pesa!

Binafsi, naona mmekuwa mkipiga kelele tu kuwa aseme kuhusu kadi, lakini sote tunajua kuwa ajenda muhimu katika nchi yetu kwa sasa sio nani ana kadi ngapi bali nani atatusaidia sisi wananchi kutoka katika lindi hili la umaskini wa kulazimishiwa!
Nani atasimamia rasilimali zetu ili zipate walau kutupatia maendeleo!
Nani atawawajibisha wezi wa mali za umma ambao wako radhi kuuza roho zetu ili wapate faida waitakayo!
Nani atarudisha uzalendo, ili walau watu wanapolipa kodi wawe na furaha kuwa itawaletea maendeleo yao wenyewe!
 
- Una maana hizi 10 pages ni maneno ya debe tupu? Wewe mbona una matusi sana watu wote hawa wanaochangia pages 10 unasema ni madebe matupu? Are you serious? ha! ha1 ha! ha!

le mutuz

Mtoto wa kambo ni vigumu sana kuwa na akili timamu...!

- Ungefungulia Thread yake hapa haihusu, inahusu Slaa kwa nini hajakanusha kulipia kadi yake ya CCM na kwa nini mmefukuza watoto wadogo na kumuacha Slaa na kosa lao ni lile lile?

le mutuz
Nenda kamlee Dingi yako Umri umesogea!!!! usifikiri Mama yako wa Kambo Kilango atakaa nae tena anatafuta mdingi mwingine ale hela yake kama alivyokula ya baba yako
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz
Na wewe unajiaibisha bwana, hata vyombo vya habari husikilizi!! Dr Slaa alikwisha sema ni kweli ana kadi ya CCM ambayo aliilipia kwa miaka 20 mbele tangu 1994 alipokua anagombea ubunge kwa ticket ya CCM, alishinda ktk kura za maoni lakini majina yalipokwena ngazi za juu, lake lilikatwaAkaanua kugombea kwa tkt ya CHADEMA, ndipo akachukua kadi ya CHADEMA mwaka 1995 na kuilipia kwa miaka 20 mbele.Miaka 20 ni mpaka 2015. Je mtu akishailipia kadi kwa muda kama huo, anabanwa asihame chama? ama unadhani alipaswa kudai pesa alolipia ndipo uanachama wake ukome? Mambo mengine ni kujiaibisha tu na kujishushia hadhi, mtu mwenyewe heshma yako inaelekea kwenye negative, hata ya baba yako. Badala ujipambanue positivelly, akili hiyo nayo huna. Shauri yako
 
Back
Top Bottom