Yaani ccm ni wajinga kweli
Siasa zao zinaelekea kwa Dr Slaa
Wanaona wakishambulia Dr Slaa ndio wanakuwa mashujaa this is big no Mzee na CCM wote
Mzee YOU HAVE PROVED FAILURE
Babu, Slaa ameishatujibu au ulikuwa umelaa? maana nyinyi mababu kwa kulala mapema. au ulitaka akujibu wewe? nasikia unalipwa eti JFwakuachie wewe, babu huwezi maana humu watu wana uelewa sana. unataka kujitafutia umaarufu kwa jina la Dr Slaa. BISHA!!- Huwezi kuwa Intelligent ukaja kujibu mtu asiye intelligent unless huelewi maana yake kama vipi, by the way kwa nini Slaa hajakanusha kama alilipia kadi ajitokeze akanushe halafu aonyeshwe risiti zake mpaka za mwezi uliopita!!
- Wengine huko juu ukiona sijawajibu ujue ni kwamba ni too low kwangu The King Of All Bongo Network Social Media, you know!!
le mutuz
wewe uko social media zipi ambazo hujui alichokiongea Dr.Slaa?
Kwa ufupi wakati anahojiwa na vyombo vya habari (EATV LIVE INTERVIEW DECEMBER 2012) naomba nimnukuu "wakati nipo CCM mwaka 1995 kadi yangu ya chama cha mapinduzi ilikuwa imelipiwa ada ya miaka 20, yaani mpaka mwaka 2015". mwisho wa kunukuu
sasa tuone katiba ya CCM inasemaje mwanachama akihamia chama kingine cha siasa.
13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a) Kujiuzulu mwenyewe;
(b) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(c) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(e) Kujiunga na Chama kingine chochote cha
siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake
unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(3) Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa
Uanachama akitaka kuingia tena katika
CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka
maombi yake hayo ama katika Halmashauri
Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha
au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia
tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata
utaratibu wa kuomba Uanachama kwa
mujibu wa Katiba ya CCM.
Yaaani wewe hamnazo kabisa hata katiba ya chama chako huifahamu vizuri. soma kwenye red hapo ukimaliza waambie mods waufute uzi wako.
- Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninayelipa kodi yangu ambayo inawapa ruzuku Chadema kila mwezi kutoka kwa Serikali ya CCM, ndio ninauliza iweje Slaa anakuwa anlipia kadi ya CCM na kuwa Kiongozi wa Chadema?
le mutuz
so wee hupendi awe mwanachama wenu pia? ni dalili kuwaakiwa rais wa jamhuri ya Tanzania atakuwa rais wa wote wa CCM na wa CHADEMA na wa vyama vingine vyote....- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?
le mutuz
hhahahahahahahahaha! nimecheka sana,Mkuu tumeona na maazimio yako uliyopost kwenye page yako ya facebook
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!Wengine wanafanya mipango ya kujenga wewe unafanya OPERATION CHAOS!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA.
NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO.
INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY?
SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Watu wameamka.
- Anayetakiwa kujibu ni Slaa menyewe au Chadema, sio wewe na kwa nini mmewafukuza wale watoto wadogo au kwa sababu ni watoto wadogo na hasa Msichana mdogo kwa sababu hawezi kujitetea mbele yenu wababe wa matusi, I mean think about it mamluki ni mamluki tu huwezi kuwa na kadi ya CCM na Chadema ukakosa kuwa mamluki, au?
le mutuz
simple logic, sasa kama slaa ni mamluki wenu kwanini mnavujisha siri zake kwetu sisi CHADEMA?- Ok the ishu bado inasimama pale plale kwamba mmewafukuza mamluki watoto wadogo sana wasio na uwezo wa kujitetea, kwa kosa lile lile kama alilo nalo Slaa la kuw amamluki, I mean ukishakuwa na kadi mbili mna zote unazilipia ukweli ni kwamba wewe ni mamluki, sasa mbona Slaa mmemuacha ndio inatia wasi wasi sana na uwezo wenu wa kusimamia katiba people!!
le mutuz
Na kwanini Nyerere alimkataa Baba yako Live bila chenga????????? sasa nimemuelewa Mwl Nyerere alikuwa anamaanisha nini wakati ule. Kama mitoto yake ni mburula namna hii unategemea nini?? Nyie ndo Baba zenu wakikamata mjengo wa magogoni mnapiga watu makofi barabarani. Pole sana.- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?
le mutuz
- And then lets get back to the ishu, Slaa ana kadi ya CCM na a nailipia sasa kwa nini hamjamfukuza mmefukuza watoto wadogo?
le mutuz
yaani wewe ni tutusa kweli. nadhani cygwiyemisi huko mtera aliko anasikitika sana kuwa na mtoto kama wewe kwa jinsi ulivyo kuwa pumba kichwani.- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!
- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!
Le Mutuz
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz