Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
ukiona umekataliwa rudi tu kwenye ccm haina haja ya kuja na hoja za kitoto kama hizi. ni aibu kwa mtu kaka huyu kutioa maneno ya kijinga na alikuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu leo hii ndio anakuja na sera zisizo na mashiko fikiri kabla ya kusema
Mtapiga sana kelele na kuokoteza sababu ila fimbo zitaendelea hadi pumzi yenu ya mwisho,endeleeni kui publicize CHADEMA
Mimi ni mgeni humu jamvini, lakini naomba wanaJF mniruhusu nichangie kidogo huu uzi kama ifuatavyo-
Ndugu Edo Mwamalala, napenda nikuulize swali dogo tu, mtu kumiliki kadi ya ccm ndio indicator ya kupima kuwa ni mamluki wa CCM? Matendo ayafanyayo mtu katika kukiendeleza na kukiimaisha chama ndio kiwe kipimo.
Kumbuka kuwa majority ya wanachama wa vyama vya upinzani wametokea chama tawala na hivyo kuna uwezekano mkubwa wengi wao, MIMI nikiwa mmoja wao bado tunazokadi za ccm. Lakini ni wanachama wafu. Huenda hata wewe bado una kadi za chama cha kijani kama vile kadi ya umoja wa vijana nk. Mimi kwa upande wangu hata sikumbuki niliihifadhi wapi hiyo kadi ya kijani na huenda imeshaliwa na panya au mende! Ila kadi yangu ya chama kitukufu cha sasa(CHADEMA) ndio iko kwenye waleti yangu na ndio ninailipia ada za uanachama.
Hata huyo mpuuzi Nape anamilki kadi ya CCJ na kadi ya ccm, hivyo apuuzwe. Mamluki wa CCM ndani ya CHADEMA utawagundua kwa matendo yao ya kujipendekeza kwa JK na CCM kama wafanyavyo ZITTO na SHIBUDA. Dr Slaa amefanya mengi katika kuimarisha CHADEMA. Kwa sasa CDM imefungua kata, matawi na mashina mengi sehemu mbalimbali nchini tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma. Maendeleo hayo yanawapata kiwewe magamba ndio sababu kila kukicha hawaishi kumtafutia kashfa Dr. Slaa.
Lakini wameshachelewa kwani current more than 55% ya Watanzania wameshatambua kuwa CCM ni pumba na CHADEMA ni mchele. 2015 Kura za Urais, Ubunge, Udiwani ni kwa CHADEMA.
Mwisho kabisa naomba WANACHADEMA makini tusiyumbishwe na magamba akiwemo NAPE. Dr. Slaa anawanyima usingizi hawa magamba, usiku kucha hawalali bali nikumuwaza Dr. wetu wa ukweli. Big up sana Dr. Slaa na WANACHADEMA!!!
Wewe ndiye mwenye akili ya panzi hujui hata katiba ya chama unachotetea inasemaje kuhusu uanachama:kumtetea babu katika hili kunahitaji uwe na akili ya panzi!
na ubongo wa kuku tena aina ya tetea.
hahaaaaa mwambieni babu anawezaaaa iyo iyoooooo anaweza sanaaaaaaaaa kuwa mwanachama wa vyama viwili anawezaaaaaaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaaaa.
Kweli mkuu watatafuna hilo fundo la Slaa na kulimeza.- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Es!
Huyo jamaa kazoea kuiba na souvenir za watu wengine!Akili chafu huyu ! kwa Dr. slaa, hiyo ni souvenir. Tunaangalia matendo na si vinginevyo.
Watu wanamwangalia mamluki kwa mambo haya:kwani we unadhani mbowe hajui kwamba babu baba slaa ni kimeo?
acheni kujiuma uma hapa babu kaingia choo cha vijana ilihali akijua wazi kwamba yeye umri umeenda.
jibuni hoja babu ana kadi mbili ni mamluki ndani ya chadema,ni askari wa kukodi analipwa kwa kazi ya ukombozi.
ni mganga njaaaa.
angekuwa ni rais wetu zitto hapa je mngemtetea hivi?
masikini zitto una damu ya kunguni kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
slaa mnasema kanya,ila angekuwa zitto kaharisha hahaaaaa chadema bwana!
hivi kilichokuwa kinamfanya awe anachoma kadi za wenzie wakati yeye kampa mshumbusi aiweke kwenye mkoba wake ni nini?
- Brother haya ni maneno ya kutetea mediocre ni hatari sana kwa Taifa mnalotaka kulikomboa, Slaa ana lkadi ya CCM airudishe now, maana inamuondolea Moral Authority ya kuongoza na until this problem is solved, ni vigumu sana kwake kuja na National Agenda mpya au ya zamani!!
Es!......
- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!
Es!........
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Es!
Huyo jamaa kazoea kuiba na souvenir za watu wengine!
Awarudishe wake za watu.
mkuu ... kwa heshima unaonaje ukarudi tuu huko ulikokuwa US ukaendelea kuendesha malori ....