- HAYA NI MANENO YANGU YA MWAKA 2009, YAPO VERY CLEAR OF WHAT I STOOD FOR THEN AND NOW!
......na haya chini pia ni yako, ukitoa povu ulipom-PM jamaa?
Field Marshall ES 02:48 8th August
2009
- Mtu mmoja unahangaika thread
nzima kama unataka kutaga mayai na ID kibao unasumbuliwa na nini mkuu? Sasa unasema huu ni uongo mbona wewe ndiye wa kwanza kunitumia PM
na E-mail?
- Mkuu take a break sio lazima ulale
humu na kusumbua watu, dola 30 za maremeta umelia huku PM kila mahali usaidiwe, 300 utazitoa wapi? Tulia kama unanyolewa mkuu, ume-gogle
kila mahali hakuna unafikiri nilizaliwa jana mkuu, unafikiri google ina kila jibu?
- Ndio maana nimekataa kuweka habari zote, maana kuna watu kama wewe wenye roho kama ya nyoka, utaishia kuharibia wanaotaka kujaribu kwa sababu za ubinafsi wako, kaa pembeni mkuu acha longo longo, toka jana umeshupalia kila mahali na mi-ID yako, vipi huna kazi bro zaidi ya JF? Duh! i mean unatia kinyaa eti! Wizi ni tabia ya kuzaliwa nayo, sasa hebu kuwa mkweli zikichunguzwa background yangu na yako nani atakutwa na utapeli bro? Unafikiri ninaweza kuuza utu wangu kwa ajili ya dola 300 au something
ambacho siamini kabisa kwamba
kipo?
- Wewe una umalaika gani hasa? Mtu msamaria mwema amekuonyesha anaponunua ndizi za kwenu Bukoba huko majuu tena kwa nia njema sana,
wewe ukarudi kesho yake na
kununua zote pale dukani na kutaka kumuuzia tena yule yule msamaria mwema aliyekuonyesha duka, sasa wewe ni mtu gani? Ndio maana umeshupalia weee na hii thread ni kwa sababu unataka info, halafu uwatafute ukaharibu!
- Acha wewe huu utoto wako peleka huko mbele unachefua sana, unachohangaikia ni nini hasa, I mean hulali toka jana unahangaika kila kona, mara hivi mara vile nini shida yako mkuu sema usaidiwe, wananchi
genuine na wenye shida
wanashindwa kuuliza valid questions hapa kwa sababu yako wewe mtu mmoja tu, unawashwa na nini mkuu? Jaza fomu mimi nitakulipia hiyo 300
kama kweli una shida ya hii kitu, lakini usiharibie wengine wanaotaka kujaribu bahati zao mkuu, ninamini this thing kwamba ni for real tena kwa 100%, na tena ninazo all the info, namba za simu, fax, e-mail, na hata majina ya wahusika, sasa wewe hizi
info huna ni mpaka niamue kukupa otherwise, utaendelea kupiga piga kelele forum nzima kama kichaa na sitakupa maana hizi e-mail zako na pm
zako zote ninazijua, mkuu kacheze na watoto wako sio hapa kwenye
watuwazima! maana unachefua sana!
Respect. Field Marshall Es!