Dr Slaa bado anayo kadi ya CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Sep 2, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

  Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hata mi naskia ivo na anashirikiana vizuri tu na viongozi wa ccm na serikali ila kisiri sana
   
 3. M

  Malolella JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli magamba mnaokoteza ya kumsema Dk. Kuna hajagani ya kurudisha likadi la Ccm ofcn? Huzionagi kadi zinazokusanywa kwnye m4c? Mimi niliamua kulichoma moto nahic hata dk alifanyahvo.
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Slaa kawashika pabaya ndio maana hamlali,

  Ni bora mkaanza na Nape wenu kama ana kadi ya CCM, halafu athibitishe kama ile ya CCJ aliirudisha au kabaki nayo kama kumbukumbu.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwani kadi huwa mali ya nani? je dr slaa ni active member yaani huwa anailipia..hivi kikomo cha kuwa mwana ccm kikoje..
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kama aliilipia mara kadhaa anayo haki ya kuiweka kama souvenir.pengine kesho vichaa fulani kam hawa walioanzisha thread watataka aje thibisha kuwa aliwahi kuwa mwanachama na card yake aonyeshe.
   
 7. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  CCM wampe clearance form kama vipi, huwezi ukarudisha kadi kama wenyekadi hawajaiomba
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kweli shule na vyuo vyetu vina kazi sana kama ndio watu wanafikiri hivi. Kama hajarudisha manake kuwa anayo? Yaani hakuna uwezekano mwingine wowote ule? Mimi pia niliwahi kuwa na kadi ya CCM na hadi leo sijairudisha na sina mpango wa kuirudisha....

  CLUE: Uanachama wa CCM unakomaje?
   
 9. M

  Martin Jr JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Makupa

  Mbona wewe bado unakadi ya CDM huku ukifanya kazi za ccm? Ya kwako unarudisha lini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. S

  STIDE JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwani ni jinai kuwa na kadi ya CCM!!? Anasubiri Mh. Kikwete akirudisha ya CDM naye arudishe ya ccm!! Sijui kama unalijua hili!!
   
 11. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Slaa rudisha kadi ya watu kama hii habari ina ukweli wowote. Huwezi kame kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  persistance persistance persistance!!!
  Chadema endelea kubonyeza watasema yote kabla ya 2015
   
 13. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RONALDO hajarudisha kadi ya manchester united mpaka leo.nasikia anashirikiana na FAGIE kisirisiri.
   
 14. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Joto la M4C hilo linapanda kwa kasi!mtakomaje?
   
 15. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kadi si lazima urudishe kuthibitisha kuwa si mwanachama,, KUTOILIPIA ada tu kwa muda uliowekwa inakuwa umejitoa uanachama. kama hailipii ada wewe unawashwa nini?
   
 16. M

  Makupa JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sio Dr tu hata baadhi ya wabunge wa cdm bado wanazo kadi za chama chetu mfano,Selasini,na Mheshimiwa Zitto
   
 17. kipoma

  kipoma JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kwani kadi kitu gani ,
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Who cares? Siyo lazima airudishe huko mnakodhani anaweza irudisha, me niliambiwa kuwa aliichoma moto!!!!!
   
 19. k

  kundaseni meena Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mleta mada ni mke mdogo wa Dr? amejuaje kama bado hajarudisha au kachoma moto?. shemeji umezaa watoto wangapi na dr.?
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.
   
Loading...