@Field Marshall ES Kama Dr Slaa ana card ya CCM, na anailipia ada kama inavyotakiwa basi bado ni mwana-CCM. Sasa kama kweli ndivyo ilivyo, kwanini wana CCM wanamwandama badala ya kumuunga mkono na kumualika kwenye ubwaba kama wanavyofanya kwa Shibuda? Kwanini CCM kila kukicha wanatoa matusi dhidi ya mwanachama mwenzao - Dr Slaa? What does this say about CCM?

[h=5]ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
[/h]
Ukikubali kuibiwa mke ni kudhihirisha kwamba wewe mwenyewe ndio msingi wa tatizo la mkeo. Kama ni lawama unazibeba mwenyewe.
Btw Sijawahi kuona ama kusikia mtu mwenye akili timamu anasema ameibiwa mke wake. Hata hivyo mtu mwenye akili timamu naye hawezi kudai kwamba mke wa mtu anaweza kuibiwa!
sasa mbona mimi nilivyohamia chadema niliambiwa nilete kadi ya ccm kwanza tena mbele ya hadhara? Hapa kuna walakini kuna watu wanakula kwa Rashid na Isaya. Mbona alipokuja ole miliya aliambiwa arudishe kadi ya ccm hadharani? Mi narudi nilikotoka ni bora zaidi. Swali langu mbona mh.slaa anakaa na hiyo kadi kama sio mamluki? Kiongozi lazima awe mfano wa kuigwa sasa hapo tuige nini? Huu ni upuuzi
Kwa hili Dr slaa lazima wanachama watiiiifu wa chadema wambane na hatua kali zidi yaje zuchukuliwe kwani kwa kiongoz km yy kumiliki kadi ya CCM ni unafik mkubwa kwa viongozi na wanachama wenzake wa Chadema, na IMANI YANGU ni kuwa lazima MBOWE km m/kiti atahakikisha nidham ndani ya chama inadumu, la sivyo naye sitamwelewa kabisa maaaana kuna taarifa kwamba hata yeye MBOWE hajarudisha. UMOJA NI USHINDI
ANA KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA ANA MADEMU WAWILI JOSEHINE NA ROZIMARY ANA KAZI MBILI NI PADRE NA MWANASIASA NI MSOMI NA NI KILAZA NI WA MAMBO MAWILI MAWILI.. ANATAKA UBUNGE ANATAKA URAISI..
Naomba uwe mtulive zaidi wakati unasoma post ili kuepuka kuunga unga majibu na ya kuudhi. Hoja yako na wenzako kuhusu Dr Slaa ni sio tu kuwa na card ya CCM, bali kwamba analipia ada. In other words, uanachama wake uko upo hai - ni mwanaCCM. Sasa nikuulize, again, kwa nini wanaCCM wanamshambulia mwanaCCM mwenzao? tena kupitia mitandao? Na ni kama hoja ni kuwa na card mbili toka vyama tofauti, kwanini kelele zinakuwa kwa Dr Slaa? Hivi ni Dr Slaa peke yake Tanzania hii mwenye card mbili? Why only target Dr Slaa?
Pili kiongozi, naona umebobea sana kwenye uchunguzi maisha binafsi ya watu, na hata kwenye post yako umeweza kutupa results za uchunguzi wako kuhusu maisha binafsi ya Dr Slaa, na kwangu mimi nimekuwa 'insulted' kwa kupewa majibu ya dharau na yasiyo na tija kwa matatizo ninayokumbana nayo. Nina mgonjwa sasa hivi Muhimbili kalala chini! Kafanyiwa operation baada ya wanandugu kujichanga na kulipia, lakini anatoka theather, hakuna pa kulala. Yuko chini! Dawa nimununua na kumuachia nurse.
Sijakuuliza maisha binafsi yako wewe, au ya mtu yoyote yule. Nikiwa kama mtanzania, ningefaidika zaidi kama uengeelekeza ujuzi wako wa uchunguzi na kutupa majina wa watu walioweka hela Swiss, mrejesho wa hela za EPA, mwenendo mzima stimulus package, ulipaji kodi kwa makampuni ya madini. Haya kwangu ni muhimu maana yanaweza kusaidia kuboresha huduma za afya na hata mgonjwa wangu angeweza kupata kitanda, pia hela zingesaidia kujenga barabara, kulipa walimu, na hata kugharamia ujenzi wa reli mpya na za kisasa.
Ifike mahali sasa watu kama wewe muache kudharau watanzania kwa kutuleweka kwenye siasa za maji taka. Ni majibu ya kipuuzi kama hayo uliyoandika ndiyo yanafanya watanzania wakione CCM ni sawa na kikundi cha majambazi. Na kama CCM imeishiwa to the extent ya kutoa hoja za kihuni kiasi hicho badala ya kujadilia matatizo yanayowakabili wapiga kura, basi hiki chama hakifai.
Assume uliyoandika kuhusu Dr Slaa ni sahihi. Now, tell me, mgonjwa wangu amelala chini baada ya kukosa kitanda kwa sababu Dr Slaa kazi mbili - upadre na uana siasa? Liliondo as we speak wanaomboleza wenzao waliopoteza maisha kutokana na njaa kali - hawana msaada wowote toka serikalini. Hapa alaumiwe Dr Slaa kwa sababu ana 'mademu wawili?
Kwa ujumla 36% ya watanzania wote (aprox 16m poeple) ni maskini wa kutupwa. Nayo hii imeletwa na Dr Slaa?
Kesho tarehe 9/12/2012, tutasheherekea miaka 51 ya uhuru. Tanzania hata net za mbu tunaomba! Why? 51 years ago GDP ya Tanzania ilikuwa zaidi ya South Korea. Leo hii tuko wapi? Ukitizama nchi jirani na Tanzania, hakuna hata moja yenye rasilimali kutufikia, lakini angalia situation on the ground!
Then anajitokeza mtu na utashi wake anataka kujadili who is sleeping with who? Kama sio madharau kwetu sisi wavuja jasho ni nini? Ni kwanini wakubwa hawataki hata wajadili mambo ya msingi badala yake wanaleta uhuni? Kuna tatizo gani CCM? Ni lini wataacha madharau?
Wewe ndio kilaza kweli. Legally holding kinyume na katiba ya chama chako mwenyewe?
Hivi ndivyo katiba ya chama chako inavyosema (3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama. (f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Nazitambua juhudi za wafuasi wa babu na mashabiki wake katika kujaribu kumtetea ionekane ni jambo la kawaida sana kwa Dr. W. Slaa kuwa na kadi ya CCM mpaka leo! Juhudi za kutumia social media na magazeti mengine hasa gazeti la M4C(TanzaniaDaima) kujaribu kumtetea Slaa na wakati huo kunikejeli na kunitukana japo kuwa kwa matusi ambayo lazima nikiri si mapya, yalishawahi kutumiwa dhidi yangu au watu wengine duniani. Hapa nitajibu hoja moja baada ya nyingine( wenye matusi mapya wanakaribishwa wakijisikia kunitukana tena).
1. Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.
Wewe ndio kilaza kweli. Legally holding kinyume na katiba ya chama chako mwenyewe?
Hivi ndivyo katiba ya chama chako inavyosema (3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama. (f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Na kiongozi wako kilaza anathibitisha hapa:
Kama ulikuwa hujui ndo hivyo.
Halafu utakuwa na shida kichwani kumshangilia kuwa ni mwanachama wa chama chako wakati kila siku anakibomoa chama chako.
Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:- (a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama. (f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:- (a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama. (f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Mkuu hayo yote hata watoto wa primary wanayafahamu, lakini je yanafuatwa?
Na Mzee Slaa ni mmoja wa waathirika wa kutofuata mpangilio wowote, jack of all parties!
Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.

Edo, ulisafiri na aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya bwana Shimbwee Shitambala mpaka Dodoma kurudisha kadi ya CHADEMA, ulipokutana na Mh. Sugu akakuuliza kama chama kilikuwa salama Mbeya, maana wewe ukiwa katibu wa CHADEMA mkoa
alistuka kukuona bila taarifa.
Mwenzio Shitambala akarudi alikotoka CCM, wewe ukataka kuwatumikia mabwana wawili yaani CCM ukiwa spy wao kuiua CHADEMA na pia ukiwa kama katibu CHADEMA. Dakika chache mwenzio akanyanyuliwa mkono na ****** akapata chake na ahadi ya ka cheo amepatiwa.
Kaka yangu Edo, CHADEMA wamekurudi tokana na ukinyonga wako unaita waandishi njaa kali, wote mmepewa chenu toka mtaa wa Lumumba kwa vuvuzela. CHADEMA HATUYUMBISHWI NA HAYO YA KADI, MBONA HUKUITISHA MEDIA UKIWA MBEYA? SABABU UNAIJUA.
Ningetamani watu kama hawa wasio na msimamo na wasiendelee kupewa promo.Wapuuziwe tu.Haiwezekani mtu hana rekodi yoyoye na wala hajawahi kufanya press conference yoyote eti anafanya press conference ya kwanza kujitoa uanachama.Lengo ni kupata promo naye ameki headlines kama hizi.Apuuzwe tu aendelee na chama chake kipya.Wala hakuwa muhimu kihivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.