Wewe ndiye mwenye akili ya panzi hujui hata katiba ya chama unachotetea inasemaje kuhusu uanachama:
Nikupe shule ya katiba ya CCM juu ya uanachama: (1) Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-
(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(2) Viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa. (3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama. (f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
(4) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
sifa kuu ya mwanachama ni kuwa na kadi .
hayo mengine unauajua wewe.
kabla hujaendekea kutoa povu naomba tushirikiane hiki kibwagizo cha kotide!
slaa anaweza anaweza anawezaaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaa kumnadi mwakyembe 2010 na kumuacha eddo mgombea wa chadema anaweeeezaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaaaa

Ninachoshangaa ni pale mwandishi anaposema wanachama wa CHADEMA lakini mwanzo mpaka mwisho inatolewa habari ya mtu mmoja tu, huu ni uandishi wa kijinga sijawahi ona, na pia kama amesimamishwa uanachama, nadhani ilikua busara kwa mwandishi kuwatafuta wanachadema ambao ni neutral kupata balanced story, otherwise its poor story of the day
Huyu mwandishi ni mmojawapo wa wale waandishi uchwara wa magazeti ya Magamba (Uhuru na Mzalendo). Kwanza sio raia wa Tanzania, ni Mrundi ndo maana anajipendekeza kwa magamba ili asifutiwe uraia. Na huyu Katibu aliyesimamishwa ameshanunuliwa na magamba hafai tena kuwa mwanachama wa chama cha ukombozi wa Mtanzania (CDM). Huyu hana tofauti na Shibu
Hivi ni kwa nini zikikaribia sikukuu vichaa huwa wanaongezeka! Kuna nini hapo cha maana alokiandika huyu dogo!
Kama alisoma vizuri majibu ya dr. Slaa; haikuwepo haja ya kuendelea kuweweseka namna hii. Dr. Slaa alisema hiyo Kadi iko kwenye kumbukukumbu tu; mzee wetu ni muwazi sana - watu wa hivyo ndo tunawapenda.
Kwa mwendo huu tuanze kufuatilia mmoja mmoja; wote walowahi kumiliki kadi ya umoja wa vijana CCM walizirudisha? Kuna kipindi serikali ilikuwa inalazimisha kila mtanzania anayejiunga na masomo kuanzia O'level awe na kadi ya Umoja wa vijana, binafsi nililipia lakini kwa kuwa sikuwa na mwamko wa siasa - sikuichukua na sijui iko wapi.
Hawa jamaa walitaka Dr aseme kuwa hana hiyo kadi ili wamtuhumu kwa uongo, lakini yeye amekuwa muwazi kabisa na hapo ndipo alipowafunga mdomo sasa wanaanza kutapatapa. Watu kama Dr ndo wanatufaa kwa ukombozi wa kweli kwasababu hawana hila, ni wakweli daima hata katika yale mambo magumu hawayumbi, wana misimamo. Big Up Dr.
Akili za watu bwana! Hivi kudai Slaa ana kadi ya CCM ndiyo jibu la umaskini na ufisadi Tanzania? Akili ndogo kuongoza akili kubwa, ama kweli. Tukiendelea kucheka na nyani (chama cha majambazi) tutavuna mabua.
Hawa jamaa walitaka Dr aseme kuwa hana hiyo kadi ili wamtuhumu kwa uongo, lakini yeye amekuwa muwazi kabisa na hapo ndipo alipowafunga mdomo sasa wanaanza kutapatapa. Watu kama Dr ndo wanatufaa kwa ukombozi wa kweli kwasababu hawana hila, ni wakweli daima hata katika yale mambo magumu hawayumbi, wana misimamo. Big Up Dr.
Labda niongeze hili: kwamba kila mwanaM4C mwenye umri mkubwa--kama say alikuwa miaka kati ya 18 hadi 25 mwaka 1977 lazima atakuwa na historia ya uanachama wa CCM.
Tulikuwa tunalazimishwa kujiunga na chama hiki ili kupata huduma za jamii, kupata migao ya bidhaa muhimu katika maduka ya umma, kupata elimu ya juu ama ajira katika serikali. Kwa hiyo watakuwapo wengi sana wanazo kadi za CCM bila itikadi ya CCM kuwapo katika mioyo yao.
Dr. Slaa ni huo umri wa sisi tuliokuwa tukilazimishwa kadi za CCM. Mimi ninayo hiyo kadi darini somewhere..... Kajisuvenier ka kiaina. What is wrong with that.....
Labda tuwaombe vijana kuelewa hili: kwamba M4C inachanganya watu wa zamani sana na wao--yaani vijana. Na hakuna mwenye uwezo wa kuchange past. Can anybody change the past? The answer is no....
kinachonitatiza kwenye hili ni kwamba, ALIYETOA SHUTUMA ZA KADI YA DR. SLAA NI NAPE AMBAYE YEYE ALIKUWA ANAANZISHA CHAMA CCJ NA WAKATI YUPO CCM sasa kati ya hao nani mnafiki? Na nadhani kila mtu anajua kwamba Dr. Slaa alikuwa ni mwanachama wa ccm
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema, Katibu wa Chadema mkoa wa Mbeya ambaye amesimamishwa kwa kudaiwa kuwa mamluki wa CCM, Edo Mwamalala, akizungumza na Waandishi wa habari leo katika Hotel ya MIC, Ubungo jijini Dar es Salaam, ambapo amedai kwamba Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Willibrod Slaa, ni mamluki namba moja wa CCM kutokana na kumiliki kadi ya CCM kama alivyokiri hiviu karibuni. (Picha na Bashir Nkoromo).
Na Bashir Nkoromo
ZIKIWA ni siku chache baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa kukiri kuwa bado anamiliki kadi ya uanachama ya CCM, baadhi ya wanachama wa Chama chake wamemjia juu na kumtaka ajiuzulu nyadhifa zake zote mara moja ndani ya chama hicho.
Aidha wanachama hao wamemtaka Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho Taifa, kumchukulia hatua za kumwadabisha ikiwemo kumsimamisha, kwa kile walichokiita kuwa ni kadhia mbaya na undumilakuwili alioonyesha kwa kumiliki kadi za vyama viwili vya siasa.
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ii, Edo Mwamalala, alipozunfumza na waandishi wa habari leo, katika hoteli ya MIC, Ubungo mjini Dar es Salaam.
"Hatua ya Dk. Slaa kukiri tena bila woga wala aibu kwamba anamiliki kadi ya CCM, inamaanisha kwamba ni mwanachama wa vyama viwili vya siasa yaani CCM na Chadema, kwa tafsiri rahisi ni mamluki hai wa CCM ndani ya Chadema", alisema, Mwamalala ambaye amewahi pia kuwa mgombea wa Ubunge wa Chadema jimbo la Kyela katika uchaguzi mkuu uliopita.
Mwamalala ambaye alidai kuna wanachama wengi nyuma yake katika kutoa tamko hilo, alidai Dk. Slaa ni kama askari wa kukodi ndani ya Jeshi la ukombozi, ndiyo maana amedai kulipwa mshahara mkubwa wa zaidi ya sh. milioni saba kwa mwezi kuwauzia Chadema gharama za ukumbozi.
"Itakumbukwa kwamba katika miaka ya tisini kulikuwa na viongozi machachari ndani ya upinzani wenye maneno ya kuwaaminisha wananchi, huku wakijitutumua kwamba wamekuja kuleta mabadiliko katika nchi hii, kumbe walikuwa mapandikizi waliokuja kuwaacha Watanzania njia panda, sasa Dk. Slaa ni mfano wa hawa", alisema Mwamalala.
Alisema, kwa kukiri kuwa na kadi ya Chama kingine zaidi ya Chadema, Dk. Slaa amepoteza sifa ya kuwa mwanachama halali wa Chadema kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho, Sura ya Tano, ibara ya tano, kifungu cha kwanza, kipengele kidogo cha nne.
Alisema, mbali na Katiba, kwa hilo, Dk. Slaa amedhigirisha kuwa hana uadilifu wala huruma kwa Watanzania walioweka rehani maisha yao kumuunga mkono katika harakati mbalimbali, kiasi cha baadhi ya vijana kuwa tayari kufukuzwa vyuoni wakitetea sera za i.
" Tunawaomba Watanzania wote wanaounga mkono Chadema, tuungane kwa pamoja kama kweli tunadhamiria kushika dola 2015, watu ndumilakuwili kama Peter Slaa (Dk. Willibrod Slaa) hawatufai tena hata kidogo", alidai Mwamalala na kuongeza;
"Watu kama Peter Slaa( Dk. Slaa), wapo kwa ajili ya kutumia shida za wananchi kujipatia umaarufu huku wakiendesha maisha yao na kuwaacha wananchi wakiteseka".
Mwamalala alidai kwa vyovyote Dk. Slaa bado ni mwanachama wa CCM, awe hai au mfu, kwa sababu hawezi kuikimbia CCM na kuhamia Chadema kwa uchungu mkubwa kama anavyodai, lakini akaendelea kuhifadhi kadi ya chama kisichomfaa tena.
"Ukihama nyumba ya kupanga huwezi kuhama na ufunguo wa akiba, vitu vikipotea kwa mpangaji mpya watajua ni wewe", alisema, na kufafanua kuwa, Kama ni kweli Dk. Slaa amekwisha hama CCM hana sababu ya kubaki na kadi ya chama hicho isipokuwa tu kama bado ana maslahi nacho.
Mwamalala licha ya kuwa bado ni mwanachama wa Chadema ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa, ni miongoni mwa viongozi waliosimamishwa uongozi na Dk. Slaa hivi karibuni kwa madai kuwa ni mamluki wa CCM ndani ya Chadema, ambapo alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Mbeya.
Magamba mnamatatizo kweli kweli yaan mmemlipia jamaa nauli kuja dar kujakuongea huu utumbo?Na aliojiwa na magazeti haha tu uhuru,majira na habari leo Vipi TBC1 walicover tukio? Kajipangeni upta!
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Amrudishie nani? Kikwete? Aichane tu hadharani nyoyo za wanachama zitulie. Yote ni propaganda za kuchafuana tu. Nina ya kwangu ya CCM kwani kuna sharti la kuirudisha? Tangu nimejiunga CDM mbona hawajanidai kadi yao? Sijailipia miaka 33 iliyopita!
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Sisi tumeridhika jamaa kuwa mamluki na nilitarajia iwe furaha kwenu kwani anafanya kazi bila kushtukiwa na mtu yeyote
SWALI ni ili kama kweli Dr ni kibaraka cha ccm ndani ya CDM y ss nyie(ccm) ndo iwaume?
2.uliona wapi jeshi linamtuma komando akapeleleze maadui thn jeshi iloilo limtangaze hadharani(we binafsi huoni kama ni utoto uo) Binafsi naona kama mwampigia Mbuzi gitaa acheze kwani kwa watu walioenda shule cdhani kama ii mada inaingia akili...kajipange upya kesho uje na nyingine
Jiulize wewe katibu mfukuzwa umekifanyia nini au nini mchango wako kwa chadema na Dr. Slaa amekichangia kiasi gani chama kisha utaweza kupambanua mamliki ni nani kati yako na Dr, Slaa.
Naona jamvi limeingiliwa na hawa jamaa wa mabwepande!...suala Dkt kuwa na kadi yake ya ccm si muhimu katika jamvi hili, kila mtu anafahamu fika kuwa Dkt aliwahi kuwa mwanachama na baadaye akatoka na kujiunga na CDM, sasa suala lakuwa na kadi yake ya zamani ambayo haitumii zaidi ya kuwa kumbukumbuyake binafsi. Ninahisi kuna watu wametumwa na Nape humu au wanajipendekeza, wanasahau kuwa kuna masuala mengi muhimu kwa mustakabali wa taifa, na hayajapatiwa ufumbuzi. Tuache kujadili watu binafsi na badala yake twende katika issues
You are a pathetic lot, and thats clear!
My kiingereza notwithstanding, I can even argue with you with my feet in the air!
You dont have the onus of re-defining the direction of what we are discussing-and thats lack of intergrity of your Dr Slaa.
You seem to be stuck-like the old records- on a circumscribed loop, that you cannot get out from.
And by quoting what the hell do you mean?
Did you by any chance mean "copying and pasting" ?
You obviously tend to skip to any reference on lack of moral authority on your Dr Slaa, and for very good reasons too-its indefensible, and I am increasingly likening you to the devils advocate.
And now come to think of it, you must be one of those having a lower than average IQ, a happy-go-lucky prescribing quack-your reference to the drug proves it.
However refer to one Dr Mengele, a notorious quack who found mentorship on the likes you prefer.
You seem to be drifting into the same direction, you vibweteres are all the same!
teh teh...nani kakuambia hapa tunashindana kiingereza?hapa tunahitajia ushahidi na si majungu.Usiwe mpuuzi kiasi hicho.Unakua kama mtu anayekimbiza mwizi halafu anampita na baadaye kudai kwa mbwembwe kuwa kamshinda mwizi kukimbia badala ya kumshika.Sasa ulidhani English proficiency ndio inahitajika thibitisha umbea wako kuhusu Dr. Slaa.?hadi hapa matusi uliyotukana huna hata moral authority ya kumnyooshea kidole mwizi au hata mzinzi.
Nina mashaka sana na Jinsia yako na mchanganyiko wako wa hormone .Km upo comfused siwezi shangaa.Huwezi jisifia kitu kingine wakati issue ni nyingine sana.Lugha, na vitu vidogo vya apperance?Unaoga mara ngapi kwa siku?
If my I IQ is that low and below the average, then you would be somewhere in a the left side of Zero.

Dr Slaa alihamia CDM baada ya kuenguliwa kwenye kura za maoni za CCM! Kwa hiyo itakuwa aliondoka kwa hasira tu za kukosa uongozi ila sio kukichukia chama. Tusidharau huenda anataka kumaintain number ya kadi yake ya CCM. Kwani ni wapinzani wangapi walikuwa wapiga debe wa upinzani na kuikomalia CCM mwisho wa siku wakarudi kule kule walikotoka? CDM msidharau, mfuatilieni DR Slaa mumchunguze asije siku moja akavua gwanda akavaa gamba!
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Leo tena nimeamini bila shaka yoyote, kwamba huyu bwana W.Malecela, Le Mutuz, Le baharia ndiye huyu huyu "Field Marshall ES".
Nimejaribu ku-recall uzi fulani huko nyuma ambao alipata kumshambulia sana Dr. Slaa na Mhe. Mbowe na mara kwa mara alipenda kutumia neno " mediocre".
Tabia ya mtu huwa haijifichi. Hata kama angejibadiri sura, lakini tabia ataionesha tu hadharani bila kukusudia.
Dr Slaa alihamia CDM baada ya kuenguliwa kwenye kura za maoni za CCM! Kwa hiyo itakuwa aliondoka kwa hasira tu za kukosa uongozi ila sio kukichukia chama. Tusidharau huenda anataka kumaintain number ya kadi yake ya CCM. Kwani ni wapinzani wangapi walikuwa wapiga debe wa upinzani na kuikomalia CCM mwisho wa siku wakarudi kule kule walikotoka? CDM msidharau, mfuatilieni DR Slaa mumchunguze asije siku moja akavua gwanda akavaa gamba!
Dr Slaa alihamia CDM baada ya kuenguliwa kwenye kura za maoni za CCM! Kwa hiyo itakuwa aliondoka kwa hasira tu za kukosa uongozi ila sio kukichukia chama. Tusidharau huenda anataka kumaintain number ya kadi yake ya CCM. Kwani ni wapinzani wangapi walikuwa wapiga debe wa upinzani na kuikomalia CCM mwisho wa siku wakarudi kule kule walikotoka? CDM msidharau, mfuatilieni DR Slaa mumchunguze asije siku moja akavua gwanda akavaa gamba!
Mkuu, kwani ni dhambi mtu akirudi alikotoka? Au katiba ya Tz hairuhusu?
Suala siyo kumfuatilia, bali ni namna Dr. anavyojitoa katika kukijenga chama.
CDM siyo baba na mama wa Dr. Slaa. Aliingia kwa mapenzi yake na akitaka kutoka atatoka kwa mapenzi yake, lakini si kwa mashinikizo ya wanasiasa vijana uchwara kama huyo Edo ambaye anaongea hadi povu linamtoka hadi kushindwa kuwatofautisha Dr. W. Slaa na Mzee Peter Slaa. Halafu naye anajiita mwanasiasa mwenye kundi la watu nyuma yake.
Only in Tanzania, one can find such useless young politicians who can't contemplate political issues logically.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.