Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

unahoja nyepesi huku ukijiaminisha kuwa upo makini.

Kuacha useja bado ni hiari na sheria za catholics zimewekwa zikiwa na Exit door.Na yeye kaitumia.Si wewe tuu uliye mbumbumbu hata CCM walishapewa majibu na Catholic.

Huyo mke wa mtu alishaachika.Pia hujaulizia akina mama wa CCM wanachukuliwa na watu wangapi ndani ya CCM?Ingekuwa dr. Kamchukua mke wa Mtu basi kuna wengi ktk CCM waliopaswa kuwa gerezani.

hayo ya kuacha familia bila matunzo , ni umbe unaokufanya uzidi kuwa kituko.je unao thibitisho wa hilo?Wanaishi vipi?Una details za makubaliano ya kuachana?

Kipimo cha kwanza cha haya unayotak ayasema kilipaswa kuwa Sheris zilizomfikisha ktk kiapo na kuondoka na si umbea wa watu.Kanisa alilolitumikia ndilo lina sheria na mkataba naye hadi alipoondoka, hvivyo hivyo kwa familia ndio maana huyu mama hakuwahi mshitaki kipindi chote hadi sasa .Logically ni shaihi mama kupata hizo hisia za wivu, hisia na kuiwek aesteem yake ktk hizi hisia na kujilinganisha na mwananke mwenzie.Huwa watu wengine hujutia kitu walichokipoteza baad ya kuona wengine wamekithamini.
If anything you have just proven that Dr Slaa is a petty politician, unsuitable for higher office bearing.
 
View attachment 73894huyu ana kadi ya ccm out hatumtaki.....ila babu padri yeye hata akifumaniwa live na picha mkituletea hatutakubali tutakufaa nae sisi ni sawa na wafuasi wa kibwetere kwa babu padri hatukohoi wala hatuhemi
 
mzee wa kulaza ubongo umeingia ghafla kwa povu jingi kama kawaida yako.Mahakama imeamua aje?
Nani kakuambia mtuhumiwa ni mkosefu?

Una hakika gani kuwa kweli walitoswa au ni nmama tuu na wivu na mashindano ya kurudisha esteem baada ya mama kuona alichoshindwa wenzie wameweza.

Its only CCM who are stupid enough to be trappend in their own lies.
Mkuu unapoteza nguvu zako bure. Kumbuka ule usemi Never argue with a fool ................! kuna kundi la punguani limepewa kazi ya kumchafua Dr lakini uwezo wa kundi hilo ni wa kiwango cha chini sana kwa vile wenye kiwango cha juu hawapatikani ndani ya hilo li chama lililoko ICU.
 
The only fools that we know of are those cheering on an old man who has just rediscovered his potency.
And in doing so is going against all norms of socially acceptable behaviour by co habitating with other peoples wives.
Such behaviuor which is punishable by stoning to death.

One wonders who the bigger fool is in this case.
Pole.
 
kwa maoni yangu huyu slaa anawaumiza sana mnaonaje mkawa mfuasi wake mnakaribishwa sana!!!!!!!!!!!!
 
432298_4694578038896_1219583700_n.jpg

Muulizeni na Nape alirudisha kadi ya CCJ???
 
The only fools that we know of are those cheering on an old man who has just rediscovered his potency.
And in doing so is going against all norms of socially acceptable behaviour by co habitating with other peoples wives.
Such behaviuor which is punishable by stoning to death.

One wonders who the bigger fool is in this case.
Pole.

Unaishi sana kwa quotes.SI kila quote ni absolute truth, ila noticeable in specific occasions.The balance between experience, wisdom and dynamic flexible thinking ina toa amazing results ndio maana hadi leo warren Buffet akili yake inafanya kazi ktk uchumi kwa kizazi kilichopita na hiki kuliko vijana wengi.Hizo akili za Zitto zitawaponza sana.

Social structure and norms si mara zote zipo sahihi,na hilo kuwa ana ishi na wake za watu ni ujinga mwingine unajilisha.mahusiano ya watu yanaishia pale mnapotalikiana.Hata ukikaa na mwanamke kwa miaka kama nyumba ndogo siku akikuambia kuwa kama humuoi anachapa mwendo na wewe ukaridhia, basi ni wazi kuwa mahusiano yenu yataishia ktk mipango ya kuwalea mliowaleta duniani.Sasa kama unayemsema alimfanya mwanamke kimada (tena kw akufich amahusiano)kwa muda fulani au alimuoa na kutalikiana basi si haki tena kuja juu mwenzie akioa na kuweka wazi ktk jamii.Sasa ukikurupuka huko kwa vile umemwona aliyetangaza nia ni mwanasiasa maarufu halafu ukataka geuza mtaji ni upuuzi na kukosa adabu.Angechukua mwendesha mkokoteni mngebaki kucheka na kudharau na si kuleta vurugu za kijinga za kudai sijui nini au nini.
 
Mkuu you make me laugh!
It is only people like you who cant think for themselves who think others live the same way!

Bila babu obviously you people cant think!
Thats much too noticeable, na ndio maana unafikiri wengine tuna quote!!!
Mkuu shule ilipanda siku nyingi.

As for social norms, if at all your benchmark is a self confessed wife snatching former cleric now turned politician, no wonder your standard is that low.
Its quite obvious matters of intergritty do not bother you.
No wonder you are in a catch-22 situation , in which you are hopelessly unable to get out from.
 
Mkuu you make me laugh!
It is only people like you who cant think for themselves who think others live the same way!

Bila babu obviously you people cant think!
Thats much too noticeable, na ndio maana unafikiri wengine tuna quote!!!
Mkuu shule ilipanda siku nyingi.

As for social norms, if at all your benchmark is a wife snatching former cleric now turned politician, no wonder your standard is that low.
No wonder you are in a catch-22 situation , in which you are hopelessly unable to get out from.

Sasa umeongea nini ?Unakataa hau quote halafu unaendelea ku quote..Anything that goes round will always come around.

Sioni unapothink for yourself instead , naona unbwabwaja tuu, sijui unadhani uki paste vitu kiingereza kunakuongezea marks.

Bil ahata kujijua unachoongea unadhani mimi naongea fikra za Dr. Kweli ni CCM ndio wajinga wa kila kitu.Kwa kiasi fulani unaongea fikra zako ukidhani unaongea zangu ndio maana unajiaminisha halafu huna ushahidi.Pengine unahitaji pata prozac , ni mojawapo ya dawa ambazo zinegkuwa zimegundulika yrs back waanzilishi wa dini za kigaidi na viongozi wa CCM leo hii wasingetufikisha na kutushikilia hapa.Possible you need a dosage very urgently ili uache sikia your mind through others.

Hembu rudia uone jinsi unavyojidefine.
 
[h=3]MWANACHAMA WA CHADEMA AMSHUKIA DK. SLAA[/h]
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema, Katibu wa Chadema mkoa wa Mbeya ambaye amesimamishwa kwa kudaiwa kuwa mamluki wa CCM, Edo Mwamalala, akizungumza na Waandishi wa habari leo katika Hotel ya MIC, Ubungo jijini Dar es Salaam, ambapo amedai kwamba Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Willibrod Slaa, ni mamluki namba moja wa CCM kutokana na kumiliki kadi ya CCM kama alivyokiri hiviu karibuni. (Picha na Bashir Nkoromo).

Na Bashir Nkoromo
ZIKIWA ni siku chache baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa kukiri kuwa bado anamiliki kadi ya uanachama ya CCM, baadhi ya wanachama wa Chama chake wamemjia juu na kumtaka ajiuzulu nyadhifa zake zote mara moja ndani ya chama hicho.

Aidha wanachama hao wamemtaka Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho Taifa, kumchukulia hatua za kumwadabisha ikiwemo kumsimamisha, kwa kile walichokiita kuwa ni kadhia mbaya na undumilakuwili alioonyesha kwa kumiliki kadi za vyama viwili vya siasa.

Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema, Edo Mwamalala, alipozunfumza na waandishi wa habari leo, katika hoteli ya MIC, Ubungo mjini Dar es Salaam.

"Hatua ya Dk. Slaa kukiri tena bila woga wala aibu kwamba anamiliki kadi ya CCM, inamaanisha kwamba ni mwanachama wa vyama viwili vya siasa yaani CCM na Chadema, kwa tafsiri rahisi ni mamluki hai wa CCM ndani ya Chadema", alisema, Mwamalala ambaye amewahi pia kuwa mgombea wa Ubunge wa Chadema jimbo la Kyela katika uchaguzi mkuu uliopita.

Mwamalala ambaye alidai kuna wanachama wengi nyuma yake katika kutoa tamko hilo, alidai Dk. Slaa ni kama askari wa kukodi ndani ya Jeshi la ukombozi, ndiyo maana amedai kulipwa mshahara mkubwa wa zaidi ya sh. milioni saba kwa mwezi kuwauzia Chadema gharama za ukumbozi.

"Itakumbukwa kwamba katika miaka ya tisini kulikuwa na viongozi machachari ndani ya upinzani wenye maneno ya kuwaaminisha wananchi, huku wakijitutumua kwamba wamekuja kuleta mabadiliko katika nchi hii, kumbe walikuwa mapandikizi waliokuja kuwaacha Watanzania njia panda, sasa Dk. Slaa ni mfano wa hawa", alisema Mwamalala.

Alisema, kwa kukiri kuwa na kadi ya Chama kingine zaidi ya Chadema, Dk. Slaa amepoteza sifa ya kuwa mwanachama halali wa Chadema kwa mujibu wa Katiba ya Chama hicho, Sura ya Tano, ibara ya tano, kifungu cha kwanza, kipengele kidogo cha nne.

Alisema, mbali na Katiba, kwa hilo, Dk. Slaa amedhigirisha kuwa hana uadilifu wala huruma kwa Watanzania walioweka rehani maisha yao kumuunga mkono katika harakati mbalimbali, kiasi cha baadhi ya vijana kuwa tayari kufukuzwa vyuoni wakitetea sera za Chadema.

" Tunawaomba Watanzania wote wanaounga mkono Chadema, tuungane kwa pamoja kama kweli tunadhamiria kushika dola 2015, watu ndumilakuwili kama Peter Slaa (Dk. Willibrod Slaa) hawatufai tena hata kidogo", alidai Mwamalala na kuongeza;

"Watu kama Peter Slaa( Dk. Slaa), wapo kwa ajili ya kutumia shida za wananchi kujipatia umaarufu huku wakiendesha maisha yao na kuwaacha wananchi wakiteseka".

Mwamalala alidai kwa vyovyote Dk. Slaa bado ni mwanachama wa CCM, awe hai au mfu, kwa sababu hawezi kuikimbia CCM na kuhamia Chadema kwa uchungu mkubwa kama anavyodai, lakini akaendelea kuhifadhi kadi ya chama kisichomfaa tena.

"Ukihama nyumba ya kupanga huwezi kuhama na ufunguo wa akiba, vitu vikipotea kwa mpangaji mpya watajua ni wewe", alisema, na kufafanua kuwa, Kama ni kweli Dk. Slaa amekwisha hama CCM hana sababu ya kubaki na kadi ya chama hicho isipokuwa tu kama bado ana maslahi nacho.

Mwamalala licha ya kuwa bado ni mwanachama wa Chadema ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa, ni miongoni mwa viongozi waliosimamishwa uongozi na Dk. Slaa hivi karibuni kwa madai kuwa ni mamluki wa CCM ndani ya Chadema, ambapo alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Mbeya.
 
kumiliki kadi ya chama kingine siyo tatizo, tatizo lipo kama anendelea kuilipia mapaka leo,sababu ccm usipolipia ada miezi 3 unakuwa umeshajiondoa mwenyewe. wako wengi kwenye vyama vya upinzani wana kadi mfu za ccm,hata huyo nape mwenyewe ana kadi ya ccj.
 
William Malecela ni tapeli. Kwa habari zaidi bofya HAPA

Hivi mhuyu mwenye uzi ndiye aliyeandika haya au hayo ni maneno yaliyosemwa na Katibu wa Chadema Mkoa wa Mbeya (Aliyesimamishwa) Bw. Edo? Huyu mwenye thread ametupatia tu habari zilizosemwa siyo yeye aliyezitunga sasa badala ya kuhoji tamko la Edo tunageuka kuanza kumshambulia mtoa hoja! Kweli mahaba hatari
 
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!

- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!

Es!
 
we hayo unayoyasema umeyashuhudia, haya wewe ndo wakutuambia mara ya mwsho hyo kadi kalipia lin?
Af kitu cha pili kale kamchongo ka KUSAIDIA WATZ JOB vp?
Itapendeza ukirudisha zile dola 300 hapo ndo ntakubali we ni Mkali na mpenda maendeleo ila vingnevyo hatutokuelewa ndug Le Mutuz
 
we hayo unayoyasema umeyashuhudia, haya wewe ndo wakutuambia mara ya mwsho hyo kadi kalipia lin?
af kitu cha pili kale kamchongo ka kusaidia watz job vp?
Itapendeza ukirudisha zile dola 300 hapo ndo ntakubali we ni mkali na mpenda maendeleo ila vingnevyo hatutokuelewa ndug le mutuz

- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!

Es!
 
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!

- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!

Es!
Kila mtu anajua kuwa kabla Dr. Slaa hajajiunga na CHEDEMA alikuwa mwanachama wa CCM akiwa na kadi, sasa cha ajabu hapa ni nini? ni kitu gani kinampotezea "moral authority"? CCM wenyewe wanajua kabisa kwamba Dr. Slaa sio mwanachama wao tena! hata wewe pamoja na akili yako kuwa ndogo bado unajua kwamba Dr Slaa sio mwanachama wa CCM!
 
- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!

Es!
Wewe na Nape wako mnamatatizo ya akili, CCM wanawezaje kupokea ada za uwanachama kutoka kwa hasimu wao mkubwa ambaye amejiunga na chama kingine cha siasa na anashikilia nafasi kubwa ya uongozi? Propaganda nyingine zinawaaibisha nyie wenyewe badala ya kuwajenga!
 
- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!

Es!

hapo kwenye kulipia tungoje muhusika ajib kwanza na hata kama analipia au halipii,
wewe na Nape mkikaa tosha mnaweza Forge mpaka hizo Risiti,
maana nazpata nyepe nyepe hata ile ya Ze utamu ilikuwa ya binam yako.
Nyi mko juu aisee.
Kwa wizi huo Slaa mtamsumbua sana
 
Mkuu mleta mada usitoke mapovu sana wewe kaa pembeni usubiri game,maana ninavyokusoma kwenye thread yako ni kama hasira tu ya kuondolewa kwenye ukatibu wa mkoa,kwa kuwa mnaka-genge kenu nadhani mtashikia bango hoja hii dhaifu mkilenga kuwapotosha watanzania ili ionekane Dr ni msaliti.najjua wengine mmeshaanza kupokea posho kutoka kwa wafadhili wenu,lakini nilishawahi kusema humu JF CDM ni chama cha watanzania na wala hakiwezi kulinganishwa na vyama vingine vilivyoko opposition.

Ameshaeleza Dr Slaa kwa nini hakuitupa,choma moto au kuirudisha kadi ya CCM.kama wewe unaushahidi usio na shaka kuwa Katibu mkuu ni ndumila kuwili,uanike wazi,ila isiwe ni vitu vya kupika nasi tutakuunga mkono,ila njoo na ushahidi usio tia shaka kwamba Dr ni mamluki,wala si kwa kubahatisha,watanzania watakuunga mkono,lakini si kwa yeye kuendelea kubaki na kadi.

Je kuna mahali imeandikwa kwamba ukiacha uanachama wa CCM unapashwa kurudisha kadi yako?kwamba kutokufanya hivyo ni kosa la jinai?

kuna vitambulisho huwa vinaandikwa kitambulisho hiki ni mali ya mwajiri hivyo ukiacha au kuachishwa kirudishwe kwa mwajiri,je kadi yenu ya CCM ndivyo ilivyoandikwa kwa maelekezo?

Nyinyi wote mnaoamini kwamba katibu mkuu wa CDM ni mamluki njooni na vielelezo visvyotia shaka mtuaminishea umamluki wake. Mfano analipia kila mwaka ada ya uanachama,na amekuwa akilipia tawi gani,amekuwa akishiriki vikao vya CCM vya tawi,wilaya wu hata CC au NEC ect

Msije na chuki binafsi zinazoongozwa na njaa zenu mara baada ya kuenguliwa katika uongozi,na mbaya zaidi umeingia kundi la fitina wewe mwenyewe unajijua
 
Back
Top Bottom