Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
ukiona umekataliwa rudi tu kwenye ccm haina haja ya kuja na hoja za kitoto kama hizi. ni aibu kwa mtu kaka huyu kutioa maneno ya kijinga na alikuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu leo hii ndio anakuja na sera zisizo na mashiko fikiri kabla ya kusema
Wakiambiwa ukweli kwamba wao ni mamluki wanabisha. Kwani lazima awe katibu wa mkoa hata kama utendaji wake hauridhishi? Kama sio mamluki kwanini asitulie tu kama wanachama wengine? Kwani wangapi wamevuliwa uongozi lakini bado ni waaminifu kwa chama chao?
Imeshafahamika kwamba yuko njiani kufuata nyayo za mamluki mwenzake aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa Mbeya Sambwee Shitambala kwahiyo aende tu haya majitaka anayojaribu kutapisha mtaani watu wanamuona kwa macho yote.
Kama kazi aliyokuwa ametumwa hajaikamilisha awaeleze tu ukweli watamuelewa na kumkabidhi majukumu mengine.
Muhimu ni gambaz watambue kwamba Chadema inazidi kuwa imara na thabiti sasa kuliko huko tulikotoka, na haturudi nyuma kamwe!