Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Alikuwa akiishi Canada kwa pesa za CCM halafu baadaye mkadanganywa anafanya kazi ya kuuza duka!!

Lengo kuwapumbaza "wajinga" waamini ili waondoe wazo la kuwa alikuwa akitumia pesa zenu

CCM inapesa?
Hahahaaa leo kimewashuka mbwiiiii
Hamna uhakika wote wazungu wanasemaga...
"You have been taken by surprised"
 
Rais alisema kule Zanzibar kuwa kamwe wapinzani hawatatia pua kwenye serikali yake. Hivyo jibu ni kuwa Dr. ni kada mzuri tu wa CCM.
Kwani akiwa kada kuna shida gani? Vipi bado upinzani ulikuwa ukimuhitaji kwani? Mara kadhaa tuliwahusia humu, Muombeni radhi arudi na myatii masharti yake ikiwepo na kumtoa EL. Mkapuuzia.
 
Back
Top Bottom