nadhani leo mtamuelewa vizuri sana tuntemeke.
slaa ni mamluki ndo maana haishi kuibua migogoro chadema.
hatetewi huyo ushahidi upo mpaka wa risiti kinachosubiliwa ni yeye abishe tu ukweli uwekwe hadharani.
zitto na mbowe mnatosha sana kwa ukombozi wa taifa hili huyo mamluki mfukuzeni .
kama mko serious na taifa hili.
ndo maana analipwa mshahara wakati mbowe amekijenga chama hiki kwa mamilioni na hajawahi kuyadai alipwe.
fukuzeni huyo babu ni kimeo.
hahaaaaa slaa anaweza anaweza,iyo iyooooo anaweza sanaa ,kumiliki kadi mbili anawezaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaaa.
JINSI ULIVYOANDIKA HAPA NI DHAHIRI KUWA dr SLAA ni mwiba mchungu sana kwenu......HATA mfanye nini bado ataendelea kuwepo CDM na atazidi kuwanyima usingizi na kubomoa zaidi mtandao wa chama chenu! Matokeo ya shughuli aifanyayo kujenga CHADEMA mtayaona dhahiri 2014 kama hamtaki kuyatambua sasa.
HUyo EDO alikuwa wapi siko zote hata aje kuyasema leo au ni hasira za kusimamishwa uongozi? Kwa hapo alipofikia hastaili tena kuendelea kubaki CDM, AENDE HUKOHUKO ALIKOANZA KULA PESA ZAO ILI KUIBOMOA CDM kama alivyoamua ndugu yake SHITAMBALA.
Kauli ya awali ya Nape ilikuwa ina contradictions kibao:
"Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo."
Mwanzo anadai hazungumzii uanachama, lakini anaendelea kusema kuwa Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wanalipia kadi.
Kwa mujibu wa katiba ya CCM hakuna malipo ya kadi bali kuna michango na ada ya uanachama:Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:- (a) Atatoa kiingilio cha Uanachama
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja. (c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
Unaona contradictions hapo? Kisha anathibitisha kufa kwa uanachama wa CCM wa Slaa: "...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo."
So anakiri Slaa si mwanachama wa CCM, wakati huo huo anasisitiza kuwa bado analipia kadi.
Mkuu sosoliso chukua na hii pia, ujaze mwenyewe
By Field Marshall ES - Wakuu toka jana baada ya kusikia kusafishwa kwa Lowassa na ishu nzima ya Richimonduli, nimekuwa ninajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na taifa letu kukosa muelekeo kiuongozi, na for some reason something is telling me kwamba huenda CCM is too big kama chama cha siasa. Ninasema kwamba CCM is too big ni kwa sababu haijawahi kutokea katika historia ya siasa duniani, chama kimoja cha siasa kikawa na sera nyingi kama ilivyo CCM, I mean wakati umefika wa CCM kugawanyika tena sasa as the only solution forward kwa manufaa ya taifa na hasa wananchi walalahoi.
- CCM haiwezekani kikawa chama cha wakulima, halafu kikawa chama cha wafanyakazi, and then kikawa chama cha wafanyabiashara, chama cha wapiganaji, chama cha wasiotaka Muungano na Visiwani, chama cha wanaotaka Muungano, halafu tena kikawa chama cha wajasiriamali, chama cha vijana, chama cha wazee asilia, chama cha Mtandao, chama cha walalahoi na pia chama cha kibepari, chama cha wahindi, I can go on and on sasa kibaya zaiidi ni kwamba hizi sera zote zina vikundi mbali mbali ambavyo in the end vinachangia one problem nayo ni CCM kutokuwa na one serious sera as muongozo wake kwa taifa hili, na the worst ni creation ya mazingara ambayo ni politically unworkable kwa solutions za matatizo ya taifa. Sasa hawa CCM wamegeuka na kuwa chama cha kutawala tu!
- CCM ya Mwalimu ilikuwa na sera, ya sasa simply haina sera, sera za CCM zimekua ni nyingi mno, makundi ni mengi mno hata walioanzisha demokrasia they never intended mkusanyiko wa wingi wa sera kama ilivyo katika hiki chama, ninasema hivi ni vyema CCM ikabaki na wanachama wachache lakini iwe na sera moja acceptable kwa wanachama wake wote. Ndio maana majuzi wananchi wa US wamempeleka Scott Brown Senate, ni baada ya kuona kwamba Democrats hawana sera inayoeleweka as the results mwaka mmoja wa Obama na control ya mabunge yote mawili wameshindwa kupitisha anything serious badala yake wamebakia kubwakiana kati ya Blue Democrats, mara Liberals Democrats, mara Centrists Democrats, sasa wananchi wakaona enough of bickering na kukosa muelekeo ngoja waimarishe checks and balance.
- Leo Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, mara Waziri Mkuu anadai umaskini ndio iwe sera ya uongozi wa CCM, wengine kina Makinda wanasema no way hiyo ni sera yake mwenyewe, bunge la CCM lilisema watuhumiwa wa Richimonduli wachukuliwe hatua, CCM hiyo hiyo tena sasa imegeuka kwamba hapana hawana makosa, Sophia Simba anataka mswaada wa usalama wa CCM, lakini tena CCM hao hao bungeni wanamkimbiza na mswaada, wananchi we are very fast a sleep to know kinachoendelea, enough! jamani vunjeni chama sasa tujue nani ni nani na ndio the only solution ya the way forward kwa hili taifa na mueleko wa kisera!
- Tanzania sasa umefika wakati ni lazima tuongozwe na chama chenye sera inayokubalika na wanachama wote wa hicho chama, na chama kisicho na makundi mengi sana kama CCM ilivyo sasa hivi, ni ushauri wangu wa bure!
Respect.
Field Marshall Es = Wazee wa Sauti Ya Umeme!
Sasa umeongea nini ?Unakataa hau quote halafu unaendelea ku quote..Anything that goes round will always come around.
Sioni unapothink for yourself instead , naona unbwabwaja tuu, sijui unadhani uki paste vitu kiingereza kunakuongezea marks.
Bil ahata kujijua unachoongea unadhani mimi naongea fikra za Dr. Kweli ni CCM ndio wajinga wa kila kitu.Kwa kiasi fulani unaongea fikra zako ukidhani unaongea zangu ndio maana unajiaminisha halafu huna ushahidi.Pengine unahitaji pata prozac , ni mojawapo ya dawa ambazo zinegkuwa zimegundulika yrs back waanzilishi wa dini za kigaidi na viongozi wa CCM leo hii wasingetufikisha na kutushikilia hapa.Possible you need a dosage very urgently ili uache sikia your mind through others.
You are a pathetic lot, and thats clear!
My kiingereza notwithstanding, I can even argue with you with my feet in the air!
You dont have the onus of re-defining the direction of what we are discussing-and thats lack of intergrity of your Dr Slaa.
You seem to be stuck-like the old records- on a circumscribed loop, that you cannot get out from.
And by quoting what the hell do you mean?
Did you by any chance mean "copying and pasting" ?
You obviously tend to skip to any reference on lack of moral authority on your Dr Slaa, and for very good reasons too-its indefensible, and I am increasingly likening you to the devils advocate.
And now come to think of it, you must be one of those having a lower than average IQ, a happy-go-lucky prescribing quack-your reference to the drug proves it.
However refer to one Dr Mengele, a notorious quack who found mentorship on the likes you prefer.
You seem to be drifting into the same direction, you vibweteres are all the same!
ETI dr.Sla ni mamluki wa CCM katumwa kuibomoa CHADEMA.
Alafu ETI siri hiyo nzito imefichuliwa na Nape Nauye(KATIBU MWENEZI WA CCM).
Hii nchi haiishiwi vituko.
Yaani nyie hii propaganda mna target au watu wanaokubali kupotosha makusudi au wajinga.
Watu wanamwangalia mamluki kwa mambo haya:
1. Je Slaa anafanya kazi zenye maslahi kwa Chadema? Jibu ni ndiyo na ndio maana anaandamwa.
2. Je CCM wanafaidika chochote kisiasa kwa uwepo wa Slaa Chadema? Hapana, kwa kweli Slaa anaiumiza kichwa CCM, ndio maana siasa za maji taka haziishi.
Watu ambao ni Great thinkers wangeleta hapa ushahidi wa jinsi Slaa anavyotumikia maslahi ya CCM, hiyo tu ndiyo itathibitisha umamluki.
Wenye akili nyepesi shabikieni upotoshaji wa Nape, Slaa anaendelea na kazi.
Tumeona Igunga, Arumeru na Arusha ushindi unakuja soon. Lazima waweweseke. Na kwa kuwa wanakosa hoja ya msingi basi maji taka ambayo yanalenga akili nyepesi ndo silaha ya Nape.
Huu uzi kauleua Willy aka Le Mutuz baada ya kumkatia sehemu ya dolla 300 alokwiba kwa watz walotapeliwa kutafutiwa kazi za upagazi majuu,maajabu jitu hili limeleta uzi kuwasilisha statement ya Edo yeye anaitolea majibu!
Kwa taarifa tu ni kwamba huwezi kuwahadaa watz kuwa Dr wa ukweli ana ufinyu wa kufikiri kama wewe! Huyo Edo ameshakuambia kasimamishwa uongozi unamtarajia akupe neno gani la kumsifia Dr?
CDM si chama cha kulea ugonjwa kama CCM, wewe una tuhuma za kuwaibia watz live lkn kwa vile bac yako ni mwenzetu unapewa nafasi pamoja na baba yako kuchanwa live na baba wa taifa! Urudi tu ughaibuni ukaendelee na upagazi wako!
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,
- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.
Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.
Ahsanteni Wakuu.
Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!
siku hizi kuna mafan boys wa vyama, hata penye makosa hawaoni as long as aliyekosa ni kiongozi wa chama chao.
Sometimes hata CCM sishangai kuona wanakumbatia madudu na bado ma fan boys wao wanawasupport kumbe hata upande wa pili yale yale
Huo utaratibu wa kurudisha kadi za vyama ukihama chama kwa hapa tanzania huwa haupo...Dr silaa hawezi kuwa mamluki wa ccm sababu yeye ndio ameiumiza vibaya ccm na hajawahi kuwa na athari yoyote ndani ya chama chake cha CDM kitaifa... TUMEMFAHAMU, TUMEMTATHMINI,, TUMEMWAMINI...hayo mengine ni kelele za watu walioishiwa hoja rutubishi...HATUTORUDI NYUMA...yeye keshaonyesha kwa vitendo haitaki ccm na wengine tuonyeshe hatuitaki ccm kwa kurudisha kadi zao kwenye mikutano kwa wenye nazo..
- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.
All you need is a valid passport and an application fee of $300 and you will be issued a five years working visa; Those without international passports can as well participate coz the organization in conjunction with the immigration office are making it easier by helping such people by preparing for them emergency traveling certificates which they are to use and come in the replacement of the international passports.
I advice people not to get involved in this. One, no real jobs offer ask for an advance fee, secondly, this company if it working with an immigration office it should be able to give out its name and in what country this immigration office is, and no emergency travel docs for regular employment can be guaranteed by a private urgency.
- Hii habari ilipohamishwa pale haraka sana nilijua kuna mkono mzito sana wenye hasira ya something-else bwa! ha! ha! ha! lazima nicheke sana na this,
- Nimesema wazi bila kuficha kwamba nimeondoa majina kwenye hiyo info nikiwa na sababu nyingi za kuifahamu nchi yangu, lakini maswali yote uliyo-raise ukiisoma vizuri sana barua ya huyo dada utaona kuwa nimefuta na kuweka dots, na ungenifahamisha kwa pembeni ningekupa na bado ninaweza kukupa barua yote, isipokuwa nimeamua kutoiweka hapo mbele yote kwa sababu ya kuijua bongo vizuri sana, sometimes you try to carry too much on your shoulders kuliko uwezo wako, yaani zile zile tabia za Mwalimu, au? Bwa! ha! ha!. Demokrasia sio rahisi jamani inawashinda wazazi wetu na taifa letu, ama sivyo kina Kolimba na Wangwe wangekuwepo mpaka leo!
Otherwise, shukrani kwa maoni yako ila yako mis-informed wakati ukweli ni kwamba hayo uliyouliza yote yapo kwenye hiyo barua hivyo ila nimeyatoa kwa sababu, na sidhani kama kuna mbongo yoyote anayeweza kushindwa kuelewa hiyo sababu. Sasa ninawasaidia mabahria wenzangu kwanza walioko juu ya mawe na ninawalipa mwenyewe, na nitakufahamisha matokeo tena hapa hapa wazi mchana kweupe!
Siasa kweli ni mchezo mchafu. Nape na chama chake wametumwa na mwenyekiti wao kwenda kujibu hoja za wapinzani.sasa wameshindwa kujibu hoja wameamuwa kuwatupiya limfupa wenye akiri fupi wameanza kuligombania kama mafisi huku nape na wenzake wamekaa pembeni wakiangalia mafisi wanavyo gombania mfupa.
Shauri zenu mtatoana macho na kumalizana kwa kitu ambacho hakina faida yoyote.kwani kuwa na kadi ya ccm bila kuwa na matendo ya kiccm ni kosa?
Mbona hata nape anaelewafika kuwa Dr slaa siyo mwanaccm kulingana na katiba ya chama chake inayotamka kuwa mwanachama yeyote wa ccm anapokuwa na kadi ya chama kingine unachama wake unakuwa umekoma.
Hii ni mbinu ya kisiasa Nape ameamuwa kupozesha mziki wa wapinzani kwa kuwarushia mfupa ili wandelee kuugombania huku akiwa anatafakari chakufanya.
siku hizi kuna mafan boys wa vyama, hata penye makosa hawaoni as long as aliyekosa ni kiongozi wa chama chao.
Sometimes hata CCM sishangai kuona wanakumbatia madudu na bado ma fan boys wao wanawasupport kumbe hata upande wa pili yale yale
Watu wanamwangalia mamluki kwa mambo haya: 1. Je Slaa anafanya kazi zenye maslahi kwa Chadema? Jibu ni ndiyo na ndio maana anaandamwa na CCM. 2. Je CCM wanafaidika chochote kisiasa kwa uwepo wa Slaa Chadema? Hapana, kwa kweli Slaa anaiumiza kichwa CCM, ndio maana siasa za maji taka haziishi.
ukiona umekataliwa rudi tu kwenye ccm haina haja ya kuja na hoja za kitoto kama hizi. ni aibu kwa mtu kaka huyu kutioa maneno ya kijinga na alikuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu leo hii ndio anakuja na sera zisizo na mashiko fikiri kabla ya kusema
Naona magamba yanajitahidi sana kui amplify hoja dhaifu na isiyo na mashiko ya kadi ya ccm.
Kujaribu kuwatumia watu waliosimamishwa uongozi Chadema inaonyesha ni kiasi gani gambaz wamekuwa desperate!
Mzee wa zero planet kwiro sekondari sasa anaona amepata hoja ya kumuongezea posho toka lumumba, angalau kwa kipindi hiki ataweza kujitegemea baada ya kuwa kula kulala kwa baba yake tangu aliposhindwa ubunge wa Afrika Mashariki kwakuwa pensheni yote ya udereva wa magari taka huko US iliisha kwa kutoa rushwa ili achaguliwe lakini akapigwa nyavu ndogo.
Tangu wakati huo amekuwa akitunzwa na waziri mkuu mstaafu na kumfanya mzee ahame jiji na kukimbilia kijijini mtera kujinusuru na aibu ya kulea zee zima la umri zaidi ya nusu karne.
Naona magamba yanajitahidi sana kui amplify hoja dhaifu na isiyo na mashiko ya kadi ya ccm.
Kujaribu kuwatumia watu waliosimamishwa uongozi Chadema inaonyesha ni kiasi gani gambaz wamekuwa desperate!
Mzee wa zero planet kwiro sekondari sasa anaona amepata hoja ya kumuongezea posho toka lumumba, angalau kwa kipindi hiki ataweza kujitegemea baada ya kuwa kula kulala kwa baba yake tangu aliposhindwa ubunge wa Afrika Mashariki kwakuwa pensheni yote ya udereva wa magari taka huko US iliisha kwa kutoa rushwa ili achaguliwe lakini akapigwa nyavu ndogo.
Tangu wakati huo amekuwa akitunzwa na waziri mkuu mstaafu na kumfanya mzee ahame jiji na kukimbilia kijijini mtera kujinusuru na aibu ya kulea zee zima la umri zaidi ya nusu karne.
Si kwamba fedha za kitapeli zimeisha bali hayo ndio maisha yake. Kilichotokea ni kwamba baada ya kustukiwa kule US na kutafutwa kukamatwa ndipo akaamua kukimbilia nyumbani bongo.
Na kwa taarifa yako hata hapa nyumbani keshatapeli watu wengi sana hasa wadada wa kibongo wamelizwa sana na mmojawao anaitwa Jestina.
Hii lemutuz ni hatari sana kwa utapeli imefuzu viwango vya kimataifa!
Watanzania tunapoiunga mkono CHADEMA haina maana kuwa tunataka chadema ingie madarakani lahashaa..! Bali tunapoiunga mkono chadema tunamaanisha tumechoshwa na rushwa., ufisadi, dhulma,
manyanyaso na mateso tunayoyapata wananch wa kipato cha chini, xo it doesn't matter na anamiliki kadi ya chama gan ila kinachomata ni lin matatizo ya wanzania yatapota majibu ni lin raslimal tulizopewa na mwenyz mungu zitawanufaisha wanancha, ni lin watanzania watapata huduma bora kama vile elimu bora,
huduma za afya bora, maji safi, miundombinu bora{kuanzia reli, usafiri wa maji, barabara na usafiri wa anga} na huduma nyingne, sasa ktokana na hzo sababu hapo juu wananch wa tz tumeamua kutoka moyo tukiamin na kuisapot chadema kwakuwa ndiye mkombozi wetu,
na nyie wapiga majungu wa ccm bdo hamjazuiwa mnaweza endelea kupiga majungu.... ILA CHADEMA NI KAZI TU MPK TUMKOMBOE Mtz.
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.