ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,689
Mleta mada jaribu kuwa objective kuhusiana na safari ya Dr. Slaa kama wewe una simama kama ni CHADEMA public relation official otherwise, mapambo yako unayompamba Dr. Slaa yanaonyesha kama ndiyo ameanza kupata International Exposure kwa sasa wakati Dr. Slaa alishawahi kuishi na kusoma katika nchi za magharibi na kikubwa zaidi aliaminiwa na wananchi asilimia zaidi ya 24 kutaka awe Rais wa nchi 2010, kwa maana kuwa walimuona tayari anayo hayo mapambo unayojitahidi kumpamba kwa sasa.
Halafu kwa mawazo yako unafikiri Marekani ni kila kitu kana kwamba sera za Marekani kiuchumi, kisasa na kijamii ndiyo mwarobaini wa maendeleo Tanzania kwa maana kwamba kujifunza sera hizo ni kutibu matatizo ya Tanzania.
'Vision Tanzania' ipatikane Marekani?. Mabandiko yako yanaonyesha uko nje ya reality kuhusiana na siasa za Tanzania.
Unapokuja na maneno kama "Vision for Tanzania, Dr. Slaa Takes America By Storm !" and "Delivers one of the greatest foreign policy yet from any African leader". Inabidi tukushangae wewe na kitengo chako katika safari ya Dr. Slaa.
Spinning zako zinamfanya Dr. Slaa aonekane kwa watu wenye fikra pana kama kibaya chajitembeza wakati ninaamini sivyo hivyo.
Ni angalizo tu na unaweza kukubali kutokubaliana kama unaona Vision for Tanzania inapatikana Marekani peke yake.
Mkuu,
Mwandishi wa maneno hayo ni Josephine Mushumbusi. Upeo wake ni mdogo kuhusu american politics.
Angefuatilia nini kinaendelea angeona article hii Despite shutdown threat, House passes spending bill that delays Obamacare for one year ambapo katika mijadala kuna hii comment iliyopata likes zaidi ya 1000 inayosema "I had a coworker once that was married to a state senator and she told me that she never cooked because they ate out every night on his expense account. He also chose to live 90 miles from the capital so when he had to show up for something he just rented a suite and of course charged it to his expense account. These people have one heck of a good life while a large majority of us are barely getting by. They need to be removed from office and there needs to be term limits. There are senators still in office that have been there for over 30 years in my state. They don't accomplish anything and in fact several of them seem to be getting senile."
Pamoja na comments nyingine kama hii:
"It must be wonderful being a U.S. politician. They get paid very well, they receive a lifetime pension, and have access to the best health care in the country. They get all this for literally getting nothing accomplished. It is truly mind boggling to me how inept each and every one of them are. Garbage in, garbage out. I see long soup lines for this country's future. All America seems to do these days is put a bandage on things, but one day there won't be a bandage big enough."
