Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

mkuu hizi sio picha za ITV za kuedt na kudanganya watanzania

Si mlisema kakatazwa na wana Kigoma kukanyaga Mwandiga?Sasa habari imebadilika na kuwa karuhusiwa lkn mahudhurio hafifu?

Namshukuru sana mzazi wangu kunisimamia kwenye elimu maana labda na mm ningekuwa kama akina Taswira na ZeMarcopolo ambao kuishi mjini lzm wabangaize kiujanja ujanja tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mpiga picha naye ni walewale tu masalia: amepiga kwa malengo mahalumu na inaoesha alikuwa ktk msafara wa Dr. Tutakujua tu.....cdm mpango wa Mungu.
 
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.

Nlifikiri ameshakukutembelea amekuhatibu
 
Nawasifu sana vijana wa ccm kwa kazi mnayofanya kupiga propaganda hizi kuwatukuza mabwana zenu mafisadi na kusaidia kulinda maslahi yao kwa kununuliwa.siku mkizinduka usingizini watu wenu hawapo tena madarakani sijui mtakimbia nchi ? POLE SANA.
 
Maccm yanawapiga dk slaa na mbowe kwa sababu hawahongeki. Ni kikwazo kwenu magamba kuelekea 2015. Tumewastukia, mnapenda wapinzani wachumia tumbo kma kina tambwe hiza,zzk, n.k, ili muendelee kuliibia taifa rasilimali zetu bila kukemewa. Ccm ni genge la majangili,mafisadi,wauza unga na kila aina ya uovu. Ccm imechakaa.
 
Mskulupuke kudakia hyo pch y juu kbsa n ground nd mna wtu kdggo mwabie atoe y high oblique
 
CCM mliimba kutwa hapa kuwa Dr. Slaa hawezi kukanyaga Kigoma akaenda na akapokelewa kwa kishindo! Sasa mmeanza eti mkutano umedoda! Magamba hamuwezi kushindana na Chadema.
 
You sound like someone I know from Facebook. An ardent supporter of Zitto Kabwe.

So what??
You sad kwakuwa kitumbua cha Mkweo kinamwagiwa mchanga? Wanafamilia nyie wa CDM mnaongozwa na chuki na weledi wenu mmeuweka kapuni. Mtu mzima na mwerevu kama wewe unapomsakama zitto kisa tu ni unauhusiano na Mbowe ni dhambi kubwa sana.
 
Shahada ya kwanza na ya pili za Slaa amezipatia chuo kipi na masomo yepi?

Soma vitu vya Kikwete hapa:

[h=3]Honours[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Comoros.svg.png
Comoros[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Saudi_Arabia.svg.png
Saudi Arabia[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Excellence[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Jamaica.svg.png
Jamaica[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"] [/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Oman.svg.png
Oman[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"][SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Awards[/h]
  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
[h=3]Honorary degrees[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Degree[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]Doctor of Humane Letters[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][SUP][16][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Turkey.svg.png
Turkey[/TD]
[TD]Doctorate in International Relations[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][17][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Public Health (Honoris Causa)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][18][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris Causa[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"][SUP][21][/SUP][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Foxy,hata house girl wako ndo angekuwa rais wa TZ angetunukiwa hayo matuzo ya bure. Naongelea udr wa kuchimba darasani sio wa kupewa bure.
 
Kama amepata kiasi cha wasikilizaji hao wakati huu wa mvua na jimboni kwa Zitto - ambaye unadai ametendwa - na kwa ninavyowajua watanzania basi amefanikiwa. Maana si juzi tu hapa Kinana hakupata hata robo ya hao mjini Njombe, jimboni kwa spika wa ccm, wa kwanza mwanamke. Hata wanawake wenzie walisusa. CCM acheni siasa majitaka za mashindano ya kujaza mkutano. Boresheni hali za maisha ya wananchi, hapo ndipo mtashinda kiulaini.
 
Hivi yule aleyesema intelijinsia inashauri DK asije KIGOMA amepata fedheha kiasi gani????SHAME ON YOU jeshi la polisi kwa kutumiwa na ZZK,

VIVA CDM, M4C FOREVER!!!!!!!!!!!
 
Slaa alisema nchi hii haitatawalika tena, lakini sasa anachekelea ulinzi wa FFU kwa hisani ya serikali ya CCM.

Sidhani kama ni hisani kupewa ulinzi. Ninavyojua mimi hiyo ni haki yake kwani hata wewe unayo ukifuata taratibu. Ni vyema tukatumia hili jukwaa vizuri bila kupotoshana!!
 
Pole sana Mkuu naona umeumizwa na huu ukweli!!lakini hakuna ujanja wa kukwepa hali halisi ndio hiyo,Tumaini MAKENE anawapa ahueni tu kwa picha za kuungaunga

Baina mnajitahidi kupiga picha za kujifafariji. Jitekenyeni mcheke mfurahie sisi tunaendelea kuchanja mbuga.

Kigoma yumeenda kuzungumza NA wananchi NA waliojitokeza ndio wale wazalendo NA waaminifu.... NA naamini hao ndio wataendelea kutoa taarifa NA elimu kwa wenzao. Wanamchi walijitokeza NA walikuwa NA utulivu WA hali ya juu.


Magamba + Masalia + PM7 mmeshindwa mbinu zenyuu ovu NA unafiki wenu NA uhafidhina mtalaanika kufanya kazi ya shetani kuzuia mabadiliko. Ila kwa Tanzania ilipofika mabadiliko hayazuiliki. Zitto kishakuwa debe tupu
 
Foxy,hata house girl wako ndo angekuwa rais wa TZ angetunukiwa hayo matuzo ya bure. Naongelea udr wa kuchimba darasani sio wa kupewa bure.

Mkuu unapoteza muda wako hujui FaizaFoxy akili zake zimedumaa? hawezi kuhoji wala kudadisi
 
Last edited by a moderator:
Picha za magumashi kama elimu ya MBOE.

Hawa jamaa cjui wakoje! Mafanikio katika siasa siku zote hutegemea watu wa kawaida na viongoz makini, na hili hutokea pale wanapofanikiwa kupata wafuasi wengi na wawakilishi weng kwenye vyombo vya maamuz. Ukipoteza wafuas kwa njia yoyote ile bado unakuwa hujayafikia malengo bali unaprove failure. Kwa hali ilivo had sasa inawezekana cdm wakapoteza wafuas weng zaid na uwakilish wao bungen ukapungua 2015 hasa kwa kanda ya ziwa. Watu weng wa kanda hii wameipenda cdm kwa sababu ya zzk na c vingnevyo nami nakueleza haya nikiwa hapa Mwanza na stori hiyo ndio iliyopo mjin. Waulize wabunge wa cdm akina wenje, kiwia na machemli kama ni wakweli watawaelezeni hali ilivyo hapa Mwanza. Maamuz ya kamati kuu yanazid kukiathiri chama. Ni sahihi kwa mtu alieenda kinyume na katiba kuadhibiwa ila inabidi uangalie madhara yatakayokikumba chama kwa maamuz hayo. Tujitafakari katika hili.
 
Back
Top Bottom