Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Candid Scope umechelewa sana, picha za ukweli zimewekwa tayari. Na kama unalipwa na babu kupiga propaganda leo utamkoma Josephine.
Hii ni kutoka media si kutoka source ya kijiweni, ndio maana nimeweka source na picha kamili ilivyo kwenye media ya Nipashe, hizo unazosema tuletee source yake.