Taswira
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 1,198
- 452
Kazi nzuri ya Mwigulu
yap,Anaiua CHADEMA kwa mikono yake.He is Real FIELDMARSHALL
Kazi nzuri ya Mwigulu
Magamba hoi kudadadeki
Nimesikia Mbowe ndoa yake inapumulia Mashine,mke wake anataka talaka na File limeshafika kwa DDP,Maana yake chama kitakuwa kinaongozwa na maseja watupu waliokataa kanisa na msikiti na kuamua kuishi na Vimada.Kuna Viongozi hapo?
Picha za magumashi kama elimu ya MBOE.
Mwaka mgumu sana kwa Gambas maana Imekula kwao.........
Slaa analindwa na askari saba ili afanye siasa kwa usalama, lakini analalamika na kusema kuwa mfumo wa siasa Tanzania ni sawa na ule wa ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini. Halafu anajifananisha na Mandela!
Huu ni umbeya na unafiki,,,inabidi upingwe kwa nguvu zote,,,aldu cjui kwann mods wanaacha habari za umbeya kama hz.
Hizo picha zinaonesha mvua kubwa inanyesha,,,sasa utatarajia watuuuu??? Kweli watu wengine wanafikiria kama mbulumundu.
You sound like someone I know from Facebook. An ardent supporter of Zitto Kabwe.
![]()
![]()
![]()
Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.
Pia amepatwa na fedhea baada ya kudanganywa kuwa kunamkutano kata ya KIDAHWE,Licha ya fedha ya maandalizi ya Mkutano zaidi ya laki tano.lakini Slaa alifika eneo la mkutano na kukuta hakuna kitu,fedha zimeliwa na wannachi wapo bize na kazi za maendeleo.Akina Pera walipofika na gari yaa M4C waliishia kupigiana simu kuulizana kulikoni.Pole sana Slaa kwa dhahama unayoendelea kukutana nayo.
KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA
Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ilikuwa kasulu kabla hakijanuka...
mbona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.