ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Babu amevurugwa
Slaa ashauriki...
Babu amevurugwa
Pole sana magamba...Picha za magumashi kama elimu ya MBOE.
Kwani wewe Kinakuuma nini?Mbona na ww unachoka sana kwa kujibu kila mtu anayeanika ukweli wa mambo maovu ya CHADEMA>?Pole kwa kukuwasha kimojaMkuu ila unachoka kwa kutumia muda mwingi kuifatilia CHADEMA kuliko familia yako!!
Slaa alisema mjadala umekwisha lkn yeye bdo anaundeleza
Pole sana magamba...
Mtaweweseka sana mwaka huu
nimelazimika kisubiria taarifa habari ya itv saa tano kuona ulichoandika.
kumbe mvua kubwa ilinyesha na watu kulazimika kuondoka alafu wewe chuma chakavu ukaja kuchukua picha!
Mi naamini amekamatika, maana wmekuwa wagumu kuweka picha wkt wanajigamba ni wazee wa ushahidi wa yale wayaandikayo
Kila mwamba ngozi huvutia kwake ila kwa hili mie sivuti popote maana ukweli unaonekana dhahiri la sivyo anayebisha ana uwezo mdogo wa kufikiri na ni zuzu
Masikini slaa anatia huruma sana mkutano wa katibu mkuu hauna hata watu 50 adhani sasa inabidi wakae waangalie upya unaweza kuta ndo kifo cha cdm, km eneo alopata kura zaidi ya 40% leo wamemugeuka hivi je kilimanjaro alipopata 5% itakuwaje?
Mkuu Taswira usihangaike sana kutafuta mapicha na kujua ni watu wangapi wamehudhulia katika mkutano wa Padri Slaa kwani wengi wanaenda kumshangaa na kumjua mtu aliejawa na roho mbaya ya chuki na visasi. Mimi huwa nahudhuria mara kadhaa mihadhara yake, kwa mfano kwene kukusanya maoni ya katiba Mkwakwani palifura ile mbaya lakini watu waliondoka na kukusema kama huyu ndio anataka kuiongoza hii nchi basi ni hasara kubwa kwa taifa hasa kwenye taasisi ya Urais. Hajiwezi kichani zaidi ya mipango ya fitna tu.
Wewe siasa kali uende kwa padri? Labda kama ulikwenda kurusha bomu maana ulivyo na chuki na wa wakristo siwezi kuamini kuwa ulikwenda bila bomu.