Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

masalia waua panya wasio na hatia nilishawalaani tangu enzi za p7 WAKAFIE MBALI Kimkakati na Kisiasa JAMBO Ambalo Mwenyezi Mungu ameshajibu hawakubali mpaka kwao shonza mchange mbeya na zk kigo je huku kwingine
CHADEMA YATOSHA haitafuga virus na wasaliti ngoja Dr arejee makao makuu taswira na tumtemke mark my words and your ssm
 
Jamani mwenye sifa tumpe sifa yake wakuu, Mimi toka nimefatilia kwa karibu hekima, maarifa na siasa za Dr.Slaa, ninathubutu kusema huyu Mzee ni miongoni mwa Simba(Wakombozi) wa Africa, Dr.Slaa ni mwanasiasa hasa, Ni jemedari na Kamanda mpiganaji aliye jasiri mithili ya Steve Biko na mwenye muono mithili Cout Camilo cavour wa Italy.

Mungu ampe maisha marefu sana Kamanda wetu na hakika Historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi.

mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.
 
...

Mungu ampe maisha marefu sana Kamanda wetu na hakika Historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi....

..well noted Kamanda!!!!
 
Kwa hiyo huwa anayakwepa kila siku au walengaji hawana shabaha kila siku? Poleni sana kwa maumivu haya makali mnayoyapata

zitto akiwa mwenyekiti wa chadema hatimaye rais wa nchi hii utahamia nchi gani?
 
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.

Kama huna cha kuchangia kaa mbali.Hii sio saizi yako
 
zitto akiwa mwenyekiti wa chadema hatimaye rais wa nchi hii utahamia nchi gani?

I'm not a coward! CHADEMA ni chama changu na Tanzania ni nchi yangu.Nipo tayari kufa kuliko kumpigia yeyote magoti kwa ajili misimamo na kile ninachopigania.

Ipo siku wewe utaikimbia nchi lakini sio mimi.
 
Jamani mwenye sifa tumpe sifa yake wakuu, Mimi toka nimefatilia kwa karibu hekima, maarifa na siasa za Dr.Slaa, ninathubutu kusema huyu Mzee ni miongoni mwa Simba(Wakombozi) wa Africa, Dr.Slaa ni mwanasiasa hasa, Ni jemedari na Kamanda mpiganaji aliye jasiri mithili ya Steve Biko na mwenye muono mithili Cout Camilo cavour wa Italy.

Mungu ampe maisha marefu sana Kamanda wetu na hakika Historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi.

Na aliacha upadre kwa hiari yake ili aweze kulitumikia tAIFA LA MUNGU kwa mapana zaidi, kutoka kutumika RC na amakuwa akitumika kwa watanzania wote bila kujali DINI.PIGA kazi mpakwa mafuta wa TANGANYIKA, ulitabiliwa toka zamani HAKUNA SHETANI atakayesimamisha nguvu ya CDM
 
Back
Top Bottom