Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Picha za magumashi kama elimu ya MBOE.

Hawa jamaa cjui wakoje! Mafanikio katika siasa siku zote hutegemea watu wa kawaida na viongoz makini, na hili hutokea pale wanapofanikiwa kupata wafuasi wengi na wawakilishi weng kwenye vyombo vya maamuz. Ukipoteza wafuas kwa njia yoyote ile bado unakuwa hujayafikia malengo bali unaprove failure. Kwa hali ilivo had sasa inawezekana cdm wakapoteza wafuas weng zaid na uwakilish wao bungen ukapungua 2015 hasa kwa kanda ya ziwa. Watu weng wa kanda hii wameipenda cdm kwa sababu ya zzk na c vingnevyo nami nakueleza haya nikiwa hapa Mwanza na stori hiyo ndio iliyopo mjin. Waulize wabunge wa cdm akina wenje, kiwia na machemli kama ni wakweli watawaelezeni hali ilivyo hapa Mwanza. Maamuz ya kamati kuu yanazid kukiathiri chama. Ni sahihi kwa mtu alieenda kinyume na katiba kuadhibiwa ila inabidi uangalie madhara yatakayokikumba chama kwa maamuz hayo. Tujitafakari katika hili.
 
Acha upotoshaji mjinga wee.......polisi wapo kwa ajili ya raia na mali zao ni hali ya kisiasa ndiyo inayumbisha na wao kujikuta wanaitumikia viongozi wao hawa mafisadi bila kujijua.

Na wote tupo chini ya sheria mjinga wee!

Si Mnawaitaga POLICCM, ona Slaa anavyochekelea ulinzi,,,teh teh teh...
 
Aisee, kweli Dr. Slaa nouma, kwa tafsiri yangu, Dr. kapiga nyoka kichwani. Zto kwisney, ana kazi ya matamko tu yaleyale kama Shonza
 
sisi tunachojua ni kuwa mlisema hawezi kwenda Kigoma kasikazini, ameenda na amehutubia, hala kwa picha za Dr na hao FFU, ni kuwa ukombozi umekaribia, wao askari wameamua kuokoka. oohhoo Slaa asikanyage kigoma, sasa unakuja na singo nyigine, akimaliza ziara sijui utasemaje. umedoda

wewe Taswira endelea na umasalia wako.
 
Good job police,kazi yenu ni kulinda usalama wa wa tanzania na mali zao bila kujali itikadi,dini,kabila wala rangi.
 
ni bora uhutubie mawe na miti kuliko kuleta watu kwa malori
 
Nawasiwasi Kibarua cha MAKENE kinakaribia kuota nyasi,Amenunua ITV waedit picha,yeye amesahahu kuweka picha humu za Mikutano ya mwaka 2010 aseme za leo
itv bana,eti amepokelewa kwa shangwe kubwa...ikanibidi nikae kitandani na kutizama tv nione mamia ya watu,nakuta hata hawafiki 50.

Yani tangu wamemnyima kumpa vitalu vya gesi bure mengi ana hasira sana na utawala.
 
Maelfu ya watu wakimsikiliza dr slaa huko kigoma.
SLAA+1+KGM.jpg
 
kadanganye dada zako kwa vpicha vyako vya camera ya tecno.
 
Teh teh, umechagua maeneo yenye mapengo na kupiga picha! Kweli watu mmejipanga kupotosha! Mara ooh hatakanyaga kigoma, mzee ametia timu! Chezea slaa wewe?
 
Nimeipenda police kumsikiliza doctor kwa umakini anapokuwa anatoa maagizo
 
Back
Top Bottom