Mlyandigwa
Member
- Oct 10, 2012
- 39
- 4
cjaelewa hizi picha na kichwa cha habari mbona cnapishana, nyingi zimepigwa hotelini alipofikia na ndipo anasalimiana na polisi tayari kwenda kufanya mikutano, hizo zingine zimepigwa kwenye mikutano ya vijijini, huo ni mtupu.