ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Hii ilikuwa kasulu kabla hakijanuka...
ha ha ha ha kumbe hata we umezishtukiambona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.
Kiukweli ni hatari hii,tuache ushabiki wa kijinga.Chama kinaumia sana kwa maamuzi ya kijinga!
Slaa alisema nchi hii haitatawalika tena, lakini sasa anachekelea ulinzi wa FFU kwa hisani ya serikali ya CCM.
mbona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.