Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

hivi msigwa nae ni wa kuongea akasikilizwa?

Ulitaka mama yako ndyo asikilizwe wewe pimbi usie na baba ulipatikana siku ya mwenge..ujue una ndugu zako kama Nepi kwa hyo sikushangai kwa hilo domo lako chafu kama mwenzio Nepi
 
Mafala wa Zitto na MACCM walifanya wananchi wawe sympathetic na DR Slaa it was a very poor calculation ya kutumia watu wa Mwanza na ndugu wa damu kufanya fujo wangeacha natural justice it take place pengine ingekuwa vingine sasa hivi inaonyesha kama vile wananchi wanasema hatutaki kubandikwa maneno, kwamba sisi ndio baadhi ya wananchi walianzisha mageuzi hongereni wananchi wa Mwandiga , Zitto nyumba yake pale kona ya barabara hata hajaiezeka manake anaonyesha yeye ni mpita njia
natural justice?acha utani,Zitto katuumiwa kwenye kikao hicho hicho bila ya kumpatia nafasi ya kujibu siku hiyo hiyo kikajibadili kutoka uendesha mastaka kikajipa jukumu la kuwa jaji,kikamvua madaraka yote,sasa wakaona la "kwa nini asivuliwe uanachama ndio wamempa siku 14"hii ndio natural justice au nawe ni walewale zidumu fikra sahihi za dr slaa?
 
hahahaaa....... mkuu umeingia shift ya usiki siyo! karibu tulikumiss muda

Hako kadogo ka mzoga wetu, sidhani kama jana kalienda hata choo au kula maana kaliza kweli au ndio mtumishi mwema kazini.....mkuu Mungi mwambieni huyo dogo waliwahi kuwepo akina Chama siku hizi aweza kaa hata wiki asionekane humu
 
unaota ndoto utazika ndugu zako wote mwisho nawewe utaiacha CCM ikitawala

Ha ha ha njaa mbaya sana Mzoga wetu umejiunga juzi tu....

Join Date : 4th December 2013

Posts : 244
Rep Power : 349
Likes Received25
Likes Given9
 











Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.
Pia amepatwa na fedhea baada ya kudanganywa kuwa kunamkutano kata ya KIDAHWE,Licha ya fedha ya maandalizi ya Mkutano zaidi ya laki tano.lakini Slaa alifika eneo la mkutano na kukuta hakuna kitu,fedha zimeliwa na wannachi wapo bize na kazi za maendeleo.Akina Pera walipofika na gari yaa M4C waliishia kupigiana simu kuulizana kulikoni.Pole sana Slaa kwa dhahama unayoendelea kukutana nayo.

KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA


Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto






 
Nyie Mwaka huu mtaukalia tu. Mbinu za kishetani zimeshindwa toka juzi bodaboda hapa kigoma wanakula kodi yao kutoka kwa Mafisadi CCm buku 10 zinahusika
 
una hasara kwa kujidanganya mwenyewe, sisi wala hujatudanganya.

tukuhakikishie hata angekuja raia mmoja kumsikiliza Dr. Slaa haikupeni ahueni fisiemu, si muda mrefu mtajilaumu hadharani.
 
mbona picha zimepigwa kiaina sana? hizo picha pamoja na kuwepo mvua kubwa lakini watu wanaonekana walivumilia kunyeshewa mvua ili mradi tu wamsikilize dr slaa! hakika dr ni kipenzi cha watz wote.
 
Kiukweli ni hatari hii,tuache ushabiki wa kijinga.Chama kinaumia sana kwa maamuzi ya kijinga!
 
attachment.php
 
Slaa analindwa na askari saba ili afanye siasa kwa usalama, lakini analalamika na kusema kuwa mfumo wa siasa Tanzania ni sawa na ule wa ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini. Halafu anajifananisha na Mandela!
 
Unasema waliohudhuria ni watoto je hawana haki ya kusikiliza? Hiyo haijalishi nilichofurahi maneno muhimu aliyoongea Dr.Slaa yamesikika katika maeneo yote Tanzania kupitia ITV
 
Masikini slaa anatia huruma sana mkutano wa katibu mkuu hauna hata watu 50 adhani sasa inabidi wakae waangalie upya unaweza kuta ndo kifo cha cdm, km eneo alopata kura zaidi ya 40% leo wamemugeuka hivi je kilimanjaro alipopata 5% itakuwaje?
 
Back
Top Bottom