Huyu ndiye Rais wa Watanzania anayesubiri kuapishwa.
......na hata sasa ni Rais wa mioyo ya watanzania, Ndiye anaongoza nchi maana akiona jambo haliendi vizuri hawezi kufumbia macho.
Mungu amlinde Rais wetu Dr W Slaa
Huyu ndiye Rais wa Watanzania anayesubiri kuapishwa.
acha kujiabisha mwenyewe inaonekana Dr slaa ulitaka aende na wewe kama kiburudisho chake ila umeachwa sasa wivu kibao...lugha yenyewe sio yetu ya kwetu ni kiswahili ...siku nyingine tutamwambia uambatane nae kwenye ziara zake inaonekana umemiss mambo yake
Nimetoa ushauri kwa nia njema kabisa mkuu.
We hayo umeyapata wapi au upo kwenye msafara?Katika maneno yake amekaririwa akisema "the woman is a source of wealth for man in our lifes", kitu ambacho Wamarekani hawakuelewa alitaka kumaanisha nini. Vilevile, Josephine alishindwa hata kutoa 'a simple good evening' wakati wa dinner party badala yake alisikika akisema " me good, me good" wakati wa salamu!
USHAURI KWA CHADEMA: kama kweli mpo makini katika kuitaka Ikulu, hakikisheni mnaandaa mazingira yote yawe sawa. Ikiwemo hata kumuandaa our next first lady! Nasema hivyo kwa kuwa hata Bukhali wa Nigeria aliandaliwa yeye sambamba na mke wake.
Hizo small boarrooms kwa private meetings.Ushamba tuu ndio unakusumbua...back office kuna vyoo,stone au nyuma ya kiti...sasa inamaa alimlazimsha mwenye office kugeuka nyuma?
Kaka mimi naishi marekani kwa miaka. So, let me advise you this kama unakwenda kwenye well organized group lazima upelekwe kwenye conference room ya ukweli.
Km unaishi marekani ungekuwa unafahamu OVAL HOUSE...ni padogo panaangalia landscape na uwanda wote upande huo.Hapo huwa maraisi wa marekani huwaalika watu kuongea issue kubwa za kiduia na kanda zake.Then km kuna umuhimu ndipo mnakwenda kwenye hio lundo la watu.hapo dr alikuwa kaijadili vitu muhimu kumbiana misimamoc,changamoto etc...Wenzio huwa wanajitambualisha kukaa ktk hizo nchi ili kuficha upumbavu na ufichu wa uelewa wa mamabo ktk nchi walizopo.wengi tuu tunawajua hujifunza vingi wakirudi TZ kuliko waliwa ughaibuni. Umbea ndio ngao ya CCM..bahati mbaya huwa mnaongea umbea na kumiliki viwanda vya uongo ambao unatosha wadanganya nyie wenyewe tuu...Kila mahali mkibanwa hamna cha kujitetea mnabaki nakaa marekani,mdai kuonewa.mnadai wengine hawajui...hata mkitapishwa hamna cha maana cha kutapika.Kaka mimi naishi marekani kwa miaka. So, let me advise you this kama unakwenda kwenye well organized group lazima upelekwe kwenye conference room ya ukweli.