Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.
Wakati JK anaomba msaada wa chakula na si namna ya kupata chakula, wakati JK hajui kwanini watanzania ni Masikini....huyu mzee anawaeleza wamarekani mpango wa kiuchumi,anawaeleza wamarekani shida ni nini ktk hili taifa na anawaeleza kuwa yupo tayari kuongoza jahazi kuelekea nchi kavu.Hiyo ndio kauli ya nahodha na si abiria..hadi sasa JK ni abiria wa hii nchi..Nchi ipo ktk auto pilot ....
 
Yule mwingine anapiga picha na mauza unga, mara anageuka kuwa mpiga picha maharusini. Hii laana itaisha miezi minne kuanzia sasa.
umempa vyema..km Dan Alves alipowaambia Mancity wana wacheza ghali ila hawana class ..Na akawapiga goal ugenini na nyumbani.
 
all the best Dr slaa and your wife on this nice journey
 
Kama ile mikataba 17 iliyoandikwa kichini kwa dakika 15?hivi mlijua nini kimeandikwa?
Kama akina mhongo na watz wengine wamesoma for years hawajaweza master basic logics.ndio mikataba inayohitaji negotions kibao kabla ya final draft?
 
Not his wife please,say with one of his own girlfriend

His concubine, that fits for him....not his wife

He is still committing adultery at that age kweli? It's high time now to ask for forgiveness to the Lord, he is 89 yr old but.....Babu please and please start repenting now time is not friendly any more......
 
Wakati JK anaomba msaada wa chakula na si namna ya kupata chakula, wakati JK hajui kwanini watanzania ni Masikini....huyu mzee anawaeleza wamarekani mpango wa kiuchumi,anawaeleza wamarekani shida ni nini ktk hili taifa na anawaeleza kuwa yupo tayari kuongoza jahazi kuelekea nchi kavu.Hiyo ndio kauli ya nahodha na si abiria..hadi sasa JK ni abiria wa hii nchi..Nchi ipo ktk auto pilot ....

Nicholas,

Mipango ipi ya Dr Slaa imeinufaisha nchi? Tuwekee hata mmoja ambao kila mtanzania atajua, tusifanye siasa uchwara kwenye hili

Nihabarishe mafanikio Ya Ziara ya Babu kwa nchi Yetu walau Moja nami nielimike.

Asante.
 
Kama akina mhongo na watz wengine wamesoma for years hawajaweza master basic logics.ndio mikataba inayohitaji negotions kibao kabla ya final draft?

Mikataba ipi Dr Slaa ameingia kwa niaba ya nchi? Huko kaenda kuwatembelea marafiki zake na kucheck Afya Kwani kila Kitu tunajua tena zaidi ya wewe

Pia apate muda wa mapumziko na ka concubine chake safi sana then arudi zake Tanzania. Tunayajua mengi zaidi ya wewe unavyoyajua ndani Ya Chama chako
 
Mikataba ipi Dr Slaa ameingia kwa niaba ya nchi? Huko kaenda kuwatembelea marafiki zake na kucheck Afya Kwani kila Kitu tunajua tena zaidi ya wewe Pia apate muda wa mapumziko na ka concubine chake safi sana then arudi zake Tanzania. Tunayajua mengi zaidi ya wewe unavyoyajua ndani Ya Chama chako
umeona wapi nimesema dr.slaa kaingia mikataba?kwanini yeye aingie mikataba kwa niaba ya CCM?ya mahusinao ya vyama kafanya mingi.Na anawez sign mingine uS sasa kwani shida yako nini?Yeye sio km Miccm
 
Mikataba ipi Dr Slaa ameingia kwa niaba ya nchi? Huko kaenda kuwatembelea marafiki zake na kucheck Afya Kwani kila Kitu tunajua tena zaidi ya wewe

Pia apate muda wa mapumziko na ka concubine chake safi sana then arudi zake Tanzania. Tunayajua mengi zaidi ya wewe unavyoyajua ndani Ya Chama chako

Ni wewe tu kutuletea habari:banghead:
 
His concubine, that fits for him....not his wife

He is still committing adultery at that age kweli? It's high time now to ask for forgiveness to the Lord, he is 89 yr old but.....Babu please and please start repenting now time is not friendly any more......

Unaona ya upande mmoja tu,vipi upande ule unaowacha watoto kama kuku wa mayai?
 
Nicholas, Mipango ipi ya Dr Slaa imeinufaisha nchi? Tuwekee hata mmoja ambao kila mtanzania atajua, tusifanye siasa uchwara kwenye hili Nihabarishe mafanikio Ya Ziara ya Babu kwa nchi Yetu walau Moja nami nielimike. Asante.
Hujapata clue bado ktk alichoongea..Utafagiwa pamoja na uchafu ktkoffice
 
Unaona ya upande mmoja tu,vipi upande ule unaowacha watoto kama kuku wa mayai?

Yes ofcourse,

Babu katerekeza wake watoto wake kwa Bi Rose hata huruma hana afadhali nawe umeliona hilo, kumbe asubuhi asubuhi vijana wa Bavicha mnakuwa mna akili kidogo

Asante kwa kuliona hilo pia mkuu! Mwambie aanze kutubu sasa
 
Nicholas,

Mipango ipi ya Dr Slaa imeinufaisha nchi? Tuwekee hata mmoja ambao kila mtanzania atajua, tusifanye siasa uchwara kwenye hili

Nihabarishe mafanikio Ya Ziara ya Babu kwa nchi Yetu walau Moja nami nielimike.

Asante.

Wewe ndio hujui kama nchi imenufaika mwanzo tukiibiwa tunaambiwa serikali tukufu sikivu kumbe huko kuna majambazi, wahujumu uchumi, mafisadi as liyetufungua masikio usijitoe ufahamu kuwa humjui , c.d.m imesambaza demokrasia, kujitambua kifikra, kujielewa, na kudai haki zetu na mtanzania waleo sio tule wa juzi mliokuwa ukifika siku za uchaguzi mnatuwekea picha idd amini kuwatisha watu sasa hivi mtawatishishia wake zenu na watoto zenu sio mtanzania wa leo tena upo hapo kalaghabaho.
 
Nicholas,

Mipango ipi ya Dr Slaa imeinufaisha nchi? Tuwekee hata mmoja ambao kila mtanzania atajua, tusifanye siasa uchwara kwenye hili

Nihabarishe mafanikio Ya Ziara ya Babu kwa nchi Yetu walau Moja nami nielimike.

Asante.

Ni pale alipowapa taarifa wafadhili juu ya wizi wa fedha za epa na lada na juzi escrow na wafadhili wakashinikiza serikali kuwawajibisha mafisadi waliohusuika na wizi huo kwa kusitisha misaada yote hasa kuchangia budget,umesahau?
 
Back
Top Bottom