Hujapata clue bado ktk alichoongea..Utafagiwa pamoja na uchafu ktkoffice
Yes ofcourse,
Babu katerekeza wake watoto wake kwa Bi Rose hata huruma hana afadhali nawe umeliona hilo, kumbe asubuhi asubuhi vijana wa Bavicha mnakuwa mna akili kidogo
Asante kwa kuliona hilo pia mkuu! Mwambie aanze kutubu sasa
Mbona ccm mkimsikia dr slaa mna-panic sana?
Haha....Chuo gani wanapata PHD kwa kupeana paper badala ya kupost ktk journal za kuheshimikaKweli wewe ulisoma mzumbe hata comments zako zinajoinesha, Ndio maana ulikuwa unaponda UDSM Kweli walimu wenu akina Prof Itika, Nkya, Millanzi walifanya kazi kubwa, leo nimeamini Sasa nikiona post zako sipati shida Kabisa najua ni zao la chuo bora kabisa ambacho unakisifia kila kukicha.... .......
Hasa akiwa na concubine wake maana tunaogopa sana zinaa......
Wakati dr anatubu,waambie mafisadi wote walioiba fedha za escrow na kugawana pale stanbic waanze kutubu maana october lazima wapelekwe segerea na familia zao na koo zao wote.
Si mnaogopa mmefiia dose y amwisho ya viagra bado mashangingi wa hilo shamba la alizeti hamuwafikishi?Lazima msijiamini,hamuwezi washawishi ndio maana mnafanya kazi ya kuondoa wanaume .Hasa akiwa na concubine wake maana tunaogopa sana zinaa......
Mkuu,Mnafiki mkubwa wewe eti tunaogopa zinaa wewe sio mzinifu kazini na mkeo? Ndio mnachokiangalia kwenye akili zenu manake manawaza tupu tu watu wa hovyo sana mkiwa katika jamii sijui mmelogwa na nani .
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.
Ben...wasiwe wanakufananisha na Mkapa,walimshambulia wewe...sasa wenyewe wamechoka siwasikiii tena wakimbebesha zigo la dhaifuwww.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/535699-picha-ziara-za-dr-slaa-hillary-clinton-mwl-nyerere-vs-safari-357-za-jk-nje-ya-nchi-22.html#post12446511
Hizo small boarrooms kwa private meetings.Ushamba tuu ndio unakusumbua...back office kuna vyoo,stone au nyuma ya kiti...sasa inamaa alimlazimsha mwenye office kugeuka nyuma?Jamani hebu angalieni hizo picha, nothing against Dr. Slaa lakini presentation matters jamani hapo mahala kama vile back office ya mtu.
hivi katika kukaa kwako ulishaona ndoa unayofunga iwe kanisani au msikitini unapewa cheti cha kanisa au msikiti? kwa kukusaidia tu ndoa zote ni za serikali hayo makanisa na misikiti ni agents tu wa serikali. kwa kukusaisdia zaidi ni kuwa ili kanisa au msikiti lifungishe ndoa lazima kwanza wajisajiri serikali na kupewa cheti maalumu kinachowatambua kufungisha ndoa. Bila hivyo ndoa yoyote itakayofungwa hata kama umepewa cheti ni bandia. Mkuu nakushauri uwe unasoma kidogo siyo kuja na habari za mitaani.
http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/Marriage Ordinance, (cap 29)_1.pdf