Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

Dr. Slaa arrives in the US, discusses constitution

Wapi kafungia ndoa?

tatizo lenu hamsoni hata sheria za ndoa ndiyo maana mnadhani ndoa mpaka mfunge
haya soma hapo chini ikusaidie.

Dhana ya kuchukulia ndoa

Kuna dhana inayokanushika (rebuttable
presumption) kuwa mwanamme na mwanamke wakiishi pamoja kwa miaka miwili au zaidi huchukuliwa kuwa ni mke na mume mbele ya sheria
japokuwa hawakuwahi kufunga ndoa. Dhana hii imeelezwa katika kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa.

ili dhana hii iwepo ni lazima yafuatayo yathibitishwe.

(i) Lazima ithibitike kwamba mwanamke na mwanamme wameishi pamoja kwa muda wa miaka miwili au zaidi kwa mfululizo.

(ii) Lazima pia ithibitike kuwa umma
unaowazunguka unawachukulia na
kuwapa heshima kama mke na mume.

(iii) Lazima ithibitishwe kuwa watu hao
walikuwa na uwezo wa kuwa mke na mume
wakati walipoanza kuishi pamoja kama
umri ulikubalika kisheria.

(iv) Ni lazima pia ithibitishwe kuwa kati ya hao wawili au wote hakuna aliye na ndoa
inayoendelea.
 
tatizo lenu hamsoni hata sheria za ndoa ndiyo maana mnadhani ndoa mpaka mfunge
haya soma hapo chini ikusaidie.

Dhana ya kuchukulia ndoa

Kuna dhana inayokanushika (rebuttable
presumption) kuwa mwanamme na mwanamke wakiishi pamoja kwa miaka miwili au zaidi huchukuliwa kuwa ni mke na mume mbele ya sheria
japokuwa hawakuwahi kufunga ndoa. Dhana hii imeelezwa katika kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa.

li dhana hii iwepo ni lazima yafuatayo yathibitishwe.

(i) Lazima ithibitike kwamba mwanamke na mwanamme wameishi pamoja kwa muda wa miaka miwili au zaidi kwa mfululizo.

(ii) Lazima pia ithibitike kuwa umma
unaowazunguka unawachukulia na
kuwapa heshima kama mke na mume.

(iii) Lazima ithibitishwe kuwa watu hao
walikuwa na uwezo wa kuwa mke na mume
wakati walipoanza kuishi pamoja kama
umri ulikubalika kisheria.

(iv) Ni lazima pia ithibitishwe kuwa kati ya hao wawili au wote hakuna aliye na ndoa
inayoendelea.

We usizunguke na masheria yako ndoa ipo ya kanisani msikitini bomani au mila katika hizo slaa kafungia ndoa wapi maana ukisema huyu mke au mume ndo inatambulika hvyo sasa unakuja na masheria ambayo kwa Jamii hayana tija kama una mtoto wa kike utakubali awekwe ndani kiholela bila kupitia njia zinazojulikana za halali basi ukikubaliana na hyo sheria yako utakuwa baba ----- ambaye hajawah kutokea duniani
 
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.

Mnyime mwanao vyooote lakini mpatie elimu utakuwa umemwachia hazina kub wa sana katika maisha yako wewe unaonekana wakati wenzio walikuwa wakisoma kwa bidii wapate elimu na maarifa wewe kazi yako ilikuwa kwenda kuwinda tetere ujinga ni mtu kujiwezea kuufanya.
 
Watz waache bure..ni headache..kumsikiliza msomi wa TZ km huna bahati ni km kusikilza midundo mibaya au kuangalia mechi mbaya ya mpira.Huwa wanapenda ujinga hadi hujidanganya kwa uongo walioutunga wenyewe.

Wana fikra suicidal.Si kwamba walikuwa hawajui ila walikuwa hawataki na sasa wao ndio wanaamini hivyo..hii sheria hawasomi hata ukiwapa au kuwasomea..labda umwite JK kuwafafanulia..warioba alisema wee,hadi kanywa maji watz wasiokwenda shule walielewa ila wasomi wa ccm na walio ktk office za uma na binafsi wanaosikiliza clouds walihtaji JK aliyeelewa nusu na kupindisha nusu iliyobaki kuja wafafanulia.

Wote hadi Maprof wakaanza shangilia na kufurahi kwa kufafanuliwa na kutolewa hofu>Wabongo hutolewa hofu kwa kuwafichia ukweli na si kuondoa tatizo au kuongeza kinga.
 
We usizunguke na masheria yako ndoa ipo ya kanisani msikitini bomani au mila katika hizo slaa kafungia ndoa wapi maana ukisema huyu mke au mume ndo inatambulika hvyo sasa unakuja na masheria ambayo kwa Jamii hayana tija kama una mtoto wa kike utakubali awekwe ndani kiholela bila kupitia njia zinazojulikana za halali basi ukikubaliana na hyo sheria yako utakuwa baba ----- ambaye hajawah kutokea duniani

hivi katika kukaa kwako ulishaona ndoa unayofunga iwe kanisani au msikitini unapewa cheti cha kanisa au msikiti? kwa kukusaidia tu ndoa zote ni za serikali hayo makanisa na misikiti ni agents tu wa serikali. kwa kukusaisdia zaidi ni kuwa ili kanisa au msikiti lifungishe ndoa lazima kwanza wajisajiri serikali na kupewa cheti maalumu kinachowatambua kufungisha ndoa. Bila hivyo ndoa yoyote itakayofungwa hata kama umepewa cheti ni bandia. Mkuu nakushauri uwe unasoma kidogo siyo kuja na habari za mitaani.

http://www.tanzania.go.tz/egov_uploads/documents/Marriage Ordinance, (cap 29)_1.pdf
 
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.
fuatilia kwanza Slaa alichoenda kufanya na anachoenda kufanya rais wako kila siku
 
fuatilia kwanza Slaa alichoenda kufanya na anachoenda kufanya rais wako kila siku
Slaa anaongelea nchi ya watu wali masters of their country`s destiny....Jk anaongelea nchi isiyojua destine ila inasubiri hisani ya bahati nasibu au huruma ya wengine.
 
Haya majimbo si ndio yale yenye uchumi mkubwa kuliko nchi nyingi tuu za ulaya?
 
rudi shule kasome (3rd person present)

talk about (something) with a person

jmn!!3rd person present ndo discusses? hatar kuanzia walimu wako walezi wako na familia yako,go back to schl.
 
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.

Huyu ni katibu mkuu wa cdm na siyo rais wa jmt kwasasa,tofautisha mkuu
 
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.

Ameenda kuwashitaki madudu ya katiba yenu pendekezwa ya mzee wa nyoka mwenye makengeza
 
Chadema kila siku mnalalamika kuwa rais Kikwete anakwenda Marekani kujipendekeza kwa wazungu lakini Slaa mnaona kafanya jambo la maana akijipendekeza kwa wazungu.

Rais anawatumikia watu 45m,hivyo inabidi atumie muda mwingi kukaa na watu wake ili ajue matatizo yao.
 
Back
Top Bottom