No....didn't say that, read my last sentence..So you suggesting that they should support this flawed constitutional review just because is expedient to them politically?
wengi hawalijui hilokwa sheria za tanzania ukiishi na mwanamke kinyumba zaidi ya miaka miwili ni mkeo.
Addiction inakuja baada ya kutumia na kuendelea taka tumia tena na tena kiutegemezi ...sijui kakutumia mra ngapi?
huwa unapenda kubaki ktk upumbavu..unaanalyse ujinga,kwa logic ya kijinga na hila tena na tena.Sasa hivi nadhani umebaki kujidanganya zaidi.huna tena dira ktk brain yako.Pamoja na UKAWA kuikataa Katiba Pendekezwa kuwa ni ya CCM kuna ukweli mdogo ambao sijui kama wameutazama. Ndani ya Katiba Pendekezwa kuna kipengele kama sikosei kuhusu mgombea urais lazima apate asilimi 50 ya kura laa sivyo kuunda serikali ya Mseto. Sheria hii haipo katika katiba ya mwaka 1977.. Kama katiba Pendekezwa itakataliwa kabisa ama hata kupigiwa kura ina maana hata vile vipengele vinavyowapa nafuu Upinzani havitatumika katika uchaguzi huu, hivyo CCM atakuwa mshindi kwa vyovyote vile hata akipata asilimia 40 bado nina hakika atakuwa juu ya vyama vyote. Na kama katiba Pendekezwa ikipewa kura ya NDIYO ina maana Katiba ya wananchi imekufa kabisa! hapa nampongeza Dr. Slaa kwa kusimama na wananchi. Kura ya HAPANA hata kama itawagharimu Ushindi...lakini tukubali kwamba CCM are masters wa kiini macho!
Asante mkuu wewe mwenye dira sijui unaelekea wapi...Ufipa?..huwa unapenda kubaki ktk upumbavu..unaanalyse ujinga,kwa logic ya kijinga na hila tena na tena.Sasa hivi nadhani umebaki kujidanganya zaidi.huna tena dira ktk brain yako.
sielekei ufipa mara nyingi ,ila nafanya yaliyo ktk fikra km za ufipa.Wewe unaelekea wapi ktk chamber za dili za kufanya kazi za wanaccm,Asante mkuu wewe mwenye dira sijui unaelekea wapi...Ufipa?..
haa: umeamua kuwa too local kuliko wao eh?Haisaidii kitu hawa Wamarekani wamemchora tu, Governor sio member wa bunge (Legislature) ni exactuive level ambaye hata siku moja hawezi kwenda nje ya maslahi ya nchi yake. Hili swala la katiba limekula kwetu, UKAWA sio kazi yao tena ni swala la wananchi kuikataa au kuikubali.. It's too late kwao maana anasikilizwa lakini hana ushahidi wa ku back up. Akija mtu wa CCM atawaonyesha akidi japo ya uongo, wataonyeshwa namba za mapendekezo na mambo yalopitishwa japo kwa kupikwa vile vile lakini UKAWA hawana namba hizo maana walitoka bungeni kwa sababu ya Muungano na serikali 3. Jamani serikali 3 za JUMUIYA kama ilivyopendekezwa hakuna mwananchi hata mmoja anaitaka. Hatuwezi kuunda Jumuiya nyingine ndani ya Jumuiya ya EAC na kwa kigezo kipi basi ikiwa hii ya EAC yenyewe itatushinda na tunaziona tofauti zetu na Kenya, Uganda na Rwanda. halafu tutoke katika Muungano huu kuunda kile kilichotushinda? kwa maridhiano gani basi! sii ndio yale yale ya kuruka Mkojo ukakanyaga kinyesi.. Kama rasimu ingependekeza serikali 3 za Shirikisho, (United Republics of Tanzania) na kukubali gharama zake which is obvious maana mifano mnayo nyie mnao ishi Marekani jinsi serikali zilivyo kubwa. Pengine ingekubalika na kuwezekana lakini hii ya kuunda JUMUIYA hata kidogo sio pendekezo la wananchi bali wanasiasa kuitaka Tanganyika huru kwa sababu ya kundi dogo la watu wanaopinga Mapinduzi na Muungano. Chadema walipoteza mwelekeo na hawatakuwa sawa tena..
Ahahaha eee bana wee unanijua vizuri sana basi leo nitakutembelea usiku halafu yanayofuata usihadithie watu siri yetu..
Mnachokosea ni kwamba Zitto atabakia kuwa Zitto na umaarufu wote huu mmempa nyie kwenye sahani la fedha. Kama Asingefukuzwa Zitto ni mtu wa kawaida kabisa kama Lema, Mdee au Mnyika lakini mlitaka kumshusha ili wengine wapande kabla ya uchaguzi kumbe imekula kwenu..mkuu mkandara itikadi flani zinakufanya uukatae ukweli ingawaje moyoni unaujua ukweli...zitto used to be our hero lakini kaharibu mwenyewe...get used to that
Mnachokosea ni kwamba Zitto atabakia kuwa Zitto na umaarufu wote huu mmempa nyie kwenye sahani la fedha. Kama Asingefukuzwa Zitto ni mtu wa kawaida kabisa kama Lema, Mdee au Mnyika lakini mlitaka kumshusha ili wengine wapande kabla ya uchaguzi kumbe imekula kwenu..
Sasa mnahaha ovyo wakati maamuzi ni yenu wenyewe kumfukuza ilihali mkihofia...Haya maneno yote ya nini humu JF kama hamtaharuki? It's that fear you have inanusumbua kwa sababu najua wakosa ni nyie. Kisha mnajifaragua kwamba hamuogopi kitu! Aaauuuuu!!!!
Matumizi mabaya ya ruzuku hayo, Safari haina tija yoyote kwa Chama
Whatever you say,time will tell.Just to remind you,mdee,lema na mnyika sio wanasiasa wa kawaida,fatilia kura walizopata 2010 dhidi ya wapinzani wao na alizopata zitto dhidi ya mpinzani wake hadi kakimbia jimbo halafu urudi tena!!!!
Huyu labda awe rais wa Wamasai.Hongera sana next Rais wetu....